Mambo aliyoyafanya Benchikha kwa muda mfupi akiwa na Simba, na pale alipokosea

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,409
8,451
Binadamu tumeumbwa kusahau. Ngoja niwakumbushe mambo mawili matatu ambayo yaliibadilisha Simba kutoka katika mkwamo iliokuwa nao.

1. Tunasahau Simba ilikuwa inacheza hadi dakika ya 60 inakata moto. Tukalilia fitness za wachezaji. Sasa hivi hakuna anayeongelea tatizo la fitness. Tatizo lililobaki ni wachezaji kuogopa majeraha maana imeonekana ama kitengo cha utabibu Simba kina mapungufu au wachezaji wamegundua hawathaminiwi tena pale wanapotoka kwenye majeraha. Hili limewaathiri sana kisaikolojia wachezaji wa Simba.

2. Tunasahau kuwa kabla ya ujio wake, Simba ilifika kipindi ilikuwa haiwezi kupiga hata pasi 3 bila kupoteza mpira. Kaangalie mechi ya juzi na Yanga, kaangalie mechi zote mbili za mwisho dhidi ya Al Ahly, sasa hivi timu kiasi fulani inaridhisha kwenye eneo hilo. Inakosa mtu sahihi pale mbele wa kutumia nafasi. Angepatikana huyo mtu hata confidence na ufanisi wa mawinga na viungo ungeongezeka maana wangejua wana mtu wa maana pale mbele. Wachezaji wa Simba bado hawawaheshimu Jobe na Freddy.

3. Benchikha ameipa Simba ujasiri wa kutoka kwenye utegemezi wa wachezaji fulani tukianza kwa Manula ambaye rotation ya makipa ilimu expose akaamua kujivunja, leo hii hakuna mwenye mashaka na Ayoub tofauti na golini akikaa Manula au Salum. Tukaja kwa Bocco, huyu alikuwa anaachwa kwenye safari nyingi za nje hadi akasoma alama za nyakati, naye alipoona vipi akajivunja. Muda ungeruhusu na angekuwa na kikosi kipana naamini wote wangefikiwa.

4. Hili siliweki kama ni fanikio ila anaweza kuwa ametufumbua macho na likifanyiwa kazi linaweza kuzaa matunda kuliko wengi wanavyotegemea. Wanasema "Changamoto ni mama wa uvumbuzi". Hapa naongelea kitendo cha kumtumia Kanoute kama striker. Huyu jamaa ana urefu sahihi na anajua kupiga mashuti. Simba ikifanyia kazi wazo la kumhamishia pale mbele naye akajizoeza kucheza hapo hasa kukaa sehemu sahihi anaweza kuwa chaguo la 1 au la 2 kwenye nafasi hiyo na hawezi kushindwa kuipa Simba magoli 10-12 kwa msimu.

NINAPOMLAUMU:

1. Kutomtumia ipasavyo Miquissone hata pale anapoonyesha msaada kwa timu.

2. Kuacha kuwatumia madogo kama Karabaka na Chasambi. Nadhani baada ya kuwa disappointed na kuletewa kina Jobe, alifanya makusudi kuwafunika hata wale alioletewa wenye uafadhali ili aonyeshwe kutoridishwa kwake kwa wale ambao hakuwataka hasa kwenye position muhimu kama striker (ili anaowalaumu kwa kuwaleta kina Jobe wasije sema mbona yule na yule pia tumewaleta na wanakusaidia) hadi akaanza kuwaweka mastriker wote wawili nje. Hapa alitufanyia uhuni mkubwa.
 
Binadamu tumeumbwa kusahau. Ngoja niwakumbushe mambo mawili matatu ambayo yaliibadilisha Simba kutoka katika mkwamo iliokuwa nao.

