singida

Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Tujengewe Chuo Kikuu mjini Singida kwa maendeleo ya mji

    Mji wa Singida uko katika ya Inchi lakini kitu cha ajabu sana ni kwamba hakuna hata chuo kikuu kimoja. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. Pombe John Makufuli anapotangaza kuwa anatoa mikopo kwa zaidi ya Wanafunzi 100,000, kwa mwaka ni pesa nyingi sana inalipwa. Katika pesa hii...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu apata mapokezi ya Kifalme Kijijini kwao Singida

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu ameingia jimboni kwake Singida Mashariki na kulakiwa na umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa katika Jimbo Hilo. Akiwa na msafara mkubwa wa magari, pikipiki, bajaji, baiskeli na Punda kiongozi huyo kipenzi Cha Watanzania ameingia rasmi kwenye Jimbo...
  3. JamiiForums Tanzania Viongozi wa BAVICHA Singida kufikishwa Mahakamani leo

    Hawa vijana wanateseka kwa sababu za kishamba sana zilizoambatana na njama ya Jeshi la polisi kwa lengo la kuokoa ccm Singida , leo kuna rufaa ya kutaka waachiwe kwa dhamana Mashitaka yao ni vituko vitupu ! kuna haja ya CHADEMA kuweka uchunguzi maalum kwa jeshi la polisi Singida ili kufahamu...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi: Ikiwa Tundu Lissu atagombea Urais 2020, Majimbo haya Singida yajiandea kuwa CHADEMA

    Asalaam wajumbe wa jukwaa hili! Nataka niwape taarifa kwa wanaccm wote ambao ni wagumu kuelewa, hili nalisema kabisa kutokana na hali ilivyo ambayo inaambatana na matukio ya kura za maoni CCM ambayo kwa kiasi kikubwa yalitawaliwa na rushwa. 99% ya majimbo ambayo yalifanya uchaguzi kura za...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Kilio hiki kikufikie Dkt. Bashiru na Rais Magufuli. Rushwa yatoa mgombea Singida Magharibi

    Wasalaam viongozi wangu taifa! Kwanza kabisa ninaomba kuwasilisha vilio vingi kwa niaba ya wanachama wa CCM jimbo la Singida magharibi kupitia jukwaa hili. Ninamfahamu kabisa viongozi wangu mwenyekiti na katibu wa chama changu taifa uadilifu wenu hauna mashaka na hauwezi kutiliwa shaka ya...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Singida Magharibi na Halmashauri ya Wilaya Ikungi msiachie lulu hii

    Na Fundi madirisha, Nawasalimu sana ndugu zangu wananchi wa jimbo la Singida Magharibi. Mwafanga naa! Amuchii! Kwa ufupi ndugu zangu wa jimbo la Singida Magharibi hasa wapiga kura za maoni nataka niwadokezee kidogo, mna mtu mmoja mpambanaji na ni mtu wa kazi sana anaitwa HAMISI LISSU MAHANJU...
  7. JamiiForums Tanzania Lema: Vijana wa CHEDEMA wanyimwa dhamana Singida kisa kuimba nyimbo ya Taifa na bendera ya chama

    Nilikwenda Singida kuwasalimu KM BAVICHA Nusrat/ Mwenezi Twaha Mwaipaya, sikuweza kuwaona wanashitakiwa kwa kosa la kuimba wimbo wa Taifa huku wakiwa wameshika bendera ya Chama. Wote wamenyimwa dhamana, kwani hati ya kiapo cha DPP inasema wao kukaa kwao nje ni hatari kwa usalama. Mahakama...
  8. JamiiForums Tanzania Nusrat na Twaha: Viongozi wa Bavicha waliokamatwa Singida Wanyimwa dhamana

    Leo Julai 10,2020 Mahakama ya Wilaya ya Singida imewanyika dhamana Katibu Mkuu wa Bavicha Mhe. Nusrat Hanje, Mratibu wa Uhamasishaji Mhe. Twaha Mwaipaya na wenzao watano katika kesi ya jinai namba 115/2020.
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu atikisa Singida, foleni ya kumdhamini utadhani kuna uhaba wa sukari enzi za RTC

    Hapa ni Ikungi , Singida Mashariki .
  10. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Azam amfunga Singida United goal 7-0 ashika nafasi ya pili

