simu

  1. JamiiForums Tanzania Budget 260k nahitaji Simu

    Offer yangu 260k simu ikiwa kali naongeza pesa.. Mali halali Android Phones Only Simu iwe kwenye good condition.. Na iwe double line.. Nichek 0733575632 tufanye biashara
  2. N

    JamiiForums Tanzania Gharama za bando kupanda kesho tarehe 18/08/2022

    Naaam mambo ni bull bull , hii meseji ya kuboresha vifurushi nafikiri maana yake inaeleweka vizuri, safi sana nasemaaaajeee safi sana Tanzania bado ni ya 6 afrika kwa vifurushi vya bei nafuu ,kwa nini gb moja isiwe tshs 5000? Labda ikifika GB 1 kwa tshs 8000 ndipo tutashuka na kushika nafasi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kampuni za simu na huduma stahiki kwa wananchi

    Kuna kitu inabidi tujiulize kuhusu makampuni ya simu na huduma tunazostahili kupata kutoka kwao, huduma ambazo ni haki yetu kupata na wala hatupewi msaada. Shida inatokea pale watanzania wapoona makampuni haya ya simu yanatuhurumia kutupatia huduma hizi na kwamba bila ya huruma yao basi huduma...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na aina hii mpya ya utapeli kwa njia ya simu

    Habari wana JF, Tukiwa humu ni kama Ndugu tunabadilishana mawazo na kuamshana fikra. Jana jumatatu jioni nimepigiwa simu na hiyo namba. Anachofanya yeye ukishapokea ni kukuliza unajua unaongea na nani!? Ukikosea ukajichanganya kumjibu hapo ndio mizinga ya hela huanza tena ndefu. Kajichanganya...
  5. JamiiForums Tanzania Mje mnishauri kuhusu kuweka picha ya mpenzi wangu homescreen ya simu yangu

    Wajuba Kuna Pisi Hua Naielewa Sana, Sasa Kuna Picha Nimepiga Nae Nimeweka Kwenye HomeScreen & LockScreen Ya Simu Yangu. Kila Nikibonyeza Kutoa Lock Naona Tabasamu Lake na Lina Nipa Furaha Kila Mara, Nimtazamapo. Swali: Je Wakuu Tunaweka Picha Ya HomeScreen Za Mademu tunao wapenda Kama Bado...
  6. JamiiForums Tanzania Nitajieni fast charger nzuri ya kuchaji simu ijae full chini ya dakika 40

    Natumia smartphone yenye technology ya 15W fast charging, techie hii inasapoti kuchaji simu ijae ndani ya dakika 20, nafikiri inasapoti mpaka chini ya hapo. Nitajieni wadau, nimechoka kuchaji simu masaa mawili mazima.
  7. JamiiForums Tanzania Mkeo au mumeo akiwa na simu kubwa na kile kidogo(kiswaswadu) kaa nacho mbali usiseme sijakwambia

    Tangazo muhimu kwa wote ukiona mumeo au mkeo ana simu mbili moja kubwa touch alafu ana kile kidogo maarufu kiswaswadu yes kiswaswadu kaaa nacho mbali mnooooooooo utakuja nishukuru usikiguse narudia kaaa nacho mbali mnooooooo usije sema atukukwambia
  8. JamiiForums Tanzania KERO: Mitandao ya simu ichunguzwe kwa kuwaunga wateja huduma bila ridhaa yao na kuwakata kwenye salio la kawaida

    Moja kwa mmoja kwa hasira kubwa.. Ilikuwa haijawahi kunitokea zaidi ya kusikia kwa wenzangu kua mara nyingi unakuta mtu kaweka bocha ya ngama kufanyia shughuli mbalimbali unakuta ghalfa akijiunga salio halitoshi na akicheki salio wamekata kwa kweli inatia hasira sana. Na ukijaribu kuwapigia...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hana mazoea ya kushikiwa simu yake

    Nina mpenzi wangu ambae namtazamia kama mke wangu mtarajiwa, amekua ni msiri sana kwenye simu yake mara kwa mara akija kwangu simu inashinda kwenye mkoba na iko silent t, hua namtega namuomba simu yake anajibu hana mazoea ya kumpa mtu mwingine simu yake, mm nipo open sana kwake hata simu yangu...
  10. JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu na TCRA +BOT wanashindwa kuzuia malipo yanayoenda kwa akaunti za Mange Kimambi? Zinafadhili uhalifu

