simba

  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba na magoli ya bahati na kichawi

    Kwanini Simba ni Mwakarobo miaka nendarudi? Simba bado inaamini kwenye bahati na sanaa ya uchawi michezoni. ushindi wake dhidi wa Bravos ni wa bahati na kichawi, goli la shabalala dhidi ya costantine ni la kuhatisha na kichawi pia. kubahatisha au koroga kunasaidia kushinda mechi sio kushinda...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Kikosi cha Simba kimeanza safari, kinatarajiwa kuwasili mapema kesho alfajiri

  3. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa simba tembea kifua mbele atakayesema timu mbovu au mwalimu hafai hajui mpira na sio simba!

    Simba imepiga mpira mkubwa sana pale algeria tena kwenye mazingira magumu ya mvua na baridi uwanja kuteleza. Mwalimu amepanga kikosi vizuri kabisa kwa mipango simba ilicheza kwa kujiamini magoli iliyofungwa ni makosa ya kawaida kwenye mchezo wa mpira ila kwa mwenye kujua mpira....... Ila tu...
  4. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Simba iache kuokoteza wachezaji majalalani

    I salute you. Simba wamejiaibisha sana sana! Michuano hiyo mepesi sana inashirikisha team dhaifu mno ambazo laiti Yanga na wenzao kina Al ahly, Mamelodi na Esperence wangeshiriki basi wangekuwa wanajipigia watu kila siku huko! Sasa Simba wao wameshindwa hata kuvumilia kubana miguu wameachia...
  5. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Timu ambazo ziko kundi moja na Simba zimetokaje??

    Naulizia ili nipate namna ya kutathimini. Pia naulize je kwenye kundi hili Kuna timu inayocheza vizuri kuizidi Simba??
  6. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

    Match Day , shirikisho Vikosi vya leo Simba Constantine MPIRA USHAANZA 1900hrs kwa mida ya Tanzania kipindi cha kwanza kimeanza 2' Constantine 0-0 Simba 24' GOOOAL M Hussein anafunga goli Cs Constantine 0-1 Simba 29' Camara yuko chini akipatiwa matibabu baada ya kugongana na machezaji...
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tathmini fupi mechi ya Constantine fc vs Simba fc

    Nawapongeza watani wamecheza wastani ila mashabiki wa Simba wameona kuwa team Yao ni changa na coach ana mbinu duni mno Mchezo ulikuwa wa upande mmoja Kwa maana ya Constantine fc Constantine fc ni timu ambayo haina mafanikio kwenye mashindano ya kimataifa, Mafanikio Yao ni kuishia second...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Siyo Simba wala Yanga atakayevuka makundi

    Simba kwa watoto hawa ambao wanaruka ruka tu uwanjani kama maharage ya Mbeya, hatoboi makundi. Na Yanga kwa wazee hawa wanaotembea tembea uwanjani hawatoboi makundi. Hii ni nzuri, kwa kuwa sasa tuhamishia nguvu zetu kwenye mijadala ya kitekana na akuuwana badala ya Simba na Yanga. Soma Pia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Simba, huu sasa ni wakati sahihi kuipiga Yanga goli za kutosha

    Mtakapokutana tena round ya pili ligi kuu hakikisheni mnaipiga Yanga hii DHAIFU YA WAZEE GOLI HATA 9 ili ashike adabu. Simba sasahivi ni wa moto sana na wachezaji ni vijana wenye kasi. Yanga imesheheni WASTAAFU ambao wameshajichokea. Tumieni nafasi hii ambayo tayari matobo yanayovuja...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mimi kama shabiki wa Yanga naomba msamaha Simba kwa kuwaita Mwaka-robo

    Simba ilitinga robo fainali klabu bingwa Africa mara nyingi mfululizo, hadi kuipandisha ligi ya Tanzania na kwenye chati na kuwa moja ya ligi bora Africa, Yanga tukadhani ni kitu kirahisi tukabeza na kuanza kuwaita Mwakarobo Leo hii naona ugumu wa kazi waliyokuwa wanaifanya Simba, Yanga katika...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zapewa heshima kwa mafanikio na mchango katika kukuza chapa ya Ligi Kuu Bara

