simu

  1. Phone4Sale Biashara simu za mtumba

    Picha hapo juu ni miongoni mwa simu izo za mtumba Simu Zimetumika China na ni Global Version Zinatumika nchi yoyote Gharama ya usafiri kwa meli kila moja 30000 wiki 4-6 Gharama ya usafiri kwa ndege 60000 wiki 2-3 Simu ni Brand Original Simu ni 80%-90% New Gharama za usafiri zimejumuisha tozo...
  2. Kwa bajeti ya 250k mpaka 270k simu gani nzuri nichukue?

    Natanguliza shukrani kwenu. 🙏
  3. INAUZWA Nauza glass protector za simu kwa shilingi elfu moja

    Habarini Wana JF. Glass protector aina zote zinapatikana kwa bei ya shilingi elfu moja per item. napatikana kivule dar es salaam ukihitaj nakuletea popote ulipo kwa dar es salaam. Contact: 0753158943
  4. Simu ya milioni 1+ ila unahangaika na bando, utafaidi kweli? Kwanini usinunue simu mid range ya kati halafu hela inayobaki uwekee kwenye bando?

    Walengwa hasa ni wale wanaopata pesa za ghafla (zawadi, kuhongwa, betting, michezo, kuotea, boom la chuoni, n.k) na wale wanaojidunduliza. kununua simu ni hatua ya kwanza tu, bado kuna mambo yanafuata. ni sawa na gari inabidi ununue kwa kuzingatia ulaji wa mafuta, bei za spare, gharama za...
  5. Simu yangu inaingiza Apps bila ridhaa yangu (bila kudownload), shida ni nini?

    Aisee, simu yangu inaingiza ma apps ya aina mbalimbali kama vile ma games n.k bila ridhaa yangu (bila kudownload). Mfano Kuna Aapp inaitwa Ayoba kila nikiifuta nikiweka MB tu inarudi tena. Kuna muda nikiweka MB zinaisha faster kwasababu ya kujidownload kwa hizi apps. Wazee wa IT shida ni nini...
  6. Nahitaji msaada wenu kwenye simu hii ya iphone 5s nilioiogota

    Hii simu nimeiokota nitawezaje kutatua tatizo hili.
  7. Kutumia simu kumerahisishwa ila nashangaa wapo wenye simu za android zenye gesture bado wanatumia Vitufe vitatu vya chini?

    KUPERUZI SIMU KWA VITUFE VITATU Tukiachana na wazee and the likes, Nashangaa kuona bado kuna watu wamekomaa kuendelea kutumia vile vitufe vitatu vilivyopo chini ya screen. KUPERUZI SIMU KWA GESTURE Gesture imerahisisha sana kutumia simu, ukiswipe pembeni kulia au kushoto unarudi nyuma (back)...
  8. Wakazi wa kijiji cha Mbwera, Wamekuwa wakining'iniza simu zao katika paa nyumba, ili kupata mawasiliano

    Wakazi wa kijiji cha Mbwera kata ya Mbuchi wilayani Kibiti, mkoani Pwani , wamekuwa wakining'iniza simu zao katika paa la kibaraza la moja ya nyumba iliyopo kijijini hapo kupata mawasiliano. Baadhi ya wakazi wakizungumza na ITV wamesema, licha ya maendeleo ya barabara iliyotengenezwa kwa...
  9. Hii ya kuchanganya hela na simu mfuko mmoja, inatugharimu sana

    Hapa nilipo nimepoteza hela wakati natoa simu, kawaidi ukishapoteza hela huna haja ya kurudi kutafuta tena.
  10. Wakati Skudu sasa amewazimieni Simu jitahidini mumlipe Morrison kabla hajaenda FIFA na Mkafungiwa Maisha

    Yaani kabisa GENTAMYCINE nije na Exclusive hapa JamiiForums halafu isiwe Kweli 100%? Kudadadeki. Mlipeni Skudu haraka ili Kesho apande Bung'o (Ndege) arejee Tanzania vinginevyo atajikita sasa Kutunga Nyimbo za Amapiano na Kuzicheza tu huko huko Kwao Bondeni.
  11. M

