single mother

A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.

View More On Wikipedia.org
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mbona huku Zanzibar hakuna single mother?

    Single mother ni zao la Uzinzi. Kama sio mbona hapa Zanzibar hakuna single mother? Na Kama wapo ni wachache mno na wanaume wengi wamewastiri .
  2. Iziwari

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuwepo kwa single mother

    Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wanawake wanao lea Watoto wenyewe katika jamii zetu. Sio kwamba ni sifa mbaya lahasha, bali ni moja ya mfumo unaoanza kuzoeleka na kufanywa kuwa kama ndio mfumo wa Maisha. Na nikisema wanalea wenyewe namaanisha bila kuwa na baba kama msimamizi. Lengo kuu la...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nasisitiza; Binti usizae kabla hajakuoa(Epuka kuwa single Mother)

    NASISITIZA; BINTI USIZAE KABLA HAJAKUOA "EPUKA KUWA SINGLE MOTHER" Na, Robert Heriel Elewa kuwa jukumu la kubeba mimba Kwa mwanamke ambaye hajaolewa ni lake mwenyewe sio la mwanaume. Sisi wanaume hatuna muda wa kuwaza mambo ya mimba ambayo hayatuhusu Kwa watu ambao hatujawaoa. Ndio maana hata...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

    Wakuu Nimekuwa na mahusiano ya takribani mwaka mmoja na mwanamke ninayempenda mpaka kufikia kuamua kutangaza ndoa Kila kitu kuhusu kutambulishana kilishafanyika kwao na kwetu, mahari pia nimelipa japo sijamaliza yote lakini wazazi wamebariki tuendelee na mchakato wa ndoa Huyu mchumba wangu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuuteka moyo wa single mother mpende mwanaye kuliko yeye

    Mbinu ya kivita nawapa ukitala kuuteka moyo wa single mother mpende mwanaye kuliko yeye
  6. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Watoto wanataka kuishi na Baba ambaye aliachana na Mama yao baada ya kuanzisha mahusiano na Mwanaume mwenziye

    Kuna rafiki yangu mmoja amekutana na changamoto za kifamilia. Yeye ni singo maza, ila huwa tunapeana kampani na ushauri mbalimbali pale panapohitajika. Waliachana na mumewe, miaka saba iliyopita na walifanikiwa kupata watoto wawili wa kiume; ambao kwa sasa mmoja ana miaka 13 na mwingine 9...
  7. G.Man

    JamiiForums Tanzania Men Talk: Kuhusu Single Mom's

    Habari MMU Niaendee moja kwa moja na hoja yangu, Nimekuwa nikiona nyuzi nyingi sana kwenye mitandao, nimeskia stories vilingeni na kushuhudia baadhi ya mikasa kuhusiana na hawa dada zetu. Kote huko comments kutoka kwa wanaume huwa ni mbaya tu, kejeli , matusi na lawama nyingi sana, Wakati...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  9. Aizna

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kumekuwa na ongezeko kubwa la watoto kulelewa na mama pekee?

    VIP
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume anaelelewa na single mother kuna uwezekano mkubwa akawa "beta male"

    Muhimu: watoto wa kiume wanaozungumziwa ni wale ambao wapo sana na mama zao, achana na wale ambao wana lelewa na single mothers ila wana farher figures au wana kampani kubwa ya wajomba au hata kuwa na marafiki wanaume wenye maadili. Sababu kubwa ni kwasababu wanawake wanalea watoto kwa...
  11. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Single mothers nawaibia siri nyingine

    Baada ya akili, mwili na roho kujikusanya, wanaume wengi tumekubaliana bila kutokukubaliana kuwa single mothers wengi wanapendwa na kuhitajiwa zaid kuliko mabinti. nitatumia neno "walio wengi nikiamini kinyume na mimi hawakosag. Sababu za wazi baadhi ni : 1. Single mothers wengi wamefikia...
  12. kwisha

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo kuoa mwanamke mwenye mtoto?