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa zawadi kwa klabu za Simba na Yanga kama ishara ya kutambua mchango mkubwa katika kutangaza na kukuza chapa ya Ligi Kuu Bara ndani na nje ya bara la Afrika kutokana na mafanikio ya klabu hizo kwenye michuano ya CAF kwa ngazi ya klabu.
  12. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania CCM na Chadema VS Yanga na Simba: Ukisikia yala ujue imempata, alielenga ana shabaha hajafanya makosa

    Habari zenu wanaJF wenzangu Leo mimi kama mtanzania mwenye haki ya kutoa maoni, nimekuja kutoa maoni yangu na kuweka sawa historia kuhusiana na swala la michezo pamoja na siasa zetu hapa nchini. Kabla ya kuendelea na mada yangu, naomba nikiri tu kwamba kwa sasa michezo imekuwa ikipewa...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hii Simba SC inapikwa nyiee! Fadlu Davids: Tulikipata kikosi tukiwa hata siyo sifuri, bali hasi -5. Haya ni 'Maendeleo'

    Miezi mitatu iliyopita, Kocha wa Simba SC, Fadlu Davids, aliweka wazi kuwa kikosi chake hakikuwa kimefikia kiwango cha ushindani asilimia 100. Alipoulizwa hivi karibuni kuhusu maendeleo ya timu kwa neno moja, jibu lake lilikuwa "MAENDELEO." Akizungumza kwa kina, Davids amesema: "Tulikipata...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Yanga, Simba na Azam zapata shavu Russia

    Klabu za Simba, Yanga na Azam zimepata fursa ya kucheza mechi za kirafiki na klabu za Ligi Kuu ya Russia, pamoja na kuweka kambi katika kipindi cha mapumziko ya ligi. Fursa hiyo imepatikana kutokana na ziara ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro nchini humo na alikutana na...
  15. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Zuchu bado ana safari ndefu sana kimuziki ,bado hajapata fan base ya kwake yeye kama yeye bila kumtegemea Simba

    Ukweli usemwe tu, Zuchu ni msanii mzuri na msanii mkubwa ila bado hajafika viwango vya kumuweka kama msanii mkubwa hapa nchini ukimlinganisha na wasanii wa kike wakubwa wa kizazi chochote kike, kilichopo na kilichopita. Kwa kizazi kilichopo ,Zuchu hamfikii hata kidogo Nandy , Nandy anaweza...
  16. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania CAG wa Usajili kwa Clubs za Simba na Yanga

    Tunapoelekea nusu ya msimu mimi Mkaguzi Mkuu wa Sirikali. USAJILI WA DUBE Wanachama waangalie jambo hili wakiwahoji viongozi wao. Hizo Milion 700 za kumnunua Dube alikula nani? Tunapoangalia katika misimu ambayo Dube amechezea Azam ni minne. Ambapo ameibuka na magoli jumla 32. Wastani wa magoli...
  17. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Usajili wa mpanzu ni kichekesho na hauna tija kwa simba iliyojichokea..

    I salute you kinsmen. Kuna vichekesho vingi sana hapa nchini lakini hilj la usajilj wa garasa Mpanzu nalo lijjmuishwe. Huyu alisajiliwa kwa mihemko sana na bosi wetu gabachori aliingizwa chaka. Huko Belgium walimkataa kwa majaribio sababu ya umri wake mkubwa miaka 37 y ukweli. Inasemekana...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Huyu streka refu kuliko goli, Steven Mukwala ndio tuseme anaipenda sana Simba au ni Ubishoo tu?

    Begi la Ubaya Ubwela kutoka kwa Star Boy, Steven Mukwala Streka refu kuliko gali akiwa safarini kwenda kuwakabili CS Constantine Disemba 8 huko Algeria.
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba SC kuondoka nchini Jumatano kwenda Algeria kwa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine

    Kikosi cha timu ya Simba SC kinatarajiwa kuondoka nchini Jumatano alfajiri (Disemba 4) kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Akizungumza kuhusu safari hiyo, Afisa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba SC, Ahmed Ally, amesema kuwa...
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwanini magoli kipa wengi wa Taifa stars hutokea Simba?

    Mara nyingi huwa hivyo kuwa makipa wengi wa Taifa Stars hutokea timu ya Simba ya Dar es salaam. Kitaalam hiyo hutokana na nini?
Back
Top Bottom