Nini kinakuvutia zaidi katika simu janja(smartphones) kutoka kampuni ya Samsung?

Eleminator

JF-Expert Member
Sep 29, 2022
596
966
Habari ya muda huu wana jamvi la Jf?

Kama kichwa cha habar kinavyojieleza ningependa kila mmoja aeleze ni Features gani zinamfanya apende smartphone kutokea kampuni hii,

Mimi kwa upande wangu kuna ile feature ya private mode na smart silence zinazoptkana katik S series na Note series huwaga nazielewa sana japo zipo nyingi zinazonifanya Ninunue smartphone ya samsung

WEWE JE?
 
Back
Top Bottom