simu

  1. Ukraine: Simu za mkononi chanzo cha vifo vya wanajeshi 89 wa Urusi!

    Urusi imesema idadi ya vifo vya wanajeshi wake kufuatia shambulizi la Ukraine kwenye mkesha wa Mwaka Mpya katika eneo la Makiivka imepanda hadi 89. Moscow imesema mapema leo kuwa miili zaidi ilipatikana kwenye vifusi katika mji wa Makiivka ulioko mkoa wa mashariki wa Donetsk unaodhibitiwa na...
  2. Phone4Sale Tupe maoni yako

    Habari Ndugu! Ikiwa tume uwanza mwaka mpya basi nasi tunataka tukuhudumie kwa viwango vya juu kabisa kwa mwaka huu kwa kuwaletea matoleo mazuri zaidi na ya kisasa. Leo tujadiliane kitu kimoja. Kwa namna moja ama nyingine simu zetu za TECNO zimekuwa na watumiaji wengi sana hapa nchini. Huku...
  3. APP ya ku flash simu

    Naomba msaada kwa yeyote mwenye software za ku flash smart phone. Nahitaji ku flash VIVO Y1S
  4. Simu za mkononi za kitambo hicho ambazo zinashikilia nafasi katika mioyo yetu

    Hebu tuambie umetumia ipi kati ya hizi au tuwekee picha ya ambayo uliitumia 1.2.3.4.5.6.7.8.9.10.11.12.13.14.15.16.17.18.19.20.21.22.23.24.25.26.27.
  5. Je, kampuni za simu zinaruhusiwa kudukua mawasiliano ya wateja wao?

    Leo nimetulia na kuichunguza simu yangu kwa kukagua kama nimekuwa hacked kama mawasiliano yangu yanasikilizwa ninapopigiwa simu na sipatikani au kuwa busy au kutopokea kabisa kwa kubonyeza *#004# na nimegundua kampuni ya tigo imehack namba yangu tigo na voda hawajafanya ivyo Swali langu: Je ni...
  6. Hizi ndio simu 49 zitakazozuiwa kutumia WhatsApp kuanzia 2023

    Kila mwaka WhatsApp inajifuta simu za zamani ambazo haziwezi kuwa na uwezo wa kufanya kazi na kupata app ya WhatsApp. Hii ni kwa sababu kila muda WhatsApp inaweka mabadiliko mapya na baadhi ya mabadiliko yanahitaji simu yenye nguvu ili kuwa na uwezo wa kufanya kazi bila kusumbua na kupata...
  7. S

    Amenisadia sana, lakini nataka nimuache niolewe na HB. Namuachaje kiustaarabu?

    Jamaa ni husband material lkn siyo photogenic hata kumpost nashindwa. Kiumri kanizidi miaka 5 tu lkn ana mambo ya kizamani sana maana amekaa kipori pori. The guy kajipanga kimaisha yuko vizuri, lkn huo muonekano usiopendeza kwenye picha unaninyima raha. Kanifanyia makubwa sana hapa mjini...
  8. Simu za Redmi zina shida ya overheating?

    Wakuu salama? Nilinunua Redmi 10 mapema mwaka huu, baada ya miezi michache ikaanza kupata moto sana na kumaliza battery haraka nikapeleka kwa agent aliyeniuzia wakapeleka service center mwisho tatizo halikuisha, wakanipa device nyingine hiyo hiyo brand ya Redmi, but note 10s. Miezi miwili sasa...
  9. EU: Mwaka 2025 Simu zote zitarejeshwa kwenye mfumo wa Betri za kutoa (๐—ฅ๐—ฒ๐—ฝ๐—น๐—ฎ๐—ฐ๐—ฒ๐—ฎ๐—ฏ๐—น๐—ฒ ๐—•๐—ฎ๐˜๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ฒ๐˜€)

    Baada ya USB-C kulazimika kuwa ndio port ambayo itakuwa katika simu zote duniani na kampuni kama Apple kukubali kuanza kutengeneza iPhone ambazo zitakuwa na port na cable ya USB-C; kinachofuata ni replaceable batteries. ๐—ฅ๐—ฒ๐—ฝ๐—น๐—ฎ๐—ฐ๐—ฒ๐—ฎ๐—ฏ๐—น๐—ฒ ๐—•๐—ฎ๐˜๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ฒ๐˜€ ๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ? Kwa wale ambao wameanza kutumia simu tangu...
  10. S

    Simu yake haipokelewi tangu siku ya Xmass mpaka leo lakini inaita. Maana yake nini? Kanitema?