    Azam imeishindilia goal 7 timu ya Singida United kwa nunge huku chirwa akitupia goal 4 mawili akifunga nado na 1 Ni lakujifunga.Kwa maana hiyo Azam amerudi kwenye nafasi yake ya pili na kumtoa Yanga.
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Singida Magharibi wananchi wamlilia Hamisi Lissu Mahanju wa CCM kuhusu ubunge, wadai Kingu ni mwongo

    Na Fundi Madirisha, Muhintiri-Ikungi-Sigida. Katika harakati zangu za kupitapita katika kila kona ya jimbo la Singida Magharibi ili kujipatia taarifa muhimu juu ya mwenendo wa siasa za jimbo ambalo limekua chini ya CCM tangu Uhuru, inaonekana wananchi wa eneo hili wamechoka sana...
  12. JamiiForums Tanzania Mr. Masementi: Mbunge aliyestaafu Singida Magharibi

    MR MASEMENTI, hili ni jina alilobatizwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi 2015- 2020 ndugu Bariki Kingu. Hili ni jina maarufu kutokana na tabia ya huyo ndugu kudhani kila wakati akiulizwa kero za wananchi anafikiria wanahitaji Mifuko ya sementi. Cha kuna tukio alilowahi kupita...
  13. JamiiForums Tanzania TAKUKURU Singida yamfikisha Hakimu kizimbani kwa kuomba na kupokea Rushwa

  14. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Intelijensia wa CHADEMA kanda ya Serengeti pamoja na M/kiti wa Bawacha Jimbo la Singida Mashariki Bi Anna Dulle wajiunga na TLP

    Watanzania wenzetu wasalaam, Leo tumepokea wanachama wapya wawili toka CHADEMA 1. Oscar Kaijage Kaindoa 2. Bi Anna Dulle
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Singida Magaribi CCM tunaweza kulipoteza kwenda CHADEMA 2020

    Naomba nilizungumze hili kwa moyo wa dhati kabisa na kwa mapenzi makubwa kabisa ya chama changu. Bado tunaamini kwamba chama chetu hakijapata mbadala wake na bado hakuna dalili hizo kwa maneno ya mzee wangu makamu mkuu wa chuo cha UDSM Prof Mukandara. CCM chama changu pendwa, kuna malalamiko...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Lodge gani nzuri affordable Singida Mjini!

    Wakazi wa Singida Ni Lodge gani hapo mjini Ni nzuri na affordable! Naomba kujua ..Bei,naLocation
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini lakini huyu mpenzi wangu wazamani?

    Habari wakuu na heshima kwenu mabaharia wote waongoza njia na wajasiri wapambanaji. Niliwahi kuishi na dada mmoja wa kinyiramba ambaye alikuaga mpenzi wangu wakati nipo Advance Level yeye yupo O-Level. Tulipotezana kwa miaka 11 nikaskia ameolewa Arusha, basi siku moja nilikutana na rafiki yake...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi hii njia ya Mbeya Singida inapita wapi

    Nataka kujua hii njia ya kushoto yenye blue kwenye Ramani kutoka Mby kwenda Sngd inapita mikoa gani pia nataka kujua route ipi ni convenient kati ya hii na ya kulia kupitia Iringa - Dodoma- Manyoni- Singida kutokea Mbeya Singida - Mbeya route Mbeya - Iringa - Dodoma - Manyoni - Singida...
  19. JamiiForums Tanzania Singida: Rais Magufuli awasihi Watanzania kuchapa kazi. Corona haikuanzia Afrika na imewakoromea wote hata wale wenye uwezo

    Amewaponngeza Watu wa Singida na kufurahi mnama mkoa huo unavyopendeza. Amesema amefurahi kuona Watanzania wakiwa wandelea kuomba kuhusu #COVID19 Rais #Magufuli: Janga la #COVID19 limepungua sana pamoja na kuwa bado hailijaisha. Ndugu zangu tuendelee kuchukua hatua. Katika mkoa wa Singida...
  20. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Singida United waipigia Chafya Mbeya City !!

    Singida United waliokuwa wanatajwa kwa jina la ' Wa Mochwari ' hasa baada ya kuangushiwa kipigo cha mabao 8 - 0 na S.S.C leo wamepiga chafya baada ya kuivurumisha Mbeya City 2 - 1 . Hii ni warning kwa wale wanaofikiri watapata kitonga wakikutana na Singida.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…