“Wachezaji kila ukiwauliza wanasema wao wanawaza Agosti 8 tu, nawaambia kabisa ‘Makolo’ wasilite timu uwanjani, yani wale tukiwapiga chini ya nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja moja.” —— Msemaji wa Yanga Sc, Haji Manara
Wakuu,
Kumbe na kwenye soka kiki ni dili!
… Tumewaambia kilele ni August 4, lakini kama ilivyokuwa utamaduni wa Yanga sisi tuna Wiki ya Wananchi ambayo kilele chake ni ndiyo August 4, na hiyo wiki ndiyo inaanza leo (Julai 29, 2024)
Timu itawasili leo saa tisa usiku kutoka Afrika Kusini uwanja...
Amini usiamini, simba na yanga wanajuana na ndio maana ni ngumu sana kwa vilabu vingine kugombea kombe lolote dhidi ya miamba hii miwili hapa nchini.
Azam anajitahidi kufurukuta ila anazidiwa nje ya uwanja (ulonzi)
Simba na yanga waneshaanza kupigishana shoti hivi sasa, wazee wanahaha huku na...
𝗠𝗔𝗗𝗨𝗡𝗗𝗨𝗞𝗔
Just imagine wewe KOLO umelipia App yako halafu admin anakudanganya Waziwazi Dakika ya 71 Chambi anatoka then Dakika ya 88 anafunga😂.
Kweli nimamini maneno ya Mzee wangu Rage.....
NB;#ZAANDANIIIII Kipa wetu Kagoma kutolewa kwenye system kwasababu hakupenda Kuumia,Kawapa sharti moja...
Jana imefanyika match ya kirafiki huko Misri kati ya Simba zidi ya Telecom, match ilikuwa live kwa kuhadithiwa kupitia Simba appl. Dakika 71 anatoka Chasambi anaingia Onana,chakushangaza dakika 88 Chasambi anaifungia Simba goal la ushundi. Je kuna Chasambi wangapi Simba?
Leo kuna jambo nitalisema kwa sababu nimelitafakari muda mrefu hasa baada ya msimu uliopita kuisha.
Katika msimu wa 2022-23, msimu wa mwisho wa Che Malone Fondoh akiwa na Coton Sport ya Cameroon, timu hiyo ilishika nafasi ya mwisho katika kundi lake kwenye CAFCL, ikiongoza kwa kuruhusu magoli...
Clement Mzize ambaye anadai kuzaliwa 2004 , yani sasa ana miaka 20 ambaye kwa sasa mkataaba wake na Yanga umeisha amegoma kusaini mkataba mpya.
Mzize amegoma mkataba mpya na anataka kupandishiwa dau.
Ikumbukwe Mzize alikuwa "afisa usafirishaji " -bodaboda Pale Igumbilo Iringa akivaa yebo yebo...
Yanga walicheza mpira mkubwa hadi mashabiki wa Kaizer chiefs walipokuwa wakizomea Kwa nguvu mwanzoni mwa mchezo walianza kushangilia Kwa nguvu. Hakika hii ni ajabu katika mpira, team ipo kwao ila wanashangilia mpinzani.
Hii ilitokea Santiago Benabeu Pale mashabiki wa Real Madrid walipo...
Washabiki wa Simba hatufatilii kabisa ukweli na uhalisia wa timu.
Tunasubiri uchambuzi wa Wachambuzi bahasha na kuweka matarajio ya kipuuzi.
Nilifatilia usajili ni wa ovyo kabisa. Tumesajili wachezaji wawili tu wa kiwango cha simba na kurundika wa ovyo ovyo. Nimeposti sana takwimu za kila...
Habari Hongera na weekend!
Nianze hivi kilichomkuta Kaizer sio kusema kanunuliwa sio kusema sijui ana udhamini wa GSM ni kapigwa Mpira unaitwa Kosa Kujisahau tu.
Kwa wasiojua Kaizer Alienda Pre season nje ya Sauzi na tangu atangazwe NABI alikua hajapoteza huko Pre-Season yani ilikua full dozi...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Nikimnukuu kocha wa Yanga alichosema baada ya kumalizika mchezo huko Kwa Madiba
Gamondi "You know Yanga & Simba are friends,so here in South Africa I prepare my team because of CACL,iam not here for Simba,So let I assure the Simba fans, we're brothers...
Ndo Ivyo wananchi wamewalipia kisasi wale vijana wa Mangungu maana walipigwa chuma 4 kwa mtungi na kaizer chief!
Wananchi wanatamba kokote na wanatoa adhabu kokote na kwenye uwanja wowote, siwatishi lakini Yanga wanatisha!
Moja ya pre-season Bora kabisa imefanywa na Yanga msimu huu!
Hapo vip!!
Kwanza naomba Admin tafadhali acha ku edit kichwa cha habari cha hii thread tafadhali.
Moja kwa moja kwenye mada husika.
Kuna msemo unasema kilicho kidhaifu huiga kilicho na nguvu..au kilicho kibovu huiga kilicho boro.
Sasa kitendo cha yanga kutumia rangi nyeupe ya Simba sc ni...
Jezi za Simba zilitangulia kutoka kabla ya jezi za yanga, mashabiki wa Simba walisifia ubunifu ila kasoro ikawa ni neno SANDA peke yake. Sijajua mbunifu wa jezi za Simba aliwaza nini kuweka 1 5 kwenye jezi za Simba lakini uzuri hakuna aliyechukulia hilo kama nia mbaya ama mashabiki wa Simba...
Nilishaonesha sana Ubovu wa kitwakimu huyu bwana akisimamia timu mara 7 tofauti.
Simba wanabaki kumpamba tu kwenye media haita badili kitu kuhusu uwezo wake.
Kinachomfanya aombe Timu mbovu sio kukosa timu nzuri bali ni muoga wa mechi kubwa.
Ona Fadlu Sio kocha huwezi cheza na timu inayocheza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.