simba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Simba fans ni kichekesho kumponda Kocha Saed wa Yanga wakati Fadlu wenu aliishusha timu yake daraja Afrika Kusini

    Ni vichekesho kwa mbumbumbu eti wanaiponda cv ya kocha mpya wa yanga wakati ajawai kushusha timu daraja kama ilivyo kwa kocha wao fadlu ambae aliishusha Martizburg na akatimuliwa! Kama cv zinakufanya kazi basi Simba wasingemchukua fadlu kwakuwa cv yake ilikuwa ni ya ovyo! Unapochukua kocha...
  2. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba kutumia mechi dhidi ya Pamba kumuaga Ayoub Lakred?

    Naona dalili za Simba kutumia mechi ijayo dhidi ya Pamba kumuaga rasmi golikipa wake Ayoub Lakred. Ni basi tu ila ungekuwa uamuzi wangu ningebaki na Lakred hadi mwishoni mwa msimu ndiyo nifanye tathmini ya kina ya kipa gani wa kuachana naye. Kipaumbele changu kingekuwa kumpunguza kwanza...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, watumiaji wa Kisimbusi cha Dstv na Sisi safari hii tutaziona Live Yanga SC (CAFCL) na Simba SC (CC) katika hatua zinazokuja za Makundi au?

    Tafadhali kama huna Dstv Kwako na una Visimbuzi vyako vya Kipuuzi Kipuuzi cha Bamaga na Tabata huu Uzi haukuhusu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Itakuwa vigumu sana kupata tena kocha wa kuifunga Simba goli 5

    Miaka kadhaa takwimu zinaonyesha kuwa Simba imekuwa ikiinyanyasa sana Yanga kwa kuifunga idadi kubwa ya magoli hadi goli tano. Yanga ilikuwa ikishinda unakuta ni kagoli kamoja tu au viwili. Yanga ikampata Gamondi aliyekuja na kufanikiwa kuifunga Simba goli tano(5). Nadhani kikosi kazi cha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa Yanga na Simba ni mambumbu wa mpira. Wataazima viwanja mpaka dunia ina malizika

    Licha ya kuwa mpira ni haramu kwa mujibu wa mafundisho ya dini yangu lkn kama mimi kama msomi sinabudi kuchambua mchezo huo. Tuanzie hapa. Yanga na simba ni timu kongwe sana Tanzania, ni timu zenye washabiki wengi na ndio timu zinazotegemewa ktk Afrika kwa ujumla. Yanga imevuma sana huko nyuma...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kumbe wachezaji wa Yanga walikuwepo uwanjani wakati Simba wanalipoifunga Tabora United 3-0?

    Nimeshangaa kujua kumbe Azizi Ki aliyekosa Penati siku Yanga inacheza na Tabora United, aliwaongoza wachezaji wenzake wa Yanga kuishuhudia Simba ikiidungua TABORA UNITED 3-0 Agosti 18 2024. Sasa kama hawakujifunza mbinu za kuifunga Tabora United toka kwa Simba, basi Yanga kufungwa kwao ni halali.
  7. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mbona hakuna update Simba Queens dhidi ya Yanga Princess?

    Nawasha TV nakuta Kuna mechi kati ya Yanga Princess na Simba Queens kwenye uwanja wa KMC. Mpaka Sasa naona tayari Simba Queens wametangulia moja bila dhidi ya Yanga Princess.
  8. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Ligi ilinoga zaidi Simba na Yanga walipoacha kushea uwanja

    Yanga toka ilipoanza kutumia uwanja wa Azam Complex ilionekana kuukubali hadi ikaanza kutamba kama vile wao ndiyo wana umiliki. Simba ikahisi uwanja kama unawakataa, ikaanza kuhaha huku na kule kutafuta pa kujisitiri. Ni hadi ilipoupata uwanja wa KMC, Simba ndiyo ikaonekana kutulia, ikichangiwa...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ukubwa au ukongwe wa Simba na Yanga ni upi?

    Sijawahi kuelewa ukubwa wa hizi timu mbili za Simba na Yanga, Hivi timu kubwa zenye miaka 90 zinashindwaje kujenga uwanja hata mdogo Tanzania yenye ardhi kubwa na gharama ndogo za ujenzi?! Au umasikini wa watanzania unatafsiriwa kwenye hizi timu pia? Huwa nasikia watu wanaziita timu kubwa au...
  10. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Manara alisema hakuna jipya wanalofanya Yanga ambalo Simba haijafanya

    Nimekutana na hii Video inasambaa huko Instagram ikimhusu aliyekuwa Msemaji wa Yanga, Haji Sunday Manara ikiwa na maneno kuwa Yanga haifanyi lolote jipya ambalo halikuwahi kufanywa na Simba! Imenishangaza hii kauli kama ni kweli Manara aliongea hivyo au imechezewa?
  11. U