1. Tunasahau Simba ilikuwa inacheza hadi dakika ya 60 inakata moto. Tukalilia fitness za wachezaji. Sasa hivi hakuna anayeongelea tatizo la fitness. Tatizo lililobaki ni wachezaji kuogopa majeraha maana imeonekana either kitengo cha utabibu Simba kina mapungufu au wachezaji wamegundua hawathaminiwi tena pale wanapotoka kwenye majeraha. Hili limewaathiri sana kisaikolojia wachezaji wa Simba.

2. Tunasahau kuwa kabla ya ujio wake, Simba ilifika kipindi ilikuwa haiwezi kupiga hata pasi 3 bila kupoteza mpira. Kaangalie mechi ya juzi na Yanga, kaangalie mechi zote mbili za mwisho dhidi ya Al Ahly, sasa hivi timu kiasi fulani inaridhisha kwenye eneo hilo. Inakosa mtu sahihi pale mbele wa kutumia nafasi. Angepatikana huyo mtu hata confidence na ufanisi wa mawinga na viungo ungeongezeka maana wangejua wana mtu wa maana pale mbele. Wachezaji wa Simba bado hawawaheshimu Jobe na Freddy.

3. Benchikha ameipa Simba ujasiri wa kutoka kwenye utegemezi wa wachezaji fulani tukianza kwa Manula ambaye rotation ya makipa ilimu expose akaamua kujivunja, leo hii hakuna mwenye mashaka na Ayoub tofauti na golini akikaa Manula au Salum. Tukaja kwa Bocco, huyu alikuwa anaachwa kwenye safari nyingi za nje hadi akasoma alama za nyakati, naye alipoona vipi akajivunja. Muda ungeruhusu na angekuwa na kikosi kipana naamini wote wangefikiwa.

4. Hili siliweki kama ni fanikio ila anaweza kuwa ametufumbua macho na likifanyiwa kazi linaweza kuzaa matunda kuliko wengi wanavyotegemea. Wanasema "Changamoto ni mama wa uvumbuzi". Hapa naongelea kitendo cha kumtumia Kanoute kama striker. Huyu jamaa ana urefu sahihi na anajua kupiga mashuti. Simba ikifanyia kazi wazo la kumhamishia pale mbele naye akajizoeza kucheza hapo hasa kukaa sehemu sahihi anaweza kuwa chaguo la 1 au la 2 kwenye nafasi hiyo.

Anastahili kubaki..aongezewe watu kwa maana ya wachezji
 
Hamna kocha hapo.... Kocha hana mbinu... .. Bora na Robertinho alikuwa ana mipango.... Mechi 7 za mashindano bila ushindi?.
 
Tuliwahi kusema hapa ishu kubwa ya wachezaji wa Simba ni kujituma. Unaongelea kukata moto na swala la kupiga pasi kiusahihi, hilo ni jambo sio geni kaangalie mechi ya Simba ya Robertinho dhidi ya Al Ahly lile pira lililopigwa hadi inafika full time. Mechi ya Yanga dhidi ya Simba ile mechi Simba alizidiwa mbinu kwa kutaka kupishana na Yanga na hata ya juzi hapa Benchikha alifanya kosa hilo hilo uzuri ni kwamba Yanga wali relax zaidi hata point moja ilikuwa inawatosha.

Benchikha kaishusha zaidi Simba ubora kuliko kuipandisha, Robertinho alikuwa na mbinu na mgumu kupoteza mechi
 
Ben kaachika tulimwambia mambumbumbu sio watu akabisha pale hakuna timu ni kusanyiko la wahuni sasa Kiko wapi?
Tukienda kwa takwimu, Simba mpaka sasa kwa msimu huu ina mafanikio kuliko timu nyingine yoyote Tanzania.

1. Makombe mawili (hakuna aliyefikia)
2. Mshindi wa pili Kombe la Mapinduzi
3. Robo Fainali CAFCL (hakuna aliyezidi hapo)
4. Bado inalipambania Kombe la NBC
5. Kufika #5 kwenye rank za CAF (hakuna timu ya TZ iliyowahi kufikia nafasi hiyo)

NB. Yanga haiwezi kuchukua kombe zaidi ya moja msimu huu.
 
