simulizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Naaaaaaammmm! Wapenzi na wafuatiliaji wa simulizi za mtunzi wako hodari mahiri kutokea nchi ya mbogoland na sie mwingne ni Edgar Mbogo, baada ya ukimya wa muda mrefu sasa tumerejea tena na kigongo kitaaaaaaamuuuu cha kusisimua kitachokujia hapa hapa Jamii Forums, kina kwenda kwa jina laaaaaa...
  2. Simulizi - Dosari (a life full of flaws)

    DOSARI A Story by Elton Tonny Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Uhalifu, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa R-rated 18+ Enjoy! ★★★★★★★★★★★★★ SEHEMU YA KWANZA ★★★★★★★★★★★★★ Ni usiku wa saa tatu ndani ya hospitali moja ya mtaa, ambapo kuna watu wengi hapa...
  3. Simulizi bora za wakati wote, za kweli hapa jukwaani

    Aslaam aleykum ! Katika kipindi nilichokuwa humu hawa ni miongoni mwa watu wenyewe visa na mikasa ya kweli na wana vipawa vya kusimulia, Ingekuwa jeshini walikuwa wanapewa nyota na bibi na bwana mabegani,wasimuliaji hawa ni kama ifuatavyo 1 LWANDA MAGERE ,huyu mtu atengwe dunia yake ili tulaza...
  4. N

    Simulizi ya Kijasusi.CHANZO NI YEYE

    Sura ya Kwanza: Dar es Salaam ilikuwa ni jiji liliojaa uhai. Kila kona ilikuwa na harufu ya bahari, kelele za magari, na kelele za biashara za mtaa. Mtaa wa Majengo ulikuwa ni jiji ndogo lenyewe, ambapo Ayubu aliishi. Alikuwa ni kijana mwenye umri wa miaka ishirini na tatu, aliyeishi maisha ya...
  5. A

    NAUZA HADITHI ZA SIMULIZI, MIKASA NA ZA KUTISHA.

    Wadau hadithi hizo ni zangu na kila moja ukitaka full unatuma 1500. Nifuate DM
  6. Simulizi: Mwambie Nimesafiri

    Katika jamii nyingi za Kitanzania, ujauzito ni safari ambayo inapaswa kuwa ya wawili, lakini kwa wanawake wengi wa maeneo ya vijijini kama Terrat, safari hiyo inageuka kuwa ya upweke, huzuni na changamoto kubwa. Kupitia simulizi ya sauti yenye mguso wa kipekee, inayojulikana kama “Mwambie...
  7. Simulizi tamu ya aliyewekeza kwenye taaluma

    Injini ya meli kubwa iliharibika, na hakuna alieweza kuitengeneza, wakaamua wamtafute fundi mwenye uzoefu wa miaka 30, alipofika akaiangalia injini yote kwanzia juu hadi chini, baada ya kukagua kila kitu akatoa nyundo ndogo iliyokua kwenye begi lake akagonga sehemu flani ya injin kidogo sana...
  8. T

    Simulizi ya kijasusi: Mke wangu rudisha moyo wangu

    Note : 18+ MKE WANGU, RUDISHA MOYO WANGU Awamu ya Kwanza: Siri ya Kivuli Nilisimama mbele ya dirisha la ghorofa ya tatu nikiangalia mitaa ya jiji kwa tahadhari. Taa za barabarani zilimwaga mwanga hafifu juu ya barabara yenye watu wachache. Moyoni, nilijua sikuwa salama—na wala si kwa sababu ya...
  9. Haya maisha yanapotea kwa kasi. Kuna wakati yatabaki kwenye vitabu vya simulizi tuu

    Maisha ya kijijini.. Mandhari za kuvutia sana.. Changamoto kiduchu.. Wote mnafamiana.. Hakuna gesti za wageni au ni chache na hizo chache hazina shorttime na hazina vibao vya vyumba vimejaa😀
  10. Tupeni simulizi kidogo kuhusu hiki kitabu

  11. “Everyday” ya Phil Collins: Simulizi ya Maumivu na Kumbukumbu za Mapenzi

    “Everyday” wa Phil Collins Wimbo “Everyday” wa Phil Collins ni mojawapo ya nyimbo zenye hisia nzito zinazozungumzia maumivu ya moyo baada ya mahusiano kuvunjika. Wimbo huu ulitoka mwaka 1993 katika albamu yake Both Sides, ambayo ilijulikana kwa mtazamo wake wa kibinafsi na wa kina wa hisia...
  12. SIMULIZI: KANGA SEASON 01

