simba

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC 'mmerogwa' na nani tena? Rweymamu wa nini tena kama Meneja wakati mnajua akikaa na Rafiki yake mkubwa Matola wanaleta Majungu sana?

    Klabu ya Simba imemrejesha kikosini Patrick Rweyemamu kuendelea na majukumu yake ya kuwa meneja wa timu hiyo. Rweyemamu amerejeshwa katika majukumu hayo baada ya msimu uliopita kuondolewa kwenye nafasi hiyo na kuwa Mkuu wa Programu za Soka la Vijana klabuni hapo. Kurejea kwake anachukua nafasi...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Dili la Ulaya sababu za Kibu Denis Kutoonekana kambini

    Mchezaji superstar na tegemezi wa timu ya simba Kibu denis, yupo nje ya nchi kukamilisha mazungumzo na klabu yake mpya ya ubeligiji inayocheza ligi daraja la pili, mchezaji huyo alisaini dili jipya na klabu ya simba huku akipewa gari, na pesa zote alizostaili kulipwa, na msimu ulivyoisha...
  3. Heart Wood.

    JamiiForums Tanzania Simba kukipiga na El-Qanah ya Misri, Mechi ya kwanza kirafiki hapo kesho 22.07.2024

    Ewe Mpenzi wa Soka na mfuatiliaji wa Timu kubwa Pinzani za Tanzania yaani Simba SC na Young Africans habari hizi zikufikie popopte ulipo. Timu ya Simba iliyopo kwenye maandalizi ya msimu ujao itakipiga na El-Qanah ya Misri ikiwa ni mechi yake ya kwanza ya kirafiki katika mandalizi ya Msimu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya mchezaji Chama wa Simba na Chama wa Yanga

    Haya mimi nimeyaita maajab maana haijawahi kutokea na huenda wengine hili hawakuliona. Jana YANGA walipokuwa wanacheza mchezo wa kirafiki na AUGSBURG ya Ujerumani, nilimuona Chota Chama akifanyiwa substitution (mabadiliko) ktk kipindi cha pili. Maajabu kwangu ni pale Chama alipoitwa kutoka...
  5. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni taasisi ,Wawekezaji wanaweza vuna pesa za kutosha kwa sababu ya Ujinga wa wanachama na mashabiki.

    Mimi binagisi ni Yanga, Ila nimekaa chini nikatafakari sana nikagundua Magoma ana point, Magoma sio kichaaa, shida kuu iko kwa wanachama na Mashabiki na hii pia iko Simba. Yanga na Simba ili hawa wawekezaji wapige pesa hadi washindwe kubeba na mtu asiwaulize chochote wawekeze tu kwanye timu...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC huyu Onana tunambakiza wa nini?

    Tafadhali achaneni nae kwani hana jipya wala msaada wowote ule Kikosini. Mchezaji gani Kutwa anawaza kwenda Saluni, Kujiremba na Kujipodoa tu? Binafsi simtaki ndani ya Kikosi chetu na naomba nae apewe Thank You upesi sawa?
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Napenda Utani wetu wa Simba na Yanga, ila hili la kusema kuwa akina Mzee Magoma na Wenzake wamefoji Sahihi na Nyaraka nalikataa tena kwa 100%

    Mkiniambia GENTAMYCINE kuwa upande ambao mmetakiwa Kuachia Timu na ambao ndiyo mna Hela chafu na Utajiri mkubwa mmeamua kutumia Nguvu yenu ya Fedha na Propaganda kwa Kubebwa na Wakubwa walioko Serikalini na wenye Nguvu na Ushawishi kubadilisha huu Upepo na Kumsingizia Mzee Magoma na Wenzako kwa...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni basi tu Siasa zetu za Mpira ila Simba SC kama mngemsajili Joseph Guede kutoka Yanga SC kama Free Agent nina uhakika katika Striking tungelamba dume

    Napongeza sana Usajili wa sasa na Nauheshimu, ila kwa nilivyomuona Guede nina uhakika pia angekuwa Jibu tosha.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Mchomoa Betri Magoma asema kuwa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe ni mwana Simba SC lia lia na ana uhakika na hilo

    Mwaka mwishoni kama siyo mwaka huu mwanzoni GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums niliposema tena nikiwa na uhakika wa 100% kutokana na Vyanzo vyangu aminika kuwa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe ni mwana Simba SC Mwenzangu na kwamba Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni mwana Yanga SC mlinikatalia na...
  10. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Barcelona na Real Madrid ni Timu za wanachama kunachosumbua Simba na Yanga ni umasikini na ukosefu wa mipango thabiti

