simba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sababu za Simba kuachana na CEO wao ni zipi

    Klabu ya Simba imetangaza kuachana na CEO wake raia wa Rwanda bwana Regis Francos kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao je sababu hizo zaweza kuwa ni zipi? mbona Simba inafanya vizuri katika ligi?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini game ya Yanga imeahirishwa lakini ya Simba haikuahirishwa?

    Nimejiuliza sana sijapata jibu. Kama ni kwaajili ya mechi za Caf mbona wote wanacheza wiki hiyohiyo?? Anyway, inawezekana ni Yanga iliyoomba , na Simba ikaona yenyewe icheze tu. Na katika hili hakika Simba inaonekana haina pressure na mashindano ya Caf tofauti na Yanga. Pia Yanga...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Sc yasisitiza, RC alitumia mamlaka yake kuleta Uyanga. Yamsagia kunguni kwa Rais

    Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally,amesisitiza msimamo wa klabu kuwa RC Mwanza alitumia mamlaka yake vibaya kuifanyia Simba mambo ya kihuni. Amebainisha kuwa Simba imeshatoa taarifa kwa mamlaka za soka ili kuchukua hatua stahiki kwa wahusika wote. My Take Wanamichezo wote tukemee hii tabia ya...
  4. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Said Mtanda: Msemaji wa Simba anatumia Umaarufu wake kunichafua

    “Ahmed Ally amenikosea sana, anatumia umaarufu wake kunichafua, Mimi siyo kiongozi Wa kwanza kushabikia Yanga” Mh Said Mtanda, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kupitia kipindi cha michezo cha Crown Sports ya Crown FM Una maoni gani?
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Simba ikishinda leo dhidi ya Pamba nipigwe Ban

    Ikijitahidi sana ni draw. Sioni ikishinda magoli. Labda itashinda njaa tu. Pamba leo wanashinda. Kwa makafara waliyoyatoa? Mikia kipigo kipo. Tena kipo kweli kweli. Simba ikishinda nipigwe BAN YA SIKU 3. Najua hilo la Simba kushinda halipo. Wakijitahidi sana ni kutoa Draw. Hapo wamejitahidi...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mtanda: Ajibu shutma vurugu za Simba SC, CCM Kirumba, "Sikuingia Uwanjani"

    Kufuatia sakata lililotokea Mwanza, na Uongozi wa klabu ya Simba kutoa taarifa ya kulaani vikali vitendo visivyo vya kiungwana vilivyodaiwa kufanywa na viongozi wa timu ya Pamba Jiji FC kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, pamoja na maafisa wa polisi. Soma, Pia: + Vurugu...
  7. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania FT: Pamba Jiji 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium | 22.11.2024

    Vinara wa Ligi Kuu ya NBC Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports leo watashuka dimbani kupambana dhidi ya wenyeji wao Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa katika dimba la CCM Kirumba huko jijini Mwanza. Pamba Jiji ataweza kumzuia mnyama? Je, Simba ataweza kuendeleza wimbi la ushindi? Wana Simba...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba ikishinda leo mbali na nuksi zote zilizotokea tukafanye sherehe kubwa

    Uongozi wa Simba SC nawalaumu sana kwani mlijisahau, kubweteka na kujiamini, badala ya Kujiandaa na Mechi hii muhimu Kwetu Sisi muda wote tukawa tunashangalia Watani zetu Yanga SC kupokea Vipigo viwili mfululizo vya Azam FC na Tabora United. Tulijua tokea Wiki Tatu au Mbili kuwa tunaenda...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mwanza RC Mtanda unamchonganisha Rais na mashabiki wa Simba kwa mambo ya hovyo kabisa, Omba radhi yaishe

    Najaribu kufikiria sana kwanini RC uliamua kufanya haya uliyoyafanya, wewe ni wa kwenda uwanjani kweli na masilaha ya moto? Wewe kazi yako c kuagiza tu kwa RPC ss iweje ubebe magari ya umma na masilaha kwenda kukabiliana na wachezaji na viongozi ambao hawana hatia? Hihi kweli RC wangap...
  10. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba heshimu mamlaka, mkuu wa mkoa ni Rais wa eneo lote la Mkoa wake

    Viongozi wa Simba mmeonesha ni jinsi Gani mlivyo watu wa matukio na madeko Hamjui kuwa mkuu wa mkoa ndo Rais wa mkoa katika mkoa wake Utamzuiaje mkuu wa mkoa kuingia uwanjani ulio ndani ya mkoa wake kama sio dharau Kwa mamlaka Mmekaribishwa vizuri Mwanza, Sasa mnazua taharuki na kujifanya mko...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Simba waipangia Pamba jiji namna ya kucheza, Ahmed Ally amewapa onyo wachezaji wasicheze kwa kukamia simba

