simu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Redmi Note 14 Pro 5G - Inauzwa (Dar es Salaam)

    Habari wakuu, nauza simu yangu binafsi ikiwa katika hali nzuri kabisa. Sababu ya kuuza ni kupata changamoto ya kifedha inayohitaji utatuzi wa haraka. Sifa za Simu: Model: Redmi Note 14 Pro 5G RAM: 8GB Storage: 256GB Battery: 5500mAh (Inakaa na chaji vizuri sana) Hali: Haina mchubuko wala tatizo...
  2. JamiiForums Tanzania Responded Manispaa ya Ubungo: Vyoo viwili eneo la Stendi ya Simu 2000 vimesitishwa kwa muda kutokana na changamoto ya kujaa maji mara kwa mara

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HUDUMA YA VYOO KATIKA STENDI YA MAWASILIANO (SIMU 2000) Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu taarifa zilizochapishwa na Jamii Forum tarehe 31 Jan 2026 zinazosema "KUSITISHA HUDUMA YA VYOO STENDI YA MAWASILIANO, KUNASABABISHA KERO KWA...
  3. JamiiForums Tanzania Tukiwaambia Hizo Simu Zenu za 1-5m ni Mitajji Mnatuita Motivational Speakers!

    Iko hivi 2025 yote kila mwezi au miezi miwili nilikuwa naagiza mzigo mdogo China. Hii ni kama side business ambayo wateja wangu kwa uhitaji wao walinishauri niwaletee hivi vitu. Mzigo wa mwisho nilitumia 1.8m kununua na mzigo kunifikia. Mzigo ulikuwa na items kama 185. Huu mzigo wote niliuza na...
  4. JamiiForums Tanzania Nilikamata simu ya mke wangu wanachati na mdogo mtu wananisengenya

    Hongereni kwa darasa la sheria kutoka kwa mh. Ndugu T.A.M LISSU. Nipo na mke wangu sasa ni mwaka wa 4 sijwahi mpiga hata kofi maana anajitahidi kwenye utii kwa kweli. Alimleta mdogo wake wa kike huku na alipofika nikaona yupo yupo tu niliamua mtafutia sehemu angalau awe anajifunza ufundi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Changamoto ya Mfuno wa ESS kwenye simu

    ....Wakuu nimejaribu kuapply loan lakini natumia simu imekuja namna hiyo kwahiyo siwezi kuona kiasi gani napata na makato yake Ili niweze ku apply kila nikijaribu kusogeza nione mbele inagoma, hata ku rotate simu pia haitaki msaada nifanye Nini niweze kuona hapo MFUMO WA ESS KWA SIMU
  6. JamiiForums Tanzania Hapa naweza kufahamu namba ya simu?

    Habari wakuu? Je naweza kufahamu namba ya simu kwa kutumia hizi namba ? Ahsante
  7. JamiiForums Tanzania Samia anaenda kuzindua soko la kkoo baada ya ukarabati huku mtandao wa simu Karikoo ikiwa changamoto

    Changamoto ya Mawasiliano ukiwa Karikoo katikati ya Soko ni kubwa mnoo kiasi kwamba inakulazimu utoke Dukani kwako au Ofisini kwako ukasimame nje barabarani ili uweze kupiga au kupokea simu. Mabali ambapo pana mzunguko mkubwa kipesa na tegemeo la biashara Ukanda huu
  8. JamiiForums Tanzania Mwongozo Kamili wa CapCut kwa Kompyuta na Simu (Kwa Wanaoanza Kabisa)

    CapCut ni nini? CapCut ni programu ya kuhariri video (video editor) inayotumiwa sana duniani kutengeneza video za: TikTok YouTube Instagram Reels Matangazo ya biashara Video za elimu Ni maarufu kwa sababu: Ni rahisi kutumia hata bila uzoefu Ina effects nyingi tayari (ready-made) Unaweza...
  9. JamiiForums Tanzania Mikopo ya kwenye simu kama Bustisha wanabambikia watu madeni?

    Hawa jamaa siwaelewi elewi. Naona wanamipa deni ambalo hata sijakopa. Naona kama wanabambikia watu madeni. Imewahi kukuta hii?
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Bukombe tunasumbuliwa na simu za Taasisi za Mikopo wakati hatujawapa namba wala kuomba mikopo

    Mimi ni Mtumishi wa Serikali sina siku nyingi kazini lakini tangu siku nimeripoti nimekuwa nikisumbuliwa na hawa watu wa mikopo, wamekuwa wakipiga simu na kutuma ujumbe wakiomba nikakope kwenye taasisi yao na wakati huo sijawahi kwenda kwenye ofisi zao hata mara moja. Tunajua pengine biashara...
  11. JamiiForums Tanzania Kuwa mkweli una laini ngapi za simu?