Wakina Mangungu wanafurahi sana kuwa na mashabiki kama wewe
 
Tangu muanze kubadilisha hovyo makocha na kuacha wachezaji hovyo, Yanga na yenyewe imeendelea kuwa Bingwa wa Ligi kuu. Kwa hiyo na msimu ujao kuna kila dalili ya Yanga kuwa Bingwa tena.

Yaani hii inaitwa kitaalam kufa kufaana! au adui yako muombee njaa.
 
Ndiyo maana nimekuwa nawahusia wanasimba kutowasikiliza nyie viumbe. Matatizo yatatuliwe kwa maono ya wanasimba na si kwa kelele za upande wa pili ambao hawana jema la kunena kuhusu Simba. Ni sawa na kwenda kuchukua ushauri kwa mtu aliyejaa mapepo. Shida ni kwamba ni ngumu kuzitofautisha hizi kelele zinatoka wapi. Kwa uzoefu wangu, mwanasimba akiishauri Yanga anakuwaga anatoa ushauri kiroho safi wakati upande wa pili ushauri wao unakuwa nyuma yake umejaa roho mbaya.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Tuliwahi kusema hapa ishu kubwa ya wachezaji wa Simba ni kujituma. Unaongelea kukata moto na swala la kupiga pasi kiusahihi, hilo ni jambo sio geni kaangalie mechi ya Simba ya Robertinho dhidi ya Al Ahly lile pira lililopigwa hadi inafika full time. Mechi ya Yanga dhidi ya Simba ile mechi Simba alizidiwa mbinu kwa kutaka kupishana na Yanga na hata ya juzi hapa Benchikha alifanya kosa hilo hilo uzuri ni kwamba Yanga wali relax zaidi hata point moja ilikuwa inawatosha.

Benchikha kaishusha zaidi Simba ubora kuliko kuipandisha, Robertinho alikuwa na mbinu na mgumu kupoteza mechi
Upo sahihi Sana robetinho alikuwa Bora kuliko benchika,kwenye mechi ile tuliofungwa goli tano na yanga robetinho hakuiheshimu yanga,ilitakiwa ashambulie kwa countaatack,siasa za mpira was bongo zikamuondoa Mimi naamini alikuwa coach mzuri tu
 
Watu wanasahau, hadi dakika ya 63 matokeo yalikuwa 1-1 na mpira ulikuwa umebalance vizuri tu. Yanga walifunga goli 4 ndani ya dakika 27 za mwisho.
 
Upo sahihi sana bro,nilikuwa namkubali Sana robetinho japo timu ilikuwa haichezi mpira mzuri lakini tulikuwa tunapata mtokeo,
 
Binadamu tumeumbwa kusahau. Ngoja niwakumbushe mambo mawili matatu ambayo yaliibadilisha Simba kutoka katika mkwamo iliokuwa nao.

1. Tunasahau Simba ilikuwa inacheza hadi dakika ya 60 inakata moto. Tukalilia fitness za wachezaji. Sasa hivi hakuna anayeongelea tatizo la fitness. Tatizo lililobaki ni wachezaji kuogopa majeraha maana imeonekana either kitengo cha utabibu Simba kina mapungufu au wachezaji wamegundua hawathaminiwi tena pale wanapotoka kwenye majeraha. Hili limewaathiri sana kisaikolojia wachezaji wa Simba.

2. Tunasahau kuwa kabla ya ujio wake, Simba ilifika kipindi ilikuwa haiwezi kupiga hata pasi 3 bila kupoteza mpira. Kaangalie mechi ya juzi na Yanga, kaangalie mechi zote mbili za mwisho dhidi ya Al Ahly, sasa hivi timu kiasi fulani inaridhisha kwenye eneo hilo. Inakosa mtu sahihi pale mbele wa kutumia nafasi. Angepatikana huyo mtu hata confidence na ufanisi wa mawinga na viungo ungeongezeka maana wangejua wana mtu wa maana pale mbele. Wachezaji wa Simba bado hawawaheshimu Jobe na Freddy.