    Mpenzi wangu (mchumba mtarajiwa) amesafiri kwenda kwao lakini hajibu sms wala hapokei simu (japo iko hewani) tangu siku ya Xmas hadi leo. Hii maana yake nimetemwa au inamaanisha nini? Maswali yako mengi yanayokosa majibu. Kama anaumwa kwanini hasemi? Kama kapoteza simu mbona bado inaita hadi...
  11. Simu yangu ya Samsung inakataa ku-search/kushika Wi-Fi network

    Salaam JF Tech, Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyo, simu yangu ya Samasung inakataa kutafuta au kunasa Wi-Fi. Simu zingine zinakubali. Tatizo nini? Msaada.
  12. Msaada:Namba zinazopiga simu yangu zinaelekezwa kwenye namba nyingine( diverted)

    Wakuu habari zenu naomba msaada wa namna ya kuondoa hii divert kwenye simu yangu niliiweka mwenyewe nimeshindwa kuitoa. Sasa imekuwa kero kwa wateja wangu na watu wangu wa karibu kila wakipiga simu yangu wanaambiwa simu zao zimeelekezwa kwa namba nyingine. Nawezaje kuitoa hii. NB: nimejaribu...
  13. Kutumia simu hakuongezi uwezekano wa kupigwa na radi

    Imezoeleka watu kukataza wengine kutumia simu za mkononi wakati wa mvua sababu ya radi. Utafiti unaonyesha kuwa kutumia simu za mkononi hakuongezi uwezekano wa kupigwa na radi. Simu inatumia mawimbi ya radio ambayo hayavutii umeme. Lakini wanasema kuwa haupaswi kutumia simu ilichomekwa kwenye...
  14. Nani anaijua biashara ya vifaa vya simu kwa kina?

    Habari za majukumu, Nani anaijua biashara ya accessories za simu kama cover, glass, spare no? Tusaidie kujua ni Vitu gani mtu afanye kama anaanza ni cover or glass zipi aanze nazo. Asante kwa comment yako, najua itawasaidia wengi.
  15. Kwanini ukipata mchongo fulani simu zinaanza kuita kwa kasi?

    Ukipata mchongo fulani, simu zinaanza kuita kwa Kasi. Hivi kwanini? Mfano miaka mitano iliyopita nilikuwa napokea simu hazizidi 2 lakini leo napokea simu 90+!
  16. Nini kinakuvutia zaidi katika simu janja(smartphones) kutoka kampuni ya Samsung?

    Habari ya muda huu wana jamvi la Jf? Kama kichwa cha habar kinavyojieleza ningependa kila mmoja aeleze ni Features gani zinamfanya apende smartphone kutokea kampuni hii, Mimi kwa upande wangu kuna ile feature ya private mode na smart silence zinazoptkana katik S series na Note series huwaga...
  17. Mwenye simu aina ya Huawei P20 Pro model ya kichina naomba aniuzie

    Habari wakuu, Nipo mbele yenu, nimeweza kutafuta vihela ili niweze kununua simu. Baada ya kuwaza sana nimeona simu inayo nifaa ni HUAWEI P20 PRO. Hivyyo mwenye simu aina ya Huawei P20 Pro model ya kichina naomba aniuzie. Natafuta used inanitosha sana. Kama unayo ni PM. Mawasiliano yangu ni...
  18. Vouda Mlijua Mkinitaja Majina yote Kuniwishi Birthday ndio Ntalipa Deni. Thubutu na Mkome Na Bado Mpawa Silipi

    Hahahaaa mwenzenu si nikatajwa Kwa midoido yote na vouda kujipendekeza huko wakajibetua Kuniwishi Birthday eti Fulani bini Mwanzenzele Rugaimukamu we wish you a happy birthday ndio ntahamaki nijitwishe niwalipe deni lao. Mmenitesa sana makato ya Tozo za simbanking za muamala na uhuni wa...
  19. Msaada kile kikalamu cha simu hakifanyi kazi tatizo ni nini?

    Samsung galaxy Note 20
  20. Natafuta kazi ya winga kwenye duka lako la simu

    Natafuta kuwa winga wa simu mpya, kama unamiliki duka la kuuza simu mpya aina zote naomba kazi dukani kwako. Sitaki uniajiri, ila utaniuzia simu kwa bei ya jumla ili na mimi nipate chochote. Mimi nitapambana kutafuta wateja ninakojua mimi. Simu zako ziwe bei kitonga kweli ili zitoke haraka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