    JamiiForums Tanzania Furaha ya Simba ni Gamondi kuondoka Yanga

    Kocha Muargentina Miguel Gamond, a.k.a Mzee wa "FOR ME" amesababisha tatizo la kisaikolojia Kwa Mashabiki na Viongozi wa Simba , ambao wao wanaamini mafanikio ya club yao mchawi wao ni Miguel Gamond, Mzee wa For Me. Miguel Gamond anatengenezewa Zengwe na Simba ili afukuzwe , na tegemeo lao ni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Manara tangu akiwa Simba nilikuwa ninauona unafiki wake

    Hata alipokosana na Simba na kuondoka sikushangaa hata kidogo. Nikajisemea tu kuwa hata huko Yanga anapokwenda hataweza kudumu. Manara anapenda sifa na umaarufu. Lakini kibaya zaidi ni Mnafiki sana. Hata Saikolojia inatuelekeza kuwa mtu mwenye maneno mengi mdomoni mara nyingi NI MNAFIKI...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbona Wachambuzi wa Soka la Tanzania katika Redio na Runinga sasa hawatuambii tena Timu bora kati ya Simba na Yanga ni ipi?

    Na walivyokuwa Wendawazimu na Watu wa kupewa Fedha na MSG watasema bado aliyefungwa Mechi Mbili katika Ligi Kuu ya NBC ndiyo Timu bora huku yule ambaye Kafungwa Mechi moja tu na sasa ndiyo anaongoza Ligi na huenda akaongoza hadi Ubingwa siyo Timu bora. GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely...
  14. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kenya asilimia 80 ya mijadala yao ni Siasa, Tanzania asilimia 96 ni mijadala ya Yanga na Simba.

    Kwenye Socia media za Kenya na hata vyombo vyao vya habari kama Tv na Radio station asilimia 80 ya mijadala na Mada zao ni siasa za Kenya. Asubuhi ukifungulia station zao Radio na Tv ni mada za siasa za Kenya. Tanzania asilimia 95 mada ni Yanga na Simha hizi ni mada za kutwa nzima asubuhi hadi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Sisi kama SIMBA SC, kwa umoja wetu tumekubaliana kwamba TABORA UNITED ndio wakubwa wenzetu kwenye NBC premier league.

    Kwa kitendo chao cha kumkanda utopolo kwake tena dar es salaam kwenye uwanja wa kapeti wakiwa na mashabiki wao na wachezaji wao wote muhimu, tunasemaje Tabora United mnastahili heshima ya kuitwa timu kubwa hapa Tanzania. Tukumbuke timu kubwa hapa Tanzania zilikuwa ni mbili tu: Simba SC na Ihefu...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mshabiki wa Simba waamka na Yanga, waanzisha dozi ya 'Kulamba Asali' kutwa mara tatu

    Wakuu, Mmwaona huko mashabiki wa Simba? Waazisha dozi ya kulamba ASALI kutwa mara tatu wakiendeleza masimango kwa Watani za Yanga baada ya kupiwa bao 3-1 na Tabora United hapo jana. Pia, Soma: + Rais Samia aipongeza Tabora United kwa kuifunga Yanga bao 3-1 + Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Yanga ya sasa ikikutana na Simba hii itafungwa goli hata 11

    Nimeangalia mwenendo wa Yanga inaonyesha kiwango kinazidi kushuka kwa kasi kubwa sana, hata inaposhinda unakuta inashinda kwa kupambaaaaana kama bao la mzee, kagoli kamoja. Hata game ile aliyocheza na Simba tuwe wa kweli maana ingechezeshwa na refa makini kama Aragija Simba ingeshinda kwa goli...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Simba tafuteni uwanja wenye taa Kwa mechi za katikati ya wiki

    Hata kule ulaya mechi za katikati ya wiki huwa zinachezwa usiku tofauti na za week end ili kuwapa mashabiki wengi kuburudika.Sasa nyinyi mechi za katikati ya wiki mnacheza saa kumi jioni hii mnapelekea kujipunguzia mapato na kuwanyima burudani mashabiki wengi Kutokana na muda huo kuwa...
  19. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Matawi ya Simba na Yanga kugeuka vikundi vya kufa na kuzikana, imekaa vizuri

    Aliyebuni hiki kitu,mbinguni moja kwa moja Sehemu ninayoishi kuna mashabiki wengi sana wa Simba,mashabiki wa Simba kwa pamoja wana kikundi chao kiingilio ni 5000 na michango ya 1000 kwa mwezi. Mwamba mmoja miongoni mwao alifariki na hana ndugu huku. Simba waliubeba msiba kama wao hakuna kitu...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Kibu Denis wa Simba atimiza mwaka mmoja bila kufunga goli katika ligi

    Mara ya mwisho aliwapiga goli wapinzani wetu Yanga nov 5 2023 . Soma pia: Kibu Denis wewe sio wa kuanzia benchi. Uamuzi sahihi ni kuondoka
Back
Top Bottom