simu

  1. Candela

    Hizi kampuni za simu zinaona wateja mazuzu

    Tukiongelea Iphone huwa anatangaza new features ambazo Samsung wanazo 5 years back lakini utashangaa watumia iPhone wanajimwambafai na hizo features. Ukija Samsung wanatrendisha features za Google pixel ambazo watumiaji wa pixel wanazo 2 years back. Yaani S24 ultra inatangaza features za pixel...
  2. M

    Iphone X kwa bei ya 485,000 used from dubai

    Karibuni boss zangu. Iphone X zipo za kutosha tupo kariakoo .storage 64gb,256gb . Kwa mawasiliano piga 0695022051 Whatsapp 0734123440
  3. THE BEEKEEPER

    Nilipigiwa simu na namba ngeni akachelewa kuongea, nikamshambulia kwa matusi sikujua kama ni mzazi wangu

    Inakuaje Jf; Leo majila ya saa tisa Mchana Namba ngeni imenipigia naona mtu aongei namwambia hallo naona kimya kama dk 1. Moja Kwa moja nimeanza kutukana matusi mengi sana. Baada ya kutukana nimesikia Sauti ya mzee ndo mnacho fundishwa chuoni huko maana mzee Namba zake zote mbili ninazo, Sasa...
  4. Pdidy

    Tuko kanisani tunaandika majina ya maaduui zetu wachomwe moto tuma majina ya maaduiwasiwe mke ama mumeo la

    NIMEKUJA KWENYE IBADA MOJA HUKU BANANA TUKO SEHEMU YA KUANDIKA MAADUI ZETU TUWAOMBEE WACHOMWE MOTO WALE WALIOKUTESA WANAOKUTESA MAKAZINI WANAOTESA NDOA ZAKO BIASHARA ZAKO AFYA ZAKO VIPATO VYAKO WEKA HAPAA NIWAANDIKE MUNGU ANASEMA ANAKWENDA KUPANDANA NA ADUI ZETU WANAOKUFANYA USISHIKE HELA...
  5. Traxtion

    Simu Bora zaidi kununua kwa Sasa (2024)

    Watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni simu gani nzuri kununua kwa bei ndogo, kwa hiyo thread hii itakuonesha simu 5 za kununua kama budget yako ni chini ya laki 4 na simu 5 za kununua kama budget yako ni chini ya laki 3. Hizi ni baadhi tu maana simu zipo nyingi sana ila nitataja chache tu. Bila...
  6. Desierto

    Naomba serikali itazame kwa jicho la tatu elimu kuhusu utengenezaji wa Simu

    Kuna vijana wengi wamejiajiri kwenye kazi ya ufundi simu Ila Kati ya 20 waweza pata mmoja tu ndo anaelewa kidogo kuhusu simu walio Baki ni kuchoma maiki tu na kubadili vioo kwani hata kubadili port ya kuchajishia wengi hawajui vizuri jinsi ya kuifanya iwe strong, sio mteja anatumia mwezi tu Ina...
  7. Jumlisha

    Huyu fundi simu anakagua simu za wateja akimaliza kutengeneza

    Habarin wa JF natumaini mko powah kabisa Huyu fundi simu amenishangaza sana mpaka nimeona nilete uzi huu kwa wale wahanga wa simu mbovu mnao shinda kwa mafundi iko hivi mimi nina jamaa yangu fundi simu wa hapa town maeneo flani hivi sasa huwa nakuja hapa mara kwa mara kupiga story na mambo...
  8. J

    SoC04 Athari za Kutumia Simu Wakati Iko Kwenye Chaji

    Hizi ni athari za Kutumia Simu Wakati Iko Kwenye Chaji 1. Kuungua Simu zinazotumika wakati wa kuchaji zinaweza kuwa na joto zaidi. Hii inaweza kusababisha kuungua kwa ngozi ikiwa itaguswa kwa muda mrefu. Kwa mfano, kuna visa ambapo watu wameungua mikononi mwao kutokana na kutumia simu kwa muda...
  9. J

    Serikali litazameni hili suala kwa umuhimu wake kutetea maslahi ya watu wa chini

    Kwa Wamiliki wa Mitandao ya Simu na Serikali, Katika dunia ya leo ambapo mawasiliano ya simu yamekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, ni muhimu kuhakikisha kuwa wateja wana taarifa sahihi na kwa wakati kuhusu mabadiliko yoyote yanayohusu bei na vifurushi vyao. Kupitia jamiiforum Mimi kama...
  10. Pdidy

    Kampuni za mikopo ya mtandaoni zinatoa wapi namba zetu kwa sisi ambao hatujawahi kukopa?

    Si mbaya kuuliza, nimewaza tu kama haya makampuni ya simu yanakopwa na Jesca ama Betty. Gafla mimi natumiwa meseji na haya makampuni ya kukopa ati ndugu ama mfadhili wa Betty unaombwa kumjulisha tapeli ametaka kututapeli kiasi kadhaa. Nawaaambia nimeshtuka sana, gaflaaa nikauliza umepata namba...
  11. Mr Mlokozi

    Ni kwa namna gani wazazi wanaweza kudhibiti matumizi ya simu kwa watoto wao ambao ni wanafunzi

    Wazazi wengi wamekuwa wakiwapatia simu watoto wao kwa lengo zuri tu la kufanya mawasiliano na familia na marafiki zao pamoja na wanafunzi wenzao pia, wakati mwingine kwa ajili ya kujifurahisha kwa kucheza michezo mbalimbali iliyomo kwenye simu pamoja na kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii...
  12. Heart Wood.