    Ahmed Ally “Tunawaomba Pamba Jiji Fc katika mchezo wa kesho wacheze mpira kwenye uwezo wao, wasicheze mpira wa hovyo wenye lengo la kutuumizia wachezaji wetu, Bado hatujasahau kesi ya Moses Phiri aliharibiwa kabisa maisha yake” “Nawaomba sana Pamba Jiji wasicheze kwa kukamia wakatuumizia...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Mwanza, Mtanda alivyosema Yanga Oyee! Akiwahakikishia wadau Ushindi kwa Pamba Jiji dhidi ya Simba SC mechi yao ya Ligi

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda alipokuwa anaongelea maandalizi ya Pamba Jiji kuelekea mechi ya kuikabili Simba SC, kesho Novemba 22, akiwahakikishia wasikilizaji kuwa katika game hiyo ushindi ni lazima wa Klabu hiyo ya Rock City, katika Uwanja wa Ccm Kirumba. Amesema hayo akiwa Kwimba...
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania TFF iangalie suala la hawa wachezaji wa Simba kuonesha hii ishara. Msije sema sisi Yanga wabaya

    Ni uhuni hawa mikia. Wanaonesha ishara ya kuwa sisi Yanga tunajidunga kwenye mshipa. Hili jambo walizusha Azam naona mikia wamelibeba. Yaani walikosa pose nyingine mpaka kutuoneshea sisi huu uhuni?ndo maana jerseys zao mbaya....sijapendq kabisa wao kutuoneshea kuwa sisi tunajidunga madawa.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kesho ni Pamba inayofadhiliwa na GSM vs Simba mpinzani wa Jadi wa Yanga

    Ni uonezi wa wazi kwa Simba Ila mwanaume atashinda
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Sisi Yanga tumewazidi pakubwa sana Simba. Hasa upande wa Media na Waandishi

    Yanga hamutaiweza nyie mikia. Yanga inawekeza pia kwa Media sana tu toka enzi za Mwanaspoti, Dimba, Magazeti kama Mwananchi n.k tuna fungu la kutosha tu. Ukija kwa vyombo vya habari kama Radios. Hamtuwezi. Mkienda Wasafi, Clouds, TBC, Radio one, EFM huko kote tumekamata waandishi. Uwezo wa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Morrison aanzishe Timu yake na Amsajili Manula ila kwa tunaomjua Madhaifu yake na Alivyotuumiza hapati Namba Simba SC hii ya sasa

    Aliyekuwa winga wa klabu za Simba na Yanga, Bernard Morrison amempa maua yame kipa Aishi Manula kwa kiwango kizuri alichokioinesha katika mchezo wa kufuzu Afcon 2025 dhidi ya Guinea. Morrison ameweka ujumbe katika Insta story yake baada ya Taifa Stars kuichapa Guinea bao 1-0 na kufuzu michuano...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba SC yazindua rasmi uzi mpya wa michuano ya Shirikisho Afrika 2024/25. Waongeza rangi mpya

    Simba SC imezindua jezi mpya maalum kwa ajili ya michuano ya Shirikisho Afrika, uzinduzi uliofanyika Sandaland Tower, Kinondoni, Dar es Salaam. Jezi hizo zitaanza kutumika katika mechi dhidi ya FC Bravo ya Angola, katika mchezo wa tarehe 27 Novemba 2024, utakaochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba, Yanga na Taifa Stars mtumieni Rais Samia sasa 2024 na 2025, kwani kuanzia 2026 msitegemee kuona akiwasaidia kwa lolote lile

    Kwakuwa tayari mmeshakubali Kutumika nae kama Mtaji wake wa Siasa na kumhakikishia Ushindi na ameshawawekeni Mtegoni mwake na mmejaa vizuri kwa mwaka huu 2024 na 2025 atawamwagieni sana Fedha zake ila akishapita tu Oktoba 2025 msitegemee kumuona akihangaika nanyi tena kwa lolote lile kwani...
  19. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024

    Its match day!! Ni Tanzania Vs Guinea katika dimba la Benjamin Mkapa kuanzia Saa 10:00 Jioni. Ni mchezo wa kufuzu AFCON ya mwaka 2025 pale Morocco ambapo kundi H Taifa Stars inahitaji ushindi wa namna yoyote ili ifuzu wakati Guinea wao wakihitaji ushindi au droo ili waweze kufuzu. Saa 10:00...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini jezi namba 9 klabu ya simba haivaliwi na mchezaji yeyote kwa miaka mingi? mara ya mwisho jezi hiyo alipewa mchezaji felix sunzu

    Kichwa cha habari chahusika Karibuni
Back
Top Bottom