    Hallo ndugu zangu Kuna jambo ambalo linanitatiza kidogo naomba ushauri kutoka kwenu Hivi kuna madhara gani ya kuoa mwanamke mwenye mtoto? Sasa ni hivi kuna dada mmoja wa Kigoma ambaye tulipendana naye na tulivyo pendana akunificha aliniambia yeye ana mtoto Nikamuliza situation ilikuwaje mpaka...
  13. Lavit

    JamiiForums Tanzania Maisha hayako fair, kuna muda unakutana na mwanamke ana sifa zote unazotaka lakini Single Mother

    Kuna mambo yanaumiza sana moyo, unakutana na mdada unajisemea huyu ndiye niliyekuwa namuota siku zote, sifa zote unazopenda anazo pengine unamueleza hisia zako naye anakuelewa. Lakini kinachotokea unakuta kashazalishwa na mbaya zaidi baba mtoto bado yupo hai😃😃 Kuna muda mpaka unatamani ubebe...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Niwatie moyo "single mothers"

    Miaka kadhaa iliopita dada yangu alizalishwa, na yule mwanaume alijibu jeuri sana wazazi walipomtafuta kumuuliza kuhusu kumpa mimba Yao, Kwa jeuri nyingi alisema amebeba kwa umalaya wake. Miaka Mingi imepita yule baba alienda alioa kwa harusi kubwa sana akabahatika watoto wawili na yule mkewe...
  15. BradFord93

    JamiiForums Tanzania Siku hizi kubambikiwa ujauzito imekuwa kawaida

    Mshikaji alikuwa na mwanamke kwa muda kama mwaka hivi. Mwanamke anaenda analala na kusepa asubuh kwa mama yake Yule dada wengi walikuwa wanajua tabia zake za kurukaruka. Wengi walikuwa wanasema kuwa huko mtaani kwao watu kibao walikuwa wanajilia kama utani (kuna washikaji zangu wana camp flan...
  16. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Huyu single mother nasitisha mara moja kumuoa

    Hapo vip!! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtu ambaye nilikuwa siamini katika kumuoa single mother ila baadaye nikajikuta nimekutana na single mother nikaona nitengue msimamo wangu ila kwa hili msimamo wangu narudi kuiheshimu. Mnamo mwaka huu mwezi wa January, nimekutana na...
  17. Omela Odongo

    JamiiForums Tanzania Enyi wanaume acheni kuwapiga mawe wanawake wakati ninyi ndio mnaowazalisha

    Nawasalimia Wana jf wote nikitumai mu wazima na weekend hii tulivu. Mimi ni member mpya katika jukwaa hili kwa kuandika na kuchangia maada lakini nimeanza kuichungulia Jamii forum tangu mwaka 2010. Niende kwenye maada moja kwa moja, nimekuwa nikisoma maada humu kwenye jukwaa...
  18. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania I am addicted to Single Mothers

    1. Huyu nilimpa 2018. Nilimpata akiwa ananyonyesha. Alinipa sababu ya yeye kuachana na baba mtoto ni kwasababu alimuacha tu akaenda kuoa kwengine ila alinishangaza, maana nilimkuta na mtoto wa kunyonyesha. Nilijiuliza, Sasa aliachwa lini na baba mtoto akaoa lini, HAYANIHUSU MI NACHOHITAJI NI...
  19. Gorgeousmimi

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnawahukumu mno single mothers?

    Kheri ya pasaka waungwana! Ningeanza na kusema kwenye kila jambo kuna pande mbili za shillingi. Katika pitapita zangu nyingi nimegundua kuna uzi nyingi katika jukwaa hili la MMU zinazowakandamiza na kuwaponda single mothers! Mnasahau kama hao walowatia mimba single mothers nao ni single...
  20. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Mwenye ushahidi kuwa “single mothers” wakishaolewa huwa wanapasha kiporo na wazazi wenzao aulete hapa

    Nimeshuhudia single mothers wengi wakiolewa na ndoa zao zinadumu lakini nashangaa wanaume wengi huwaponda kuwa huwa wanapasha kiporo na wazazi wenza. Binafsi nimelifanyia uchunguzi nikaona halina ukweli wowote. Mwenye ushahidi juu ya hili alete
Back
Top Bottom