simu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nimefuta na kublock namba 50 kwenye simu yangu za wanaojiita marafiki zangu

    Last week siku ya tarehe 31 December, nilipanga nifanye tathmini ya aina ya marafiki zangu nilionao. Kiukweli mimi ni mtu wa kujitoa sana when it comes to matatizo ya wenzangu wanaonizunguka, nikisikia msiba wa rafiki ntaubeba kama wetu vile, rafiki akiniomba kitu kama kiko ndani ya uwezo wangu...
  2. JamiiForums Tanzania Kampuni ya TECNO kuja na toleo la POP 7

    Tukiwa tume uanza mwaka mpya kampuni ya simu ya TECNO iliojizolea umaarufu hasa kwenye uuzaji wa simu janja zenye ubora kwa bei nafuu inatarajia kuzindua toleo jipya kwenye mtiririko wake wa simu za POP na sasa wanakuletea toleo jipya la POP 7 lenye ubora zaidi hasa kwenye uhifadhi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wa internet setting simu ni sumsung galaxy S10

    Wakuu naombeni wataalamu mnisaidie internet setting simu yangu ni Sumsung Galaxy S10 laini ni ya tigo yaani haipandishi data network ,Asanteni
  4. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza iPhone 13 na 15

    Nauza iphone 13 plain Used 2 months UK GB 128 Bh 100 Inakuja na boksi yake na original usb charge wire haijawhi tumika. 1,800,000ml Tsh Dsm location 0783985530
  5. JamiiForums Tanzania Ukraine: Simu za mkononi chanzo cha vifo vya wanajeshi 89 wa Urusi!

    Urusi imesema idadi ya vifo vya wanajeshi wake kufuatia shambulizi la Ukraine kwenye mkesha wa Mwaka Mpya katika eneo la Makiivka imepanda hadi 89. Moscow imesema mapema leo kuwa miili zaidi ilipatikana kwenye vifusi katika mji wa Makiivka ulioko mkoa wa mashariki wa Donetsk unaodhibitiwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Tupe maoni yako

    Habari Ndugu! Ikiwa tume uwanza mwaka mpya basi nasi tunataka tukuhudumie kwa viwango vya juu kabisa kwa mwaka huu kwa kuwaletea matoleo mazuri zaidi na ya kisasa. Leo tujadiliane kitu kimoja. Kwa namna moja ama nyingine simu zetu za TECNO zimekuwa na watumiaji wengi sana hapa nchini. Huku...
  7. JamiiForums Tanzania APP ya ku flash simu

    Naomba msaada kwa yeyote mwenye software za ku flash smart phone. Nahitaji ku flash VIVO Y1S
  8. JamiiForums Tanzania Simu za mkononi za kitambo hicho ambazo zinashikilia nafasi katika mioyo yetu

    Hebu tuambie umetumia ipi kati ya hizi au tuwekee picha ya ambayo uliitumia 1.2.3.4.5.6.7.8.9.10.11.12.13.14.15.16.17.18.19.20.21.22.23.24.25.26.27.
  9. JamiiForums Tanzania Je, kampuni za simu zinaruhusiwa kudukua mawasiliano ya wateja wao?

    Leo nimetulia na kuichunguza simu yangu kwa kukagua kama nimekuwa hacked kama mawasiliano yangu yanasikilizwa ninapopigiwa simu na sipatikani au kuwa busy au kutopokea kabisa kwa kubonyeza *#004# na nimegundua kampuni ya tigo imehack namba yangu tigo na voda hawajafanya ivyo Swali langu: Je ni...
  10. JamiiForums Tanzania Hizi ndio simu 49 zitakazozuiwa kutumia WhatsApp kuanzia 2023

    Kila mwaka WhatsApp inajifuta simu za zamani ambazo haziwezi kuwa na uwezo wa kufanya kazi na kupata app ya WhatsApp. Hii ni kwa sababu kila muda WhatsApp inaweka mabadiliko mapya na baadhi ya mabadiliko yanahitaji simu yenye nguvu ili kuwa na uwezo wa kufanya kazi bila kusumbua na kupata...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Amenisadia sana, lakini nataka nimuache niolewe na HB. Namuachaje kiustaarabu?

    Jamaa ni husband material lkn siyo photogenic hata kumpost nashindwa. Kiumri kanizidi miaka 5 tu lkn ana mambo ya kizamani sana maana amekaa kipori pori. The guy kajipanga kimaisha yuko vizuri, lkn huo muonekano usiopendeza kwenye picha unaninyima raha. Kanifanyia makubwa sana hapa mjini...
  12. JamiiForums Tanzania Simu za Redmi zina shida ya overheating?

