single mother

A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi huu mjadala wa kishamba wa kuwatoa maana single mother ni hoja Tanzania tu au na mataifa mengine?

    Unaweza ukapoteza single mother wa kukusaidia maishani kwa sababu ya uchoyo na ubinafsi na chuki na kiburi.huijui kesho yako wape watu nafasi waishi.unaweza kukuta huyo unayemuona hajazaa amewahi kutoa mimba mbili na ashafanya mapenzi zaidi ya mara 500 Ila single mothers ukakuta amefanywa mara...
  2. JamiiForums Tanzania Single mother wote nchi hii karibuni mkoa wa Mara,Ukuryani, kwa nini uteseke? Kwa nini ujione kama ulikosea hii dunia? Hakika hutojutia

    Slogani yetu sisi wakurya "Tunataka watu,na kitanda hakizai haramu " Nashangaa mdada unateseka huko uliko kisa huna mume na huwezi kuolewa kisa una watoto wako uliozaa na mwanaume mwingine huku ukiwaza watoto wako wataishije mbeleni? Sisi Ukuryani tunataka watu,njoo na wanao utaolewa na majina...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ninayetaka kumuoa ana mchepuko mwingine

    Habari zenu? Kuna single mama mmoja binti wa miaka 25, nimekuwa naye kwenye mahusiano Kwa karibu mwaka mmoja na sasa hivi ana ujauzito wangu wa miezi 5. Ila ana mtoto wa miaka mitano aliyezaa na mwanaume mwingine. Huyo mwanaume walishaachana kitambo tangu mtoto akiwa ana mwaka na jamaa huwa...
  4. JamiiForums Tanzania Who is Single Mother?

    Heshima kwenu wana jamii.... Hili swali huwa linanitatiza. Je nani ni single mother? Nini maana ya single mother? 1. Ni mwanamke aliyezaa nje ya ndoa na hajaolewa na hapati matunzo ya mwenza? 2. Ni mwanamke aliyezaa na hajaolewa hata kama anapata matunzo ya mwenza? 3. Ni mwanamke aliyezaa...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

    Nimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona kabisa huyu naenda kufanya nae maisha, yaani mtoto ni mweupeee waarabu flani wa kasulu huko. Lakini...
  6. JamiiForums Tanzania Sio kila Single Mother anateseka na maisha wengine wanabarikiwa baada ya kuwa Single Mothers

    Shalom, Siwezi kusema mengi sana kuwa single mother ni matokeo ya maisha ya sisi wanadamu kama ilivyo kwa magonjwa na vifo na mengineyo. Kuna single mothers wamebarikiwa baada ya kuwa single mothers, wengine wamefunuluwa baraka na Neema tele baada ya kuachika kwenye ndoa zao. Kuna baadhi ya...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimuoe huyu binti au nisikilize ushauri wa Wazazi wangu?

    Habari zenu Wana JamiiForums?. Mimi nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja Kwa miezi kumi sasa. Dada huyo ni mama WA MTOTO mmoja WA miaka mitano, jamaa aliyezaa naye walisha achana siku nyingi, na Kwa SASA ana familia yake, ila wanalea tu mtoto. Sasa Kwa BAHATI MBAYA au NZURI huyo dada ana...
  8. JamiiForums Tanzania Nimeangukia kwa single Mother

    Ndugu zangu, Mimi mmoja kati ya wale vijana ambao niliapa kutooa single mother na pia ni muumini wa kataa ndoa ila sasa kama mnavojua usilolijua ni sawa na usiku wa giza katika pilikapilika nikakutana na huyu mdada mmoja tukaanzisha mahusiano kama kawaida ila siku zinavyozidi kwenda naona naona...
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake msiotaka kuwa single mother pitieni hili bandiko

    Wale ambao mshakuwa single Maza poleni sana Sina Cha kuwaambia zaidi ya kuwakumbusha kwamba maji yakishamwagika hayawezi kuzoleka Tena Enyi mabinti Usibebe mimba wakati upo kwenye mgogoro na mwenza wako..jiepushe kadri iwezekanavyo Usibebe mimba wakati ushajua mwenzio anakuhisia vibaya kwamba...
  10. JamiiForums Tanzania Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila mimi nitaongelea sababu zinazofanya wanaume wenzangu wengi wawe wagumu kuoa au kuanzia mahusiano ya...
  11. JamiiForums Tanzania Nimepata manzi mtandaoni single mother anaishi ughaibuni, ananishawishi nihame bongo nifanyeje?

