single

A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.

View More On Wikipedia.org
  1. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Haya makabila yanaongoza kwa kuwa na single mama, kwanini?

    Wajita Wachaga Wamakonde Waluguru Wanyaturu Warangi Wazaramo Wagogo Wangoni
  2. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyinyi single mothers mmeamua kuwapa mateso watoto wenu?

    Leo nimeamua niongee Na Hawa single mother s , kwanini mmeamua kuwatesa watoto wenu? Ni sawa umezaa Na jamaa huenda ilitokea kwa bahati mbaya ulikuwa humpendi au mlikuwa wapenzi kwa bahati mbaya katika mahusiano yenu ukawa umepata ujauzito, baadhi ya wanaume ni kweli wanakuwa hatawaki kutoa...
  3. HOP HOPPER

    JamiiForums Tanzania Single mamas jamani mpooo?

    Habari zenu wote ndugu jamaa ma rafiki Uzi huu ni maalum Kwa ajili ya kuwapongeza single mamas wote guniani kote. Ukweli kutoka moyoni hongera zenu ziwafikie Popote mlipo kwenye hili gunia lililokuwa zamani dunia. Sio jambo jepesi kupata kazi mnayotakiwa kufanya watu wawili Kwa muda wa maisha...
  4. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wanawake hawapendi wanaume walio single?

    Wanawake hupenda wanaume machachari ambao hawajatulia hata kidogo. Sie walokole tutaishia kupendwa na mama zetu tu. Nilibakisha kamoja, nako kameyeyuka yeyu kisa tulikuwa tukiongozana kuelekea somewhere, kwa bahati mbaya akakatiza mwanamke mmoja hivi ameushona mtrako wa kwenda, mlainiiii, halafu...
  5. Sonko Bibo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Single Mother tu

    Nahitaji mwanamke wa kuishi nae, ambae tayari kashazaa. Awe na umri kati ya 23-27yrs. Mtoto awe mmoja tu. Kabila, awe katika lolote kati ya haya, Mnyamwezi -Tabora, Nandi from Kenya, Tutsi from Rwanda, Mdigo -Tanga, Mrangi- Dodoma, Mkerewe-Mwanza, Msukuma -Geita. Rangi, awe mweusi asilia ambae...
  6. Satirical Yet Awesome

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana wenzangu, Kama upo single endelea kuwa single, achana na mahusiano

    Kama upo single baki tuu kuwa single, maana usipotoa shida ukitoa shida vilevile.
  7. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Je, upo single?

    Uko single au bado unanyapia nyapia vya watu. https://youtu.be/5KeFyyy5CTI?si=GPpwndUt8DAGhDjq
  8. K

    JamiiForums Tanzania Vyumba vya kupanga Single au Master

    Deleted
  9. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akipata pesa anafikiria kuanzisha familia (Kuoa) wakati Mwanamke akipata pesa anafikiria kuwa single mother

    Hii inafikirisha sana na inaonesha ni kwa namna gani wanawake wengi ni wabinafsi. Mwanaume akipata pesa atakachofikiria kuoa na kupata watoto na kuendeleza familia iwe bora zaidi . Ila sasa kwa wanawake wakishapata pesa tu cha kwanza watakachofikiria kama yupo ndoani atataka avunje hiyo ndoa...
  10. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Uzoefu ni jambo muhimu katika Maisha, inakuwaje watu mnawakataa single Mamaz kwenye mahusiano ya ndoa?

    Hakuna ubishi unapoomba kazi moja ya sifa na kigezo kinachozingatiwa ni uzoefu wa kazi how long you work for the position?una yafahamu vyema majukumu yako na kuna impact gani umeifanya katika taasisi yako uliyotoka? Lakini mambo yamekuwa tofauti katika mahusiano hivi kwanini wanaume tunawakataa...
  11. Samcezar

    JamiiForums Tanzania Single mothers njooni tuzungumze kwa mapana na ufupi

    Habarini wanajamvi. Imeshakuwa ni wimbo wa taifa kuwatuhumu single mothers kwa uzembe na kuwa number one suspects katika kushiriki kuibomoa taasisi nyeti sana ya familia. Upo ukweli katika hili wapo wengi wao sana walijiingiza katika mahusiano kwa tamaa aidha kwa kujihusisha na wanaume wenye...
  12. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Taja sifa za watoto wa kiume waliolelewa na single mother

