Hizi simu za Market Place ni basi tu. Baada ya makubaliano akaniambia nikachukue huo mzigo kwa bei che ya 60k. Nimefika, ile kutest kila kitu kiko poa
Niko home nikasema wacha niibusti, nashangaa inafika 64% inaacha kupeleka chaji. Nikatumia hivyo hivyo, ile inafika 30%, chaji inashuka kwa...
Bashir Yakub, WAKILI.
+255 714 047 241.
Swali la msingi ni kuwa hawa wanaokopesha wanapata wapi namba za ndugu zako, jamaa, na marafiki ambazo wanazitumia ujumbe kuwataarifu kuwa unadaiwa, umeshindwa kulipa mkopo,na maneno mengine yasiyo na staha.
Fikiria mkopeshaji ambaye si tu hajawahi hata...
Simu yangu iliharibika, gharama za kuifufua zilikuwa ni kubwa sana kwangu, nikasema nitulie kwanza nijichange nije kuifufa hapo baadae.
simu mpya nayotumia ina namba mpya ya whatsapp, ni wachache sana wanaijua. Namba yangu ya wharsapp iliyozoeleka sijaitumia miezi minne.
Kwa sasa amani...
Jamii yangu, leo napenda kukushirikisha uzoefu wangu wa hivi karibuni ambapo niliuza simu yangu na kutokuwa na huduma za mitandao ya kijamii kwa wiki mbili. Niligundua amani na utulivu ambao sikutarajia.
Kwa kawaida, simu yangu ilikuwa kama kiungo changu kati yangu na ulimwengu wa mitandao ya...
Tukiongelea Iphone huwa anatangaza new features ambazo Samsung wanazo 5 years back lakini utashangaa watumia iPhone wanajimwambafai na hizo features.
Ukija Samsung wanatrendisha features za Google pixel ambazo watumiaji wa pixel wanazo 2 years back. Yaani S24 ultra inatangaza features za pixel...
Inakuaje Jf;
Leo majila ya saa tisa Mchana Namba ngeni imenipigia naona mtu aongei namwambia hallo naona kimya kama dk 1. Moja Kwa moja nimeanza kutukana matusi mengi sana.
Baada ya kutukana nimesikia Sauti ya mzee ndo mnacho fundishwa chuoni huko maana mzee Namba zake zote mbili ninazo, Sasa...
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni simu gani nzuri kununua kwa bei ndogo, kwa hiyo thread hii itakuonesha simu 5 za kununua kama budget yako ni chini ya laki 4 na simu 5 za kununua kama budget yako ni chini ya laki 3. Hizi ni baadhi tu maana simu zipo nyingi sana ila nitataja chache tu.
Bila...
Kuna vijana wengi wamejiajiri kwenye kazi ya ufundi simu Ila Kati ya 20 waweza pata mmoja tu ndo anaelewa kidogo kuhusu simu walio Baki ni kuchoma maiki tu na kubadili vioo kwani hata kubadili port ya kuchajishia wengi hawajui vizuri jinsi ya kuifanya iwe strong, sio mteja anatumia mwezi tu Ina...
Habarin wa JF natumaini mko powah kabisa
Huyu fundi simu amenishangaza sana mpaka nimeona nilete uzi huu kwa wale wahanga wa simu mbovu mnao shinda kwa mafundi iko hivi mimi nina jamaa yangu fundi simu wa hapa town maeneo flani hivi sasa huwa nakuja hapa mara kwa mara kupiga story na mambo...
Hizi ni athari za Kutumia Simu Wakati Iko Kwenye Chaji
1. Kuungua
Simu zinazotumika wakati wa kuchaji zinaweza kuwa na joto zaidi. Hii inaweza kusababisha kuungua kwa ngozi ikiwa itaguswa kwa muda mrefu. Kwa mfano, kuna visa ambapo watu wameungua mikononi mwao kutokana na kutumia simu kwa muda...
Kwa Wamiliki wa Mitandao ya Simu na Serikali,
Katika dunia ya leo ambapo mawasiliano ya simu yamekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, ni muhimu kuhakikisha kuwa wateja wana taarifa sahihi na kwa wakati kuhusu mabadiliko yoyote yanayohusu bei na vifurushi vyao. Kupitia jamiiforum Mimi kama...
Si mbaya kuuliza, nimewaza tu kama haya makampuni ya simu yanakopwa na Jesca ama Betty.
Gafla mimi natumiwa meseji na haya makampuni ya kukopa ati ndugu ama mfadhili wa Betty unaombwa kumjulisha tapeli ametaka kututapeli kiasi kadhaa.
Nawaaambia nimeshtuka sana, gaflaaa nikauliza umepata namba...
Wazazi wengi wamekuwa wakiwapatia simu watoto wao kwa lengo zuri tu la kufanya mawasiliano na familia na marafiki zao pamoja na wanafunzi wenzao pia, wakati mwingine kwa ajili ya kujifurahisha kwa kucheza michezo mbalimbali iliyomo kwenye simu pamoja na kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii...
Kuna namba yangu ya simu nilikuwa siitumii for almost 3 years kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Baadae nikagundua ile namba amepewa mteja mwingine. Just imagine nimeitumia namba ile for almost 10 years, halafu kampuni husika inaamua kuigawa kwa mteja mwingine. Jamaa na ndugu zangu wakawa...
Mambo vipi wakuu hapa juzi Kati nilinunua simu ya redmi used note 12 5g ushauri alinipa mkuu Chief-Mkwawa
hii simu nimeuza baada ya mwama mmoja kuja na dau kubwa zaidi ya lile nililo nunulia.
Sasa kivumbi kipo hapa ambapo nimetoka kapa na nahitaji darasa kubwa Tu na wadau wengine pia watapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.