3. Benchikha ameipa Simba ujasiri wa kutoka kwenye utegemezi wa wachezaji fulani tukianza kwa Manula ambaye rotation ya makipa ilimu expose akaamua kujivunja, leo hii hakuna mwenye mashaka na Ayoub tofauti na golini akikaa Manula au Salum. Tukaja kwa Bocco, huyu alikuwa anaachwa kwenye safari nyingi za nje hadi akasoma alama za nyakati, naye alipoona vipi akajivunja. Muda ungeruhusu na angekuwa na kikosi kipana naamini wote wangefikiwa.

4. Hili siliweki kama ni fanikio ila anaweza kuwa ametufumbua macho na likifanyiwa kazi linaweza kuzaa matunda kuliko wengi wanavyotegemea. Wanasema "Changamoto ni mama wa uvumbuzi". Hapa naongelea kitendo cha kumtumia Kanoute kama striker. Huyu jamaa ana urefu sahihi na anajua kupiga mashuti. Simba ikifanyia kazi wazo la kumhamishia pale mbele naye akajizoeza kucheza hapo hasa kukaa sehemu sahihi anaweza kuwa chaguo la 1 au la 2 kwenye nafasi hiyo.

NINAPOMLAUMU:

1. Kutomtumia ipasavyo Miquissone hata pale anapoonyesha msaada kwa timu.

2. Kuacha kuwatumia madogo kama Karabaka na Chasambi. Nadhani baada ya kuwa disappointed na kuletewa kina Jobe, alifanya makusudi kuwafunika hata wale alioletewa wenye uafadhali ili aonyeshwe kutoridishwa kwake kwa wale ambao hakuwataka hasa kwenye position muhimu kama striker (ili anaowalaumu kwa kuwaleta kina Jobe wasije sema mbona yule na yule pia tumewaleta na wanakusaidia) hadi akaanza kuwaweka mastriker wote wawili nje. Hapa alitufanyia uhuni mkubwa.
Kwa Luis Miquissone Benchika kazingua.
 
Tukienda kwa takwimu, Simba mpaka sasa kwa msimu huu ina mafanikio kuliko timu nyingine yoyote Tanzania.

1. Makombe mawili (hakuna aliyefikia)
2. Mshindi wa pili Kombe la Mapinduzi
3. Robo Fainali CAFCL (hakuna aliyezidi hapo)
4. Bado inalipambania Kombe la NBC
5. Kufika #5 kwenye rank za CAF (hakuna timu ya TZ iliyowahi kufikia nafasi hiyo)

NB. Yanga haiwezi kuchukua kombe zaidi ya moja msimu huu.
Na Kibegi ongezea hapo.
 
Ndiyo maana nimekuwa nawahusia wanasimba kutowasikiliza nyie viumbe. Matatizo yatatuliwe kwa maono ya wanasimba na si kwa kelele za upande wa pili ambao hawana jema la kunena kuhusu Simba. Ni sawa na kwenda kuchukua ushauri kwa mtu aliyejaa mapepo. Shida ni kwamba ni ngumu kuzitofautisha hizi kelele zinatoka wapi. Kwa uzoefu wangu, mwanasimba akiishauri Yanga anakuwaga anatoa ushauri kiroho safi wakati upande wa pili ushauri wao unakuwa nyuma yake umejaa roho mbaya.
Mnanjaaaa ndioooooo mmeshibaaaa ndioooooo..... Mmeshasahu ubovu wa timu lenu Kwa kikombe Cha mapinduzi..nyie ni wagonjwa
 
Benchikha ameipa Simba ujasiri wa kutoka kwenye utegemezi wa wachezaji fulani tukianza kwa Manula ambaye rotation ya makipa ilimu expose akaamua kujivunja,
Hapo nilipo bold Rage apewe maua yake kwa kauli aliyoitoa kwa mashabiki wa 5imba.
 
Back
Top Bottom