    Hizi Hela zinatoka katika akaunti za mpesa/tigo/halotel/Airtel. Watu hulipia Application ya Mange kutokea makampuni hayo, kwa wingi. Watanzania wengi hawana ujanja wa kutumia Mastercard and the like, ni ku-highlight destination ya Hela inakotumwa na kuingiza mfumo wa ku-block transaction...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kila nikilala nae tu, kesho yake napigiwa simu ya dili la hela

    Huyu dada sijamwambia hii kitu ili asije akadhani nimemgeuza msukule. Kila tukinyanduana tu kesho yake ujue mdeni wangu atanipigia simu nikachukue hela, au nitapigiwa simu ya dili au kibaruani nitapata safari ya hela mikoani. Kuna mademu wana kisimati sana usione tumewang'ang'ania wakati...
  12. N

    JamiiForums Tanzania FCC mmebariki uhuni, wizi na utapeli wa makampuni ya simu?

    Haya majitu ni matapeli na majizi yasiyo na aibu wala huruma, kwa bahati mbaya pale pia watu.vyombo vilivyotakiwa kuwasaidia WANUKA JASHO wa nchi hii wal hawana habari kabisa Wamekaa meza kuu na majizi hayo wanakula na kusaza , wanukajasho watatjijua wenyewe Miaka 3 /4 iliyopita hata 2...
  13. JamiiForums Tanzania Chanzo cha vifurushi vya simu kupanda ni kutokana na mitandao husika kumilikiwa na watu wajanja wajanja wenye vina saba na serikali.

    Nafikiri kila mtu anatumia hii mitandao na amejionea gharama zinavyopanda kiholela kila siku,chanzo kikubwa kinaweza mitandao hii kumilikiwa na watu wenye ukaribu mno na serikali kiasi kwamba serikali haina maamuzi ya moja kwa moja juu yao,pia serikali nayo inamiliki sehemu ya mitandao...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hakuna "wawekezaji" wanaotetewa kimagumashi kama kampuni za simu

    Nina hakika hata wenyewe wanashangaa hawana mikimikimikiki yoyote hawa jamaa wanaweza wakaamka kesho wakasema tshs 5000 unapata data ya mb 80 na wasifanywe kitu Sanasana watu wakilalamika wataambiwa nyie hamjui kutumia simu zenu kuna APPS zinakula data, mara Tanzania ni ya sita afrika kwa kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada wa Namba za Simu za Askari wa Kituo cha Stakishari au kituo kizuri kwa adhabu Mwili

    Nina jambo limenipata nina mwizi wangu ambae nina vithibitisho kwa 98% lakini kutokana na maeneo nilipo na yeye alipo nikimuweka ndani kwenye vituo hivi atapata Dhamana haraka. Naomba msaada wa namba za simu wa askari wa kituo cha stakishari ili nikafungulie kesi yangu kule au namba za simu za...
  16. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Athari za Matumizi ya Simu barabarani na Sheria

    Athari za Matumizi ya Simu Barabarani na Sheria Utangulizi Kulingana na tafiti za Shirika la Afya Duniani(WHO) za mwaka 2022; ajali za barabarani zinaongoza duniani kwa kusababisha vifo, ambapo takribani watu milioni1.3 hufariki kila mwaka kutokana na ajali za barabarani. Huku madhara makubwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa budget ya 350k naweza pata simu aina gani mpya?

    Habari zenu wakuu Kwa budget ya 350K naweza pata simu aina gani mpya madukani?. Pia naomba kujuzwa specifications zake kama RAM, storage, battery life, pamoja na anroid version.
  18. JamiiForums Tanzania Taasisi za Serikali zisizopokea simu za Huduma kwa Wateja…

    Kuna 1. COSOTA 2. TRA 3........
  19. JamiiForums Tanzania Msaada Simu yangu ya samsung imejiweka kialama cha funguo

    Wataalamu wa mambo simu yangu Samsung imejiweka kialama cha funguo kwa juu huku upande wa inapoonyesha betri. Siwezi kushusha skrini ili niwashe data, torchi etc. Wataalamu wa mambo msaada wa kukiondoa hiki kifunguo.
  20. JamiiForums Tanzania NJOMBE: Watu wanne wajeruhiwa baada ya simu kulipuka ndani ya Bajaji, Julai 24, 2022

    Watu wane wamenusurika kifo baada ya kutokea mlipuko mkubwa uliyosababishwa na simu ndani ya bajaji yenye nambari za usajili MC 567C JK-TVC katika barabara ya Njombe -Songea . Akizungumzia tukio hilo kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe Hamis Issa amesema mkasa wa betri kulipuka umeleta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…