Kama kweli Simba imemsajili beki wa kulia Kevin Kijiri basi sitowakosoa tena msimu huu na nitaiunga mkono timu 100%

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
524
2,085
Huyu beki wa kulia kwa sasa hapa nchini hakuna, anaitwa Kevin Kijiri, huyu beki ana kasi, ana nguvu, mrefu na anajua boli.Anaitwa Kevin Kijiri.

Kwa sasa hapa nchini hakuna beki wa kulia kama huyo, prove me or not.

Mechi ya kwanza ya Kjjiri akiwa Simba anakwenda Stars moja kwa moja.

Huyu Kijiri anafanana sana na yule wa kulia wa Mamelodi Sundowns, time will tell.

Kama kweli amesajiliwa basi nitaweka silaha chini na sitokosoa tena klabu yangu ya mioyo yangu, Simba sports club.
 
Atakuwa ni mjinga kwenda kucheza Simba, bora abaki hapo hapo akiwa na uhakika wa namba yake.
 
Wanathiiimbaaa..... lete mudhumgu.
 
Usajili wa Simba msimu huu ni moto, top quality everywhere, tatizo lako mleta mada umejaa malalamiko saana punguza mashaka.
 
Atakuwa ni mjinga kwenda kucheza Simba, bora abaki hapo hapo akiwa na uhakika wa namba yake.
Mjinga ni aziz ki, mmemuendea kwa waganga mumloge ili asaini yanga na pesa zenu za kimskini za mawazo hadi ameacha mshhara wa milioni zaid ya 100 kwa mwezi.
 
Kama ni kweli basi Mzee Magori na kamati nzima ya usajili wapewe pongezi kubwa. Kwa waliomwangalia Kapombe msimu uliopita watakubaliana na mimi kuwa Kapombe sasa hivi umri umeaanza kumtupa mkono kiasi hawezi kucheza kwa kiwango kile kile mechi zikiwa mfululizo. Na Israel Mwenda naye hatabiriki anaweza akacheza vizuri mechi hata nne/tano halafu halafu ghafla tu unaona kiwango kinaanza kushuka. Kwa hali hiyo mbavu ya kulia ya Simba inahitaji kuongezewa nguvu na iwapo kama kweli wamempata Kijiri basi watakuwa wamepata mtu sahihi.

Kuna baadhi ya mechi huwa zinahitaji kuamuliwa kwa kutumia kasi ya wachezaji na nguvu basi hapo ndio Kijiri atakapokuwa msaada kwa Simba.
 
Huyu beki wa kulia kwa sasa hapa nchini hakuna, anaitwa Kevin Kijiri, huyu beki ana kasi, ana nguvu, mrefu na anajua boli.Anaitwa Kevin Kijiri.

Kwa sasa hapa nchini hakuna beki wa kulia kama huyo, prove me or not.

Mechi ya kwanza ya Kjjiri akiwa Simba anakwenda Stars moja kwa moja.

Huyu Kijiri anafanana sana na yule wa kulia wa Mamelodi Sundowns, time will tell.

Kama kweli amesajiliwa basi nitaweka silaha chini na sitokosoa tena klabu yangu ya mioyo yangu, Simba sports club.
Kwa hiyo no zaidi ya Atohola Yak Kwasi?
 
Back
Top Bottom