    Hapo vip! Kiukweli kuna madhara makubwa mtoto wa kiume kulelewa na mama tu. Madhara. 1.Hana msimamo kama mwanaume. 2.Anaamini ushauri wa mwanamke kuliko wa mwanaume. 3.Sio mtu wa kuaminika kama mwanaume mwenye kusimama kama mwanaume(anaweza akawa msaliti juu ya jambo fulani kirahisi) 4.Hawezi...
  13. Satirical Yet Awesome

    JamiiForums Tanzania Hivi kijana unaejielewa inakuaje hadi unaoa single mother?

    Hakuna mtu ana options nyingi kama mwanaume, kwann unaoa single mother, katika wanawake wote hawa hujapata kweli ambaye hana watoto? We ni mwanaume, unataka kuanzisha familia, inakuaje unaenda kuchukua mtu ambaye tayar ana kifamilia chake pembeni? Mwanaume mwenzangu, take your time choosing...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na mwanamke aliyetaka kunibebesha jukumu lisilonihusu nimecheka sana

    Ebana mwaka 2023 mwez wa9 mwanzoni nilikutana na huyu single maza tukakubaliana kutimiziana haja zetu bila mkataba kwani tulitafutana mara tu tulipokuwa tunahitajiana. Sasa mwez wa9 mwishoni 2023 akaenda dar kufata mzigo ni mfanya biashara wa nguo za watoto. Kakaa kama wiki mbili hivi. Mwezi...
  15. The Dictator

    JamiiForums Tanzania RIHANNA: Sipo tayari kuwa single mother hata kama najitosheleza kulea mwenyewe

    Haya ni maneno aliyoongea billionea Rihanna kwenye moja ya interview zake ambayo ilizua hisia tofauti tofauti miongoni mwa mashabiki zake. " Sitaweza kuachana na mme wangu hata kama akinichiti kwa sababu wanangu wanamuhitaji baba yao na pia hata mimi nahitaji niwe na familia iliyotimia."...
  16. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Unakataa Watu wasioe single mother Wakati wewe uliyenaye hukumkuta Bikra, chongo na kengeza hawachekani

    Mughonile Kûna Vijamaa humu vinachekeshaga Sana, unakuta vimekaza mishipa kîla Siku kuponda single mother alafu vyenyewe vipo na Wanawake àmbao hawakuwakuta na Bikila. Chongo hamacheki mwenye kengeza. Demu asiye na bikra na singe mother wàpo kundi Moja. Hamuwezi kuchekana kivile. Wôte mmeuziwa...
  17. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Mliooa Single mother na wale wenye mpango huo, hebu msikilizeni huyu mwamba

  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tuwekane Sawa; Single mother NI Yule asiyeweza kuhudumia Watoto wake na Anahitaji kutunziwa Watoto na Mwanaume Mwingine àmbaye hakumzalisha

    TUWEKANE SAWA; SINGLE MOTHER NI YULE ASIYEWEZA KUHUDUMIA WATOTO WAKE NA ANAHITAJI KUTUNZIWA WATOTO NA MWANAUME MWINGINE ÀMBAYE HAKUMZALISHA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kelele zote na Kejeli zote unazozisikia Kuwahusu single mother msingi wake Mkûu ni ufukara walionao Wanawake wengi...
  19. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Natarajia kuwa single, jimbo litakaa wazi

    Huyu mwanaume nimemchoka. Nitaorodhesha weakness zake hata wewe utaniambia nilipaswa kummwaga zamani. Sababu z kuachana 1. Mlevi kupindukia 2. Kwa siku anatumia si chini ya laki3 3. Ameoa anaishi na mke kwa siri. 4.
  20. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kwanini mama zetu ambao ni single mother hawataki tuoe single mothers?

    Mama zetu ambao wamekuwa single mothers ukitaka akupe laana basi wewe oa single mother Hawataki kabisa usogelee single mother katika MAISHA yako
Back
Top Bottom