simu

  1. E

    JamiiForums Tanzania Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

    Ndg poleni na Msiba mkubwa wa Mwele ambaye ni mtoto wa Mzee Malecela. Yapata mwezi mmoja sasa Ndugai hajajitokeza hadharani tangu ajiuzulu Uspika. Hata vikao vya binge hajaonekana. Sasa swali la msingi ni Je atakuja kwenye Msiba wa ndg yake Malecela ambaye wote ni wenyeji wa Dodoma? Acha tuone.
  2. JamiiForums Tanzania Msaada App ya Ku stream live football games kwenye simu

    Habari wakuu! Tafadhali naomba Msaada kutoka Kwa yeyote ili nipate application yoyote ambayo nita install kwenye simu ili niweze kuwa Na stream live games za soccer nikiwa mbali Na tv. Hii ni nje ya Azam max, hiyo ninayo tayari. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  3. JamiiForums Tanzania Ngorongoro: Radi yajeruhi watu wawili wakitumia simu wakati mvua inanyesha

    Watu wawili wakazi wa Olodonyokeri, Kata ya Ngorongoro Mkoa wa Arusha, wamejeruhiwa na radi wakiwa machungani na kusababisha majeraha sehemu mbalimbali za miili yao. RPC wa Arusha, ACP Justine Masejo amesema chanzo cha tukio hilo ni matumizi ya simu wakati wa mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha...
  4. JamiiForums Tanzania Majibu ya Nape Nnauye kwa Batuli kuhusu malalamiko ya bando la simu

    Hivi ndivyo staa wa filamu, Batuli alivyotumia ukurasa wake wa Twitter kulalamika kuhusu bando lake la simu, kisha Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akaingilia kati na kumpa ushauri wa kwenda TCRA. ========= Ameandika Muigizaji Batuli Hivi Kuna Mtu Mwingine...
  5. JamiiForums Tanzania Simu Janja kupima COVID-19 Zanzibar

    Serikali ya Zanzibar imezindua teknolojia mpya ya kupima uwezekano wa maambukizi ya UVIKO-19, kutumia simu janja, kwa wageni wanaoingia kupitia Uwanja wa Ndege wa Amani Abeid Karume. Uzinduzi huo umeshuhudiwa na Waziri wa Afya wa Zanzibar Nassor Mazrui, ambapo amesema Zanzibar ni nchi ya kwanza...
  6. JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Hallow wana JF, weka bei, picha, mahali ulipo, contact zako na specifications za device yako.
  7. JamiiForums Tanzania Tupia picha kali utakayopiga na simu yako tujue aina gani ya simu ina kamera matata sana

    Habarini wadau. Baada ya kuweka uzi wa maoni yangu juu ya kamera ya simu ya Iphone 13 Pro maarufu kama macho matatu, Wadau wengi ambao hawatumii Iphone wala Samsung waliona kama wametengwa, Pamoja na kuandamwa sana wenye Iphone japo 13pro nao walitoa povu hadi na matusi juu...
  8. JamiiForums Tanzania Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

    Habari wana mzengo! Nafanya biashara za kuagiza laptops, ipad, camera mitambo tools machines magari ,spare za magari ya kukata, Generators na nk , kama unataka kimoja wapo kati ya vitu nimetaja hapo juu, nipe ordar nikuagizie kwa pesa zangu mzigo ukifika unakuja kulipia na kuchukua mzigo wako
  9. JamiiForums Tanzania Punguzo maalum infinix hot 10 kwa laki na nusu tu, karibu

    Memory gb32 Ram 4 Condition NEW kwenye box lake Zipo nyingi Karibuni Mikoan tunatuma kwa gharama zako Namba zipo hapo
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mapenzi hayako Fair. Wakati mpenzi wa Zamaradi kawekwa kwenye bango la mil. 6, wengine hata kwenye phonebook hampo

    Watu wanapendwa asikwambie mtu, lakini wewe unatendwa na kupondwa. Wanaumeeeeee! Mpo? Mwenzenu anapendwa mpaka anawekwa kwenye bango lakini wengine hata kwenye phonebook hampo ama mme-seviwa kwa jina la "Guruwe ama Nguruwe" Mapenzi kizunguzungu hata kwa wanawake maana wapo wanaohongwa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi kutopokea simu, nini kifanyike?

