simba

  1. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Tumalize utata: Jezi ipi kali msimu huu kati ya Yanga na Simba?

  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Picha nyingi za sasa za Simba App kila nikimwona Onana naona anafanya tu Maigizo na Matangazo ya Mo Products, ila za akifanya Mazoezi sizioni kabisa

    Uongozi wa Simba SC ninasema tena leo Kwenu kwa mara ya Pili tafadhali achaneni na Onana hafai kuwa Simba SC.
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Picha nyingi za sasa za Simba App kila nikimwona Onana naona anafanya tu Maigizo na Matangazo ya Mo Products, ila za akifanya Mazoezi sizioni kabisa

    Uongozi wa Simba SC nasema tena leo Kwenu kwa mara ya Pili tafadhali achaneni na Onana hafai kuwa Simba SC.
  4. political monger senior

    JamiiForums Tanzania Yametimia: Hatimae Kibu Denis azungumzia sakata lake na Klabu ya Simba

    Kwenye mkataba wa Kibu Denis na SimbaSC kuna kipengele walichokubaliana kuwa, akipata timu Ulaya aruhusiwe kuondoka. Kipengele hicho ndicho kinampa uhakika na jeuri ya kuondoka katika klabu ya Simba. ℹ️ Klabu ya Kristiansund BK imeandika barua rasmi kwenda Simba SC ili kumnunua mchezaji huyo...
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kibu Denis siyo mjinga, Kuna jambo halipo sawa hapo kati ya Simba na Kibu

    Wengi wanaona kama Kibu hana ustaarabu anawafanyia Simba uhuni. Nimejiridhisha Kuna kitu hakipo sawa na Kibu anaenda kuwavua nguo viongozi waongo wa Simba mbele ya mashabiki wao. Kibu Ali sain pre contract na akahaidiana na Viongozi wa Simba kuwa atasaini wakikamilisha baadhi ya matakwa ya...
  6. Prince_Nurudin_Tz

    JamiiForums Tanzania Simba sc katika harakati za kumtafuta kibu d #ubaya_ubwela

  7. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Simba hakikisha unavaa SANDA yako tarehe 8

    Hongera sana boss MO na Sandaland kwa kutengeneza sanda janja (smart sanda). Tarehe 8 Simba itaandika historia mpya kuwa timu yakwanza kufa kwa bao 10 bila kwenye mechi za ngao ya jamii. Kwa kulitambua hilo, maboss wameandaa sanda kwa kila shabiki na mwana chama ili kupunguza gharama za...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Namwona tena kocha wa simba zamu hii hafiki Nov 1

    Rejea kichwa cha habari hapo juu kama umeelewa kila la kheri ujaelewa tukutane tar 2 nov hapa ndani Usikumwema Kwahisani ya Ubaya ubwela
  9. D

    JamiiForums Tanzania Designers wa jezi za Yanga wapo Simba

    Competition is good for business. I will be short as usual The real yanga jersey designer was not sheri ngowi but his trustee workers. So these workers are now hired in simba under sandaland leaving sheri ngowi seeking new talents in Jersey design. in short he is struggling to design a new...
  10. Simchezo

    JamiiForums Tanzania Fally Ipupa- aje Simba day

    Napendekeza Kwa uongozi wa Simba Sc ikiwezekana mwanamuziki Fally Ipupa- wa Congo aliye kwenye viwango vya juu atumbuize siku hiyo. Yanga wamekuwa wakimleta Koffi Olomide.
  11. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Soma kwa Umakini: Katika jezi mpya, ni ama Simba imepatia sana au imekosea sana

    Baada ya majadiliano ya jana baada ya uzinduzi wa jezi, nimepata wasaa wa kutafakari mtazamo wangu nilioutoa jana. Nitaelezea kwa ufupi sana ila huu utakuwa mchango wangu wa mwisho kwenye mada hii. Kuna mawili, ni ama Simba imepatia sana katika hili jambo au imekosea mno. Simba imepatia sana...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Neno Sanda katika jezi mpya ya Simba ni kinga dhidi ya washirikina na wenye husda dhidi ya Simba, mnaopinga neno hilo mna nia mbaya na timu yetu

