Vijana wawili ambao majina yao hayajafahamika wamechomwa moto wao na pikipiki waliyokuwa wakiitumia katika eneo la Shivaz katika kata ya Kaloleni Mkoani Arusha wakidaiwa kuiba simu
Lilia Shayo amesema vijana hao walikuwa wamemuibia mwananchi mmoja simu na wakati wanakimbia walizuiwa na wananchi...
Wakuu salama.
Hii special Kwa wanaume wasiokubali kutikiswa Wala kujambiwa na wife hata kama anampenda na amemkosea
Kauli mbiu ni:MWANAUME HALISI HAKUBALI KOSA.
Ilinitokea siku Moja nilikuwa naacha simu nyumbani naenda kazini (maana sikuwa na ruhusa ya kuingia na simu kazini kipindi hicho)...
Wakuu mimi si mpenzi wa pixel, iphone na Samsung lakini najikuta nataka kuchukua tu, Sina namna majuzi nimetafuta simu nzuri yenye kamera kali kila tukilinganisha na pixel basi pixel kiwembe, hakuna simu inayowe beat pixel yenye single camera au double camera sipendi camera nyingi, iwe updated...
Samsung ni simu, na Infinix ni simu!
Kama ni gharama, zote ni za gharama. Hakuna inayotolewa bure.
Isitoshe, Infinix inatunza sana chaji!
Wanaowakejeli wanomiliki simu za INFINIX, TECNO na ITEL waache hiyo tabia mara moja. Hawajui jinsi wahusika walivyohenyeka kuzipata.
Wateja wangu karibuni mjipatie simu kwa bei ya jumla na rejareja pia ukiagiza kutoka China kupitia sisi utapata kwa bei za viwandani kwa watakao agiza pisi nyingi.
Tupo Kariakoo pia wateja wa mikoani na nje ya nchi tunawahudumia.
Call or WhatsApp +255713861567
Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, kampuni ya Apple inauzia jina
Punguzeni tamaa za dunia tumieni fedha mnazopata kufanya maendeleo
iPhone 15 Pro Max Original ni zaidi ya 4,000,000/= kwenye Apple Store. Je hamuoni fedha hizo mnaweza kufanyia...
•itel kiswaswadu
•Tecno kiswaswadu
•bontel kiswaswadu
•O king kiswaswadu
Na misimu yote ya kichina isiyofahamika ndio wazazi wetu wanatumia tena huku tukijinadi ooh mimi mzazi wangu yupo fresh kumbe dakika mbili tu simu yake chaji imeisha na hapatikani hewani
Habari wapambanaji wa kutafuta ugali wa kila siku. Mpambanaji mwenzenu nimekuja kwenu mnijuze wapi naweza pata simu used za halali sio za wizi Kwa bei ya jumla nami nikafanya biashara.
Sijajua wafanya biashara wa Kariakoo wanazitoa wapi na ukijaribu kumuuliza mfanya biashara yeyote Kariakoo...
Hi Guys
My friend anauliza kuna option yoyote anaweza akafanya kwenye simu ili mtu akimpigia awe hapatikani but anapatikana?
Anaenda kwa her new babe so kuna this guy Ana date nae but Ana plan za Kuachana nae kiistaarabu so she will be spending like a month kwa huyo new babe. Sasa hataki uyo...
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kujua Smartphone iliyotengenezwa hivi karibuni, isipokuwa TECNO, INFINIX NA ITEL..
Ninahitaji kununua Smartphone mpya, Budget yangu 450k hadi 500k pia processor isiwe ya SPD au MTK, hii sizihitaji katika list yangu.
Android ni mfumo endedhi unaotumiwa sana kwenye vifaa vya kielectronic kama vile simu za mkononi na vifaa vingine vya kielectronic .
Utengenezaji wa application za simu za android ni mchakato wa kuunda na kuboresha programu za simu za android.
Application za simu za android zinaweza kuundwa na...
Jamani naombeni mwenye ujuzi na hizi simu za google pixel anisaidie, in short nina google pixel 5g a hii ilikua poa tu lakini ikaanza kuna wakati naichaji inaniandikia hili neno liquid debris then inaacha kuchaji nilichokua nakifanya nikuchomoa chaja na kuirudishia tena inaendelea kufanya kazi...
Sasa yupo kitengo fulani, namtafuta kun jambo anifanyie liende kwa wepesi ila naona kanikaushia hapokei simu, text hajibu, sasa ni bora ani block tu kabisa nijui hataki kuongea na mimi na si kudharau call na text zangu.
mi simtaki, nataka tu anisaidie ili mchakato wangu ambao yeye kwa nafasi...
Naomba majibu yenu ya haraka kwani kuna Mpuuzi Mmoja ( Demu wa Njje ) naona anataka kulazimisha nimwache mazima leo baada ya Kuniponza tena kwa Makusudi. Hata kama Wanaume tuna Mahawara zetu Nje ( Nje Cup ) ila kuna muda huwa tunapenda Kucheza pia Mechi zetu za Kawaida na Kimashindano na Heshima...
Wakuu heshima kwanu.
Mwenye uzoefu na biashara ya simu za mkopo au agent wa simu za mkopo kutoka Easybuy au Watu simu naomba tuwasiliane.
Nitakulipa gharama za usumbufu.
Please DM
Habari waungwana nimeibiwa simu kampuni ya Google pixel 8 pro, ila kuna kampuni huwa naona matangazo yao ikijinasibu kuwa wanatrack simu zilizoibiwa na ofisi yao iko Ilala boma wanajiita wetrack. Nimewasiliana nao wananiambia kuwa niwape asilimia 10 ya gharama ya simu.
Shida sio gharama, je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.