    Kwanini Makampuni ya Simu yanalazimika kuhuisha namba za wateja wa zamani na kuwapa wateja wapya?

    Kuna namba yangu ya simu nilikuwa siitumii for almost 3 years kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Baadae nikagundua ile namba amepewa mteja mwingine. Just imagine nimeitumia namba ile for almost 10 years, halafu kampuni husika inaamua kuigawa kwa mteja mwingine. Jamaa na ndugu zangu wakawa...
  13. Chief nduna songea

    Simu used from Dubai 🔥🔥🔥

    ᴅᴀꜱ ᴍᴏʙɪʟᴇ ᴇꜱꜱᴇɴᴛɪᴀʟs ᴍᴀᴢᴏᴇᴢɪ ꜱᴏꜰᴛ 📞0622962627 ɪᴘʜᴏɴᴇ ʙʀᴀɴᴅ —-ɪᴘʜᴏɴᴇ x ɢʙ 64 ʙʜ 100 ᴄʟᴇᴀɴ ᴅxʙ ᴘʀɪᴄᴇ 450,000/=✅ ——ɪᴘʜᴏɴᴇ x ɢʙ 64 ʙʜ 100 ᴄʟᴇᴀɴ ᴅxʙ 400,000 ɴᴏ ꜰᴀᴄᴇ 💔✅ ——ɪᴘʜᴏɴᴇ 11 ᴅᴍ ʙʜ 100ᴘʀɪᴄᴇ 650,000 ᴄʟᴇᴀɴ✅✅ ——ɪᴘʜᴏɴᴇ 11 ᴘʀᴏ ᴍᴀx ɢʙ 256 ᴅᴍ ʙʜ 100 ᴘʀɪᴄᴇ 950,000 ᴄʟᴇᴀɴ✅✅ ——ɪᴘʜᴏɴᴇ 11 ᴘʀᴏ ᴍᴀx...
  14. IBRA wa PILI

    Naombeni darasa kuhusu hii mifumo ya simu ya sasa na zamani

    Mambo vipi wakuu hapa juzi Kati nilinunua simu ya redmi used note 12 5g ushauri alinipa mkuu Chief-Mkwawa hii simu nimeuza baada ya mwama mmoja kuja na dau kubwa zaidi ya lile nililo nunulia. Sasa kivumbi kipo hapa ambapo nimetoka kapa na nahitaji darasa kubwa Tu na wadau wengine pia watapata...
  15. FK21

    Kwa wataalamu wa simu

    Kuna jamaa anauliza kwanini oppo FS1 inakata kupakua Twitter na jamiiforums ?
  16. mirindimo

    Video: Huduma kwa wateja Taasisi za Umma mbovu. Nimepiga simu Nest (PPRA) nusu saa hakuna anayepokea. Siasa zisiue huduma kwa jamii

  17. Mr Suprize

    Simu kujirudia kutuma SMS moja tatizo NI nini?

    Naomba msaada simu yangu aquos sense 5g natumia laini ya voda NI week sasa nimtumia mtu SMS may be Habari! Kule nakotuma SMS zinaenda zinaenda zaidi ya 5 Yani inakuwa kama hivi Habari Habari Habari Habari Naona NI Kero nimejaribu kuwasiliana na huduma kwa wateja wanasema hawaoni tatizo kwenye...
  18. Abubakari Mussa

    Phone4Sale Simu za Docomo

    ARROWS F-04K 💰235,000/= Sideway fingerprint 👎 32GB ROM 3GB RAM CAMERA 🔥 Tupo kariakoo aggrey na ndana Tupigie 0692690033 Karibu Maongezi yapo
  19. Dangotte Junior

    Usimuazime simu yako mtu usiyemfaham vizuri, Itakugharimu

    Iko hivii; Hapa mtaan kuna office za kubeti kwa hyo mara nyingi huwa nashinda hapo. Sasa kuna jamaa imetokea tu tumezoeana kwa sababu kila sku tunakutana humo ndanin(simjui jina wala sina details zozote juu yake). Sasa kuna siku akaazima smu yangu ampigie mtu nikasita nikamwambia mimi sina...
  20. G

    Tahadhari kwa wenye vipato vya kawaida, Vioo vya simu za Google pixel ni ghali na nadra kupata mtumba, zina ustahimilivu mdogo, ikidondoka jipange

    PIXEL 3AXL 130,000 PIXEL 3XL 140,000 PIXEL 3 130,000 PIXEL 3A 120,000 PIXEL 4 4G 300,000 PIXEL 4A 5G 290,000 PIXEL 4XL 180,000 PIXEL 5 400,000 PIXEL 5A 330,000 PIXEL 6 230,000 PIXEL 6A 300,000 PIXEL 6A 305,000 PIXEL 6PRO 240,000 PIXEL 7 320,000 PIXEL 7PRO 270,000 PIXEL 7PRO 230,000
Back
Top Bottom