    Wakuu salama? Nilinunua Redmi 10 mapema mwaka huu, baada ya miezi michache ikaanza kupata moto sana na kumaliza battery haraka nikapeleka kwa agent aliyeniuzia wakapeleka service center mwisho tatizo halikuisha, wakanipa device nyingine hiyo hiyo brand ya Redmi, but note 10s. Miezi miwili sasa...
  13. JamiiForums Tanzania EU: Mwaka 2025 Simu zote zitarejeshwa kwenye mfumo wa Betri za kutoa (๐—ฅ๐—ฒ๐—ฝ๐—น๐—ฎ๐—ฐ๐—ฒ๐—ฎ๐—ฏ๐—น๐—ฒ ๐—•๐—ฎ๐˜๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ฒ๐˜€)

    Baada ya USB-C kulazimika kuwa ndio port ambayo itakuwa katika simu zote duniani na kampuni kama Apple kukubali kuanza kutengeneza iPhone ambazo zitakuwa na port na cable ya USB-C; kinachofuata ni replaceable batteries. ๐—ฅ๐—ฒ๐—ฝ๐—น๐—ฎ๐—ฐ๐—ฒ๐—ฎ๐—ฏ๐—น๐—ฒ ๐—•๐—ฎ๐˜๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ฒ๐˜€ ๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ? Kwa wale ambao wameanza kutumia simu tangu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Simu yake haipokelewi tangu siku ya Xmass mpaka leo lakini inaita. Maana yake nini? Kanitema?

    Mpenzi wangu (mchumba mtarajiwa) amesafiri kwenda kwao lakini hajibu sms wala hapokei simu (japo iko hewani) tangu siku ya Xmas hadi leo. Hii maana yake nimetemwa au inamaanisha nini? Maswali yako mengi yanayokosa majibu. Kama anaumwa kwanini hasemi? Kama kapoteza simu mbona bado inaita hadi...
  15. JamiiForums Tanzania Simu yangu ya Samsung inakataa ku-search/kushika Wi-Fi network

    Salaam JF Tech, Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyo, simu yangu ya Samasung inakataa kutafuta au kunasa Wi-Fi. Simu zingine zinakubali. Tatizo nini? Msaada.
  16. JamiiForums Tanzania Msaada:Namba zinazopiga simu yangu zinaelekezwa kwenye namba nyingine( diverted)

    Wakuu habari zenu naomba msaada wa namna ya kuondoa hii divert kwenye simu yangu niliiweka mwenyewe nimeshindwa kuitoa. Sasa imekuwa kero kwa wateja wangu na watu wangu wa karibu kila wakipiga simu yangu wanaambiwa simu zao zimeelekezwa kwa namba nyingine. Nawezaje kuitoa hii. NB: nimejaribu...
  17. JamiiForums Tanzania Kutumia simu hakuongezi uwezekano wa kupigwa na radi

    Imezoeleka watu kukataza wengine kutumia simu za mkononi wakati wa mvua sababu ya radi. Utafiti unaonyesha kuwa kutumia simu za mkononi hakuongezi uwezekano wa kupigwa na radi. Simu inatumia mawimbi ya radio ambayo hayavutii umeme. Lakini wanasema kuwa haupaswi kutumia simu ilichomekwa kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Nani anaijua biashara ya vifaa vya simu kwa kina?

    Habari za majukumu, Nani anaijua biashara ya accessories za simu kama cover, glass, spare no? Tusaidie kujua ni Vitu gani mtu afanye kama anaanza ni cover or glass zipi aanze nazo. Asante kwa comment yako, najua itawasaidia wengi.
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini ukipata mchongo fulani simu zinaanza kuita kwa kasi?

    Ukipata mchongo fulani, simu zinaanza kuita kwa Kasi. Hivi kwanini? Mfano miaka mitano iliyopita nilikuwa napokea simu hazizidi 2 lakini leo napokea simu 90+!
  20. JamiiForums Tanzania Nini kinakuvutia zaidi katika simu janja(smartphones) kutoka kampuni ya Samsung?

    Habari ya muda huu wana jamvi la Jf? Kama kichwa cha habar kinavyojieleza ningependa kila mmoja aeleze ni Features gani zinamfanya apende smartphone kutokea kampuni hii, Mimi kwa upande wangu kuna ile feature ya private mode na smart silence zinazoptkana katik S series na Note series huwaga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