    Haya maisha kuna muda yana maswali magumu kama sio kigugumizi miezi kama sita sasa nimedate na manzi raia wa canada ila ana asili ya kenya ndoa yake imefeli 2021 na baada ya talaka kutoka akaamua kuishi mwenyewe na watoto wake wawili sasa toka tumeingia kwenye mahusiano muda mwingi ananisisitiza...
  12. JamiiForums Tanzania Single mother kampiga mwiko wa kichwa Baba wa kufikia

    Jambo? Hili tukio limetokea mtaani kwetu kuna jamaa ameoa Single mother, sasa usiku wakiwa sebuleni jamaa akasikia meseji imeingia kwenye simu ya Single mother. Lahaullah ile kuangalia anakutana na meseji inayosema, "Mpenzi unakuja lini kwangu kunipikia, nimemisi mahanjumati yako mpenzi"...
  13. JamiiForums Tanzania Video: Angalia hapa jinsi Single Mother anavyosumbuliwa na mzazi mwenza

    Single Mother wanachangamoto sana, angalia hapa jinsi mzazi mwenzake anavyomuharibia mahusiano yake (Vitimbi).
  14. JamiiForums Tanzania Aina ya single mother unayeweza kuingia naye kwenye ndoa

    Habarini na poleni na majukumu Uzi huu nimeandika kutokana na mada mbalimbali nilizokutana nazo zinazohusu mahusiano ya kindoa juu ya single mothers Kwanza kabisa inabidi nitoe sababu chache za kwanini mwanamke anakuwa single mother. 1. Baba mtoto kukataa mimba au mtoto. Kiukweli hakuna jambo...
  15. JamiiForums Tanzania Single Mother ananikonyeza

    Wakuu kuna Single Mother mmoja kila akiniona ananikonyeza na kunitikisia Wowowo lake mithili ya tetemeko la ardhi! Wakuu sio mtego huu?
  16. JamiiForums Tanzania Humtaki single mother sawa basi nenda kaoe ambae sio single mother uwache kuwasema vibaya single mother

    Idadi ya single mother ni ndogo mno lakini watu wanavyosema kuhusu single mother utadhan ni janga la taifa. Post nyingi zinawesema vibaya single mother kwamba sio wife material. Humtaki single mother Nenda kaoe ambae hajazaa stop kueneza chuki.
  17. JamiiForums Tanzania Single mother amtamkia maneno mabaya Baba wa kufikia

    Hii imetokea mtaani kwetu, kuna Single Mother alikuwa ameolewa na Jamaa anaepiga vibarua vya kutengeneza simu mtaani. Sasa Jamaa wakati akiwa ofisini na mtoto wa kufikia mwenye umri wa miaka 14 yule dogo akaidondosha chini simu ya mteja. Ikumbukwe kuwa jamaa huwa anamkatazaga Dogo asiwe...
  18. JamiiForums Tanzania Single Mother ampiga kibuti Baba Mlezi

    Aisee! Hii imetokea mtaani kwetu, kuna Single Mother alikuwa ameolewa na Jamaa mwenye pesa. Kama unavyojua maisha ni kupanda na kushuka, yule jamaa kafukuzwa kazi na hana inshu yoyote zaidi ya kupambana na vikazi vidogo mtaani. Hauwezi amini yule Mwanamke kambeba mwanae na kumkimbia jamaa na...
  19. JamiiForums Tanzania Single mother anaamini kuwa step-Dad hampendi mwanae bali anaigiza

    Habari zenu, Ewe Mwanaume uliejibebesha majukumu ya mwanaume mwenzako kwa kusingizia upendo tambua kuwa Single Mother aamini kuwa unampenda mwanae bali unaigiza. Siku mwanae akiwa anaumwa na ukashindwa kumpeleka hospital atasema unataka mwanae afe kwasababu humpendi. Siku ukimkemea mtoto na...
  20. JamiiForums Tanzania Unajisikiaje Single Mother anapompost mwanae kwenye mitandao?

    Habari zenu, Hili ni swali kwa Vijana wabishi walioamua kuoa Single Mother. Unajisikiaje pale unapoona Single Mother uliemuoa anampost mtoto wake na kuandika maneno kama My World, My Everything halafu Baba Mtoto nayeye anakuja kucomment My family.? Kumbuka kuwa wewe hujawahi kutamkiwa hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…