    Watanzania wengi tunamiliki zaidi ya laini moja ya simu. Tuambie ukweli una laini ngapi za simu?
  12. JamiiForums Tanzania Simu niliyoagiza China kupitia AliExpress, naona imekwama kunifikia

    Habari ndugu zangu. Niliagiza simu kupitia AliExpress mwezi wa 12 mwaka jana. Mzigo unaonekana umefika Tanzania tangu tarehe 2 Januari 2026. Tracking number inaonyesha “customs clearance started”. Ni zaidi ya wiki tatu sasa mzigo umekwama kwenye ukaguzi wa forodha, na naona Speedaf ndio...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi wakuu demu ukimuomba namba alisema Hana simu inamaana ndio hakutaki au

    Hivi malegend hapa hua mnachomokaje demu unamuomba namba anasema Hana simu na wakati unamuonaga nayo ukimuuliza hiyo nini eti sio yangu mademu kama Hawa ni kwamba hawakutaki au namba Gani. Vipi aisee mbona mambo yanakua mengi sana
  14. JamiiForums Tanzania Simu ipi yenye camera nzuri?

    Mambo vipi wadau! Naomba mchango wenu kimawazo kuhusu simu yenye camera nzuri kwa ajili ya matumizi ya kupigia picha na video za kupost kwenye page yangu ya biashara ya instagram, tiktok na mitandao mingine ya kijamii. Ni Biashara ya salon ya kike, na kama mnavojua biashsra hii picha zina...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jeshi la Polisi kitengo cha kufuatilia simu zilizoibwa bora kifutwe tu, hakitimizi majukumu inayovyotakiwa

    Baadhi ya Polisi wanatuibia sana, mara kumi kitengo cha kui-track simu ikipotea kiondolewe rasmi, sio uongo wala nini, mara zote tukiibiwa simu tunaenda kuripoti Polisi. Loss report kwanza kwenye vituo tunatoa zaidi ya Sh. 10,000 na kiukweli huwezi ku-report popote zaidi ya hapo. Haya unatoa...
  16. JamiiForums Tanzania Bora Uganda wametangaziwa kuzimiwa internet, sisi walizima pasipo kumwambia yeyote

    Bora Waganda wametangaziwa kuzimiwa internet, sisi tulikuta tupo korokoroni, wakawaua watoto zetu kama nzige wakachimba mashimo wakawafukia kama takataka. Waganda wamezimiwa huku wakiwa na taarifa lengo ni kuwa wasioneshe vijana waliojitokeza KUCHAGUA Bobi Wine bali watuoneshe mizee ambayo...
  17. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda kupambana na Upotoshaji na Vurugu, UCC yazuia baadhi ya huduma Intaneti kwa muda

    Kufuatia mapendekezo mazito kutoka Kamati ya Usalama ya Taasisi za Serikali (Inter-Agency Security Committee), Tume ya Mawasiliano ya Uganda (UCC) siku ya Jumanne ilitoa maelekezo kwa waendeshaji wote wenye leseni wa mitandao ya simu (MNOs) na watoa huduma za intaneti (ISPs) kusitisha kwa muda...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PSSSF tafuteni njia ya kuweza kuhakiki kitumia simu za wateja weni ( wastaafu)

    Tufuteni APP yenu ambayo mstaafi anaweza kuhakiki kutumia smart phone. Ni usumbufu usio kifani kukaa ofisini masaa 3 au zaidi uko kwenye foleni eti unahakiki Lifikirie hilo
  19. JamiiForums Tanzania Sababu ni Nini simu za Tecno kunangwa

    Salam wakuu. Bila kuwachosha Kwa miongo kadhaa nimekuwa mtumiaji wa simu za hii kampuni ya Tecno Binafsi sijaona tatizo lolote kama inavyosemekana Kipindi flani niliwahi kununua simu ya Samsung baada ya kuona zinasifiwa sana ila kwa baadae nilikuja kuiuza baada ya kuona inakula sana moto...
  20. JamiiForums Tanzania Usipokuwa makini simu kubwa inaweza kukufanya ufanye uduwanzi

    Wasalaaaaam mabibi na mabwana. Ni Mc Mwakifulefule nasemaajeeè....? Leo ndo naanza rasmi dayati ya kuto kuingia twita maana kuna porno nyingi sana. We fikiria toka saa moja jioni nipo twiter ambayo sasa hivi ni "X" naangalia mizagamuo tu sasa mashine iko hewani nashindwa kulala na punyeto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…