    HADITHI FUPI - S01E01 "KANGA" - [Rudisha Kwa Mhusika] Mtunzi. Xavery Luoga (Mkandarasi) Na. +255672493994 ___________________ Atuganile Chamse, mrembo aliyeshindana na mumewe kwa muda mrefu, muda huu alikua anamalizia kupanga vitu vyake kwaajili ya kumkimbia huyo mumewe. Safari yake ya siri...
  13. Simulizi: My family 02

    Simulizi: My family Sehemu ya pili Mtunzi: Kijana Masikini ILIPOISHIA "Daa Qashy nae akapanda bodaboda na kumpa ishara dereva aifate pikipiki aliyopanda yule mzee. Muda huo watu walikuwa wanaendelea na shughuli zao kama kawaida, mimi nikaenda sehemu aliyotupa simu...
  14. Simulizi: My family

    Simulizi: My Family Sehemu ya kwanza Mtunzi: kijana Masikini UTANGULIZI. Wamakonde tunasema "nnume alage mmahe anyete" Yaani "Mwanaume apambane hadi kukonda ili mwanamke anenepe" Simulizi hii ni zawadi ya valentain day kwa mtu mmoja humu jamii forums, Kama olivyo kwa konde boy ndivyo ilivyo...
  15. Kuna simulizi naitafuta humu. Title nimeisahau nakumbuka habari za mtunzi

    Wakuu napenda sana simulizi. Hii simulizi mhusika alienda kijijini kwa babu yake. Akaenda kuishi pangolin siku tatu. Alipewa ufunua na kuona ambavyo wengine hatuvioni. Kwa kifupi ni simulizi ya kweli kwa.mujibu wa mtunzi. Naomba ambaye anaifamu anitag nayo. Wasalaam
  16. Simulizi, Mikasa, Vitimbi na Visa vya wasanii wa zamani wa bongo fleva - A special thread

    Hii ni thread maalum ya simulizi mbalimbali pamoja na visa, mikasa na vitimbi vya wasanii wa zamani wa bongo fleva. Stay tuned....
  17. Simulizi: Tenjee na Zingota

    TENJEE na ZINGOTA (Sehemu ya 1) MSITUNI KWA ZINGOTA** Jengo la lililochakaa katikati ya msitu wa kale uliokauka. Kulikuwa na wanawake wawili katika jengo hilo, mmoja ni binti mdogo na mwingine mtu mzima. Binti mdogo mrembo, alikuwa amelala, wakati mkubwa alikuwa mzee sana hata hakuweza...
  18. John Wick 2014 haina simulizi inayoeleweka! Storyline yake ni mbovu!

    Awali ya yote kwa yeyote aliyekuja pupa ili kunijibu nina maneno mawili tu, "Punguza spidi", rejea kichwa cha uzi kisome vizuri kisha urejee tena. Nakiri kwamba sikuwahi kuangalia filamu ya John Wick hapo awali, nilikutana na Posters zake tu ila sikupata muda wa kuitazama. Siku ya juzi...
  19. Simulizi: Nyuma ya mlango wa adui

    Naam Kwa Wale Wapenzi Wa Simulizi Mtumzi Wetu EDGAR MBOGO ametuandalia Kigongo Kingine Hichi Sio Cha Kukikosa Kitakujia Hapa Hapa Jamii Forums, Kwa Wale Ambao Wamesoma Simulizi Ya (Asali Haitiwi Kidole) Huyu Deusi Frank Nyati Atakaetajwa Humu Ndio Kaka Yake Edgar Na Shemeji Yake Radhia Sasa...
  20. R

    Eti ni kwanini ndani ya BIBLIA hakuna simulizi za utani Wala mzaha, tunapata fundisho Gani?

    Salaam,Shalom!! Enyi Wana wa Mungu msomao BIBLIA, ni wapi umewahi kusoma simulizi yoyote yenye utani au mzaha? Yaani ukakuta Mungu akimtania Nabii wake, au Nabii alifanya mzaha Kwa wafuasi wake? Hii mizaha na utani wafanyayo watumishi wa Mungu wa Leo wakiwa madhabahuni wanaitoa wapi? Wana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…