    Naomba kujuzwa simu nzuri za kiswaswadu

    Wakuu humu ndani kwema. Naomba kuuliza kwa yeyote ambaye anafahamu simu nzuri ya kiswaswadu yenye uwezo wa kukaa laini tatu.
  12. Utapeli: Hii ndio shida ya kununua simu za delivery mikoani, Kawekewa simu ambayo wateja wanaofika dukani hawaitaki

    Nipo hapa Iringa kikazi kwa wiki hivi, kuna dogo niliemuasa sana asubiri nirudi Mbeya mwenyewe nimnunulie simu ila tamaa imemponza kaagiza wamsafirishie kwa basi. Hapo Mbeya hilo duka kuna kipindi niliwahi kwenda kuulizia hio simu anayoitaka, kulikuwa na ambayo imebonyea bonyea, kwenye kona ni...
  13. Nani ambaye hujampigia simu kitambo ungependa kumpigia leo?

    Salaam/Shalom. Natumai mu-wazima kabisa, kama mimi vile nilivyo pia. Lakini huwezi kujua mtu ambaye hamjawasiliana muda mrefu sahizi anaendeleaje...? Watu wangapi hujawasiliana nao kwa kipindi kirefu sana? Je, wapo Hai au Wamekufa....? Wazima au Wanaumwa...? Siwezi kusema kuwa INAUMIZA SANA...
  14. K

    Kama una simu yoyote mbovu inahitaji repair DM

    Nicheki dm kwa simu yoyote mbovu kama inahitaji software au hardware 1. Umesahau password 2. Simu yako imevunjika kioo 3. Unahitaji update kwa ajili ya simu yako 4. Matatizo ya network 5. Ulizi wa simu yako 6. Kuongeza storage iphone au android phone
  15. Simu ya kgtel hazikubali sim card ya Airtel

    Wakuu habari zenu. Ndugu zangu nahitaji kufahamu kama laini za Airtel hazikubali kwenye simu ndigo ya kgtel maana nikiweka kwenye simu nyingine inakubali vizuri lakini nikiweka kwe simu tajwa inasema SIM access error
  16. Je, umemsave vipi kwenye simu mwenzi/mpenzi wako?

    Najaribu kuwaza nakosa majibu sahihi, ni kitu gani kinapeleka wanaume kusave wanawake zao majina ya kiume kwenye simu na wanawake pia halikadhalika. Kwani hata kama mnachepukiana si usave jina lake tu halisi badala ya kuweka majina maalum ya kuonesha uhusiano wenu? kama babe, honey, sweetiee...
  17. Tuwe makini na manabii/mitume wanaotaka fedha wakuombee

    Shalom, Kumezuka watumishi wa Mungu wanaotumia vibaya redio zetu badala ya kutoa neno la Mungu na kufanya maombi sasa kama utaahitaji maombi wanakulazimisha njoo ofisini aka kanssan asubuhi mapema tukuombee. Style wanayotumia ni hii Wanapokamata redio wanaanza andika msg, kwenda namba. Hizi...
  18. Katabia cha kuchungulia Simu ya Jirani yako wakati wa safari au kwenye mkusanyiko

    Wakuu imekuwa nongwa sasa ,Sometimes tabia hii inakera, Nipale ambapo umekaa either kwenye gari yaani safarini, au sehemu yoyote yenye mkusanyiko Public, Uko bize na simu yako, unashangaa jirani yako na yeye anakosoa mimacho kwenye simu yako Hii tabia sio nzuri na inakera, Pia haileti picha...
  19. L

    Ni mtandao gani wa simu wenye latecy ndogo?

    Natafuta mtandao wa simu wenye upload na download latecy ndogo. Kwenye local server uwe 80 ms na portland OR server (Century Link) iwe chini ya 250ms. Chief-Mkwawa
  20. J

    MSAADA: Tatizo la Camera ya simu kujiwasha ikiwa mfukoni nalitatua vip?

    Wakuu kwema? Nina simu janja yangu nikiweka mfukoni mara nyingi nakuta Camera imrjiwasha yenyewe Tatizo hili nalitatua vip maana linamaliza chaji na kuua betri haraka
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…