    Kumekuwa na wimbi la viongozi wa umma kutopokea simu zao. Simu za mezani nyingi hazipokelewi na kiganjani pia. Je, Ili kuwepo mawasiliano rahisi kati ya Umma na Viongozi hao, nini kifanyike?
  12. JamiiForums Tanzania Ufundi simu: Karibu tujadili UFI BOX

    Wakuu nilikuja humu kuomba ushauri kuhusu box gani nzuri ya kununua sikupata majibu katika kuulizia kwa mafundi wenzangu wakanishauri UFI box itnaweza nifaa kwa bajeti yangu na nikiangalia youtube naona kwenye swala la kurestore oppo na kuchomoa frp inafanya kazi vyema nilikua nina omba mawazo...
  13. JamiiForums Tanzania Ukinunua simu online (Mfano Ebay au AliExpress) kuipata ni bahati nasibu

    Kwema wakuu. Siku hizi ukinunua simu/smartphone online mfano kutoka China AliExpress au Ebay n.k aisee kuipata ni kubet. Zoezi zima la kununua litaenda vizuri, itatumwa, utaitrack, tatizo itakavyofika Tanzania. Aisee sijui ni Airport au Posta wanapiga. Tracking inaishia “item has arrived in...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kupata haki kuhusu hii simu ya wizi iliyopo polisi

    Habari Wana jukwaa... Kuna rafiki yangu kauziwa simu ya wizi yeye alinunua huko Makumbusho polisi wameitrack wakamkamata ila akawapeleka aliponunua wakamkamata pia aliyemuuzia wakaenda kumweka ndani ili aseme kaipata wapi ndipo akawapa number za aliyemuuzia. Wakamfatilia wakajua yupo Mtwara...
  15. JamiiForums Tanzania Wapi Nitapata Camera lens za simu? zenye fisheye and wide angle lens?

    Habari zenu wana Jf, Naomba kujua kwa hapa bongo naweza pata wapi hizi Camera lens za simu. Cc Chief-Mkwawa
  16. JamiiForums Tanzania Boksi gani nzuri kuflash simu

    Wakuu nilikuwa naomba msaada boksi gani nzuri kwa software za simu, Bajeti yangu ni Million moja.
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama kuna baranch ya simu ya oppo Arusha mnisaidie location au kaskazini sehemu yoyte

    Hello wanajamvi natumaini mko njema tukiendelea kupambana na hali ya Baba Wa Taifa Kwa kifupi ndugu zangu nahitaji kununua simu aina ya Oppo lkn nilipo upatikanaj wake mdogo n kupata ile nahitaji Ila naweza fika Arusha au kati ya Arusha na moshi kununua hivyo nilikua naomba kama kuna mtu...
  18. JamiiForums Tanzania Je, hii simu niliyoinunua Amazon inaweza kusoma line za huku?

    Jamani habari ndugu? Nimenunua simu Amazon nikakimbilia bei nimekuja kungudua shinda wakati ikiwa imekwisha tumwa kuwa hii simu niyakampuni ya total wireless je, kwa hapa bongo inaweza kusoma laini za huku?
  19. JamiiForums Tanzania Namna ya Kupima Vinasaba (DNA) Kirahisi

    Hii inafanya kazi kwa Watoto wa kiume umri kuanzia miaka 9 na kuendeleea... Chukua simu yako yenye face recognition, iwe Apple, Xiaomi n.k Mchukue mtoto wako set face yake kwenye simu yako. Lock [emoji357] simu then wakati wakufungua tumia face yako wewe isipofungua jua Asilimia za huyo mtoto...
  20. JamiiForums Tanzania Mafundi simu msaada

    Wakuu mimi ni fundi simu katika kuimarisha huduma nazotoa nimeamua kununua ultrasonic cleaner kwa ajili ya kusafisha saketi zilizoingia maji nilikua naombaa msaada wa zile liquid za kusafishia na zinapatikana wap niko dodoma
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…