    Simba na Yanga ni timu kubwa zisizo na vyanzo vya mapato vinavyoeleweka hii ni kutokana na ukosefu wa mipango ya kueleweka , lakini pia kuwa na viongozi wabovu . Ingawa na siasa inachangia pia , mikataba inatekelezwa kimaneno hakuna vitendo . Hatumuelewi Mzee Magoma sababu ya umasikini wa...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC tunaomba Taarifa za wapi alipo sasa Kibu Denis

    Na mlituaminisha muda tu kuwa mmeshamalizana nae sasa ni kwanini hata Kambini katika Pre Season wala hayuko?
  12. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba sc , Njooni mtuombe radhi mashabiki wenu kwa kutudanganya uwa Lameck Lawi ni mchezaji halali wa Simba sc

    Mpaka sasa uongozi wa Simba sc upo kimya tu na hautaki kujitokeza hadharani na kutuomba Radhi mashabiki wa mnyama lialia nikiwepo mimi mwenyewe na ndugu yangu wa damu Gentermycin. Hizi ni dharau kubwa sana ina maana viongozi wa Simba sc wamesahau kabisa kuwa wamedanganya mashabiki kwa kutuambia...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Simba na Yanga hawaweki hesabu zao za kifedha hadharani kwa wanachama wao kuondoa harufu na mizozo ya ulaji na upigaji?

    Hizi timu mbili zinazoitwa za wanachama kwa nini uongozi wao hawaweki hesabu zao za kifedha hadharani? Ukirejea haya malalamiko ya huyu anayeitwa mzee wa Yanga, Magoma na Hamis Kigwangala wa Simba inaonyesha kuna ujanja mkubwa sana katika hizi timu. Hii yote ingeweza kuwekwa sawa kama masuala...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mchezaji mwenye Umri mkubwa kwa Simba SC hii ya sasa ana miaka 22 tu, je, wa Vilabu vingine wana mingapi?

    Kuna Daktari mmoja wa Hospitali moja ( yenye Hadhi ) kasema kuna Timu Mchezaji wao mwenye Umri mdogo ni 43.
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kongole Simba SC kwa Awesu Awesu tumelamba Dume na natamani sana Kocha awe anamchezesha hasa 'Wing Midfield' atatusaidia sana

    Sasa naona kabisa ule muda wa Wazee Majini FC Kupimwa Umri umekaribia na kuna Watu wataikimbia hiyo 8.08.24.
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nawaonya wana Simba SC wote kuwa tujitenge na huu Mtego na yanayoendelea Kwao, bali tuijenge Timu yetu kwa Msimu mpya

    Na nyie mliokuja PM kutaka niseme chochote tu kuihusu Yanga SC na kinachoendelea iwe mwanzo na mwisho sawa?
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni timu za wanachama au matajiri wafadhili kwa sasa?

    Kuna kitu kinachanganya kuhusu hizi timu za Kariakoo, Kwa muda mrefu nilikuwa naona Simba na Yanga kama zilikuwa timu zinazomilikiwa na wanachama ,baada ya timu zote mbili kufanya kile wanaita mabadiliko ya mfumo ni kama zimetwaliwa na matajiri kwa sasa na wao ndio wamiliki na waendeshaji wa...
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba mmekubali kuingia kwenye huu mtego, Yanga hakuna mgogoro

    Ndo maana ninamkubali Eng Hersi Said. Yaani kaona Usajili wa 5imba ni WA umakini, akaona watatusubua kidogo hatutawapiga magoli mengi. Nawatahadharisha tarehe 8 sio mbali, Mtapigwa 8. Na itakuwa nane nane 1. Jiulizeni mahakama ilitoa hiyo jukumu zamani, kwanini iibuke Leo mechi ikiwa karibu😄😅...
  19. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Eng. Hersi aachie ngazi Yanga!

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, imeamuru Uongozi wa Club ya Yanga ukiongozwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Saidi na wenzake, kuachia ngazi na kuondoka kwenye Club hiyo kwakuwa Katiba ya Yanga haitambui uwepo wao. Imedaiwa kuwa uamuzi huu wa Mahakama umekuja baada ya Kundi...
  20. Damaso

    JamiiForums Tanzania Asanteni sana Par Omar Jobe na Babacar Sar

    Hakuna habari njema iliyokuwa inasubiriwa sana na mashabiki wa mnyama kama habari za THANK YOU YA PAR OMAR JOBE pamoja na THANK YOU YA BABACAR SAR. Siku 183 zimetosha kabsa kwa Joeboy kuonesha ubora wake Msimbazi huku pia Babacar sarr yeye akihitaji miezi sita! Boss MO yupo kazini kwa hakika...
Back
Top Bottom