    Kama kweli wewe ni mpenzi na mwanachama wa Simba na unaitakia Simba mema, basi usikubali kuingia mtumbwi wa kibwengo, hilo neno Sanda hapo kwenye jezi mpya ya Simba halikukaa kimakosa, nyie wote mnajua maana ya Sanda. Sanda ni shuka anayofunikwa maiti kuelekea kaburini kuzikwa.Simba imeweka...
  13. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kibu Denis mamilion ya Simba yamemchanganya anahiyaji msaada wavushauri nasaha mapema yasimkute ya Mwisho Mwampamba au Idrisa Sultan

    Huwezi kumwekea milion 200 kijana aliyekulia kambi ya wakimbizi bila kumuongoza. Kibu anahitaji washauri kabla ya kuwekewa mzigo kama ilivyo kwa Aziz ki au kijana yoyote kama Feitoto. Wote mnamuita Mama au Baba mnamshauri nini afanye. Madhara ya starehe na kilakitu ndio mnaweka mzigo...
  14. OleWako

    JamiiForums Tanzania Sandaland waache kutengeneza Jezi

    Hawa Sandaland waliingiaje kwenye nafasi ambapo wapo saivi kutengeneza majezi ya Taifa Stars na Simba?? Baada ya set za kwanza za Simba na T-Stars niliona niwape benefit of doubt.. yaani waliingia tu sokoni. Ila kwenye hiyo majezi mapya ya Simba wameonesha na thibitisha hawana ubunifu wa kutosha...
  15. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Hersi anawatamani sana watu waliopo Simba?

    Ukiwa na aibu kuna mambo fulani utajizuia kufanya mbele za watu hata kama unatamani sana na una haki ya kuyafanya. Miaka hii miwili matatu tunaona wimbi la watu kutoka Simba kuelekea Yanga kwa kurubuniwa na Rais wao aliyekataliwa na mahakama Hersi Said. Imekuwa kama lile wimbi la "waunga mkono...
  16. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kibu Denis na Simba linanifikirisha, kwanini mchezaji anajiamini kiasi hiki?

    Ninapata mashaka sana kwenye hiki kinachofanywa na KIBU DENIS, kwanini ANAJIAMINI sana na kufanya mambo ya ajabu namna hii? Mchezaji umesaini mkataba mpya ata mwezi aujaisha alafu unagoma makusudi kujiunga na Kambi ya timu yako na unajua kabisa Sheria zinazoongoza mpira duniani zilivyo unapataje...
  17. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Pre season ya Simba hawatapata kipimo sahihi cha kujipima

    Uongozi wa simba kuna mda unashangaza sana Unaenda kufanya pre season kwenye nchi ambayo unajua kabisa ni ngumu sana kupata timu ya maana ya kujipima kwa sababu kubwa ligi haijaisha Kwanini wasingeenda moroco ambako nako ligi imeisha na wananafasi kubwa sana ya kupata kipimo kizuri kuliko...
  18. Heart Wood.

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwanzo mzuri kwa Simba SC

    Ewe mpenzi wa soka la Tanzania, habari zikufikie popote ulipo kuwa kikosi cha Simba SC kimeanza vizuri katika maandalizi yake ya Msimu mpya huko nchini Misri. Hii ni baada ya kukichapa kikosi cha El Qanah siku ya jana baada ya kuibuka na ushindi mnono wa goli 3-0 (Tatu kwa mtungi). Wale wote...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Simba yazidi kuboronga, kumbe Awesu naye Magumashi matupu!

    Kumbe hata mkataba wake KMC Haukwisha! Afisa Mtendaji mkuu wa KMC FC Daniel Mwakasungura amethibitisha utata juu ya usajili wa kiungo Awesu Awesu aliyetambulishwa na Simba hivi karibuni. Kwenye SportsXtra Daniel amesema sakata hilo tayari lipo TFF na maamuzi yatatolewa na wasimamizi wa...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Simba inatisha yawapiga waarabu wa misri goli 3

    Wadau hamjamboni nyote? Simba inatisha 🚨 𝗙𝗨𝗟𝗟-𝗧𝗜𝗠𝗘 Mechi ya kirafiki ya dakika (120) ilihokuwa na vipindi (3) imekamilika huko Misri 🇪🇬 Full — Simba 3 - 0 El Qanah ⚽⚽ Jean Charles Ohoua. ⚽ Okejepha. ℹ️ Mchezo huo umechezwa katika vipindi vitatu vya dakika (40") dhidi ya timu hiyo ya...
Back
Top Bottom