simba

  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Video: Mwamba huyu hapa. Wala hajifichi kwenye mashimo. Simba hukaa sehemu za wazi siyo kama panya

    Anafurahi tu anavyogonga mbele na nyuma kwa magaidi. Amekaa tu anapiga stories na washkaji kitaa. Wanampa tano na kupiga naye stories jinsi anavyo fanya micharazo.
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Sekunde 47 za Simba na dakika 3 za Yanga, zipi nyingi?

    Kwenye mechi kati ya Mashujaa na Simba ziliongezwa dakika sita baada ya kukamilika muda wa kawaida wa dakika 90. Ndani ya dakika 6 za mchezo Mashujaa wakawa wanapoteza muda na kusababisha Mpira kuendelea na Simba kufunga goli sekunde 47 baada ya dakika 6 zilizoongezwa. Yanga wakalalamika Sana...
  3. Carasco Putin

    JamiiForums Tanzania NAHAMIA SIMBA

    Mm shabiki kindakindaki wa yanga kuanzia leo nahamia Simba rasmi wana Simba naomba mnipokee kwann leo refa hajatubeba wakati mechi zote refa huwa anatubeba Wana Simba naomba mnipokee nimeumia sana yanga kufungwa
  4. Dabil

    JamiiForums Tanzania Naanza kumwelewa kocha wa Simba (Fadlu)

    Mechi ya Simba na Mashujaa ilikuwa ngumu, lakini sub alizokuja kufanya kocha sijaelewa ilikujaje kuleta matokeo, maana galfa umiliki ukahamia kwa Simba. Najua wengi walishtuka Shabalala kutolewa halafu anaingia Nouma, Ateba alitolewa tukaanza kuwa na mashaka na Mukwala ni kama kikosi...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mashujaa 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika | 1 November, 2024

    Mashujaa VS Simba SC | NBC Premier League Uwanja wa Lake Tanganyika Tarehe 1 November, 2024
  6. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Simba itapata Sare na Mashujaa

    Habari. Sina Mda kuanza kutoa takwimu Mara kuchambua Mchezo wa Leo Ili kuthibitisha hio heading ya Uzi. Ila hizi ni hisia zangu tu..Narudia hizi ni Hisia Zangu sio kimbinu wala Nini! Simba at Draw Leo na Mashujaa. Good morning 🇵🇹
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Shabiki Mchome mapovu ni Shabiki kweli wa Simba SC au ni mwana Yanga SC aliyenunuliwa Jezi ya Simba SC ili atudhalilishe?

    Nadhani sasa ifike muda Mashabiki wa Simba SC tuanzishe Mtindo wa Kuwaadabisha hawa Wanafiki kwa Vipigo Oky?
  8. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu watu wanaoitwa Singano au Simba

    Naomba kufahamishwa kwa anae jua,...watu wenye kuitwa singano,..au simba ni kabila gani?
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nitamdharau zaidi mwana Simba SC yoyote anayejidanganya kuwa leo Mtoto atampiga Baba Bustanini Kwake Baharini

    Kama Sisi wenyewe tu (Simba SC) wale tuliokuwa tukidhani ni Watoto wetu Wapendwa wataweza Kutulegezea tukikutana nao lakini Wote wanatudindia tu huku wakitukosakosa Kutufunga na mara nyingine Marefa huwa wanatubeba tusije Kuadhirika ndiyo leo tumuombee Mtoto Mnafiki aweze Kumpiga Baba yake...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ila Yanga SC mnajua sana 'Kutukoga' wana Simba SC na hivi Mnatufunga mnavyotaka kila Derby mbona tutawakomeni

    Kuna Jezi zao kadhaa wamezichapisha zimendikwa UBAYA UBWEGE KIJILI 1:0. Yaani nimejikuta Ninacheka sana tu!!!!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania SIKUMBUKI NI LINI TIMU YOYOTE IKIFUNDISHWA NA JUMA MGUNDA ILIWAI KUMFUNGA SIMBA!

    Kocha uyu kwa miaka yote aliyokaa coastal union ajawai kupata ata sare mbele ya Simba, lakini akikutana na timu nyingine unaona anapata matokeo! Uyu jamaa uwa ni mwanachama mwaminifu wa Simba anawasaidia sana kupata point kwenye timu yoyote anayoifundisha, aiwezekani Kila mechi ukose mbinu...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Video ikiwaonesha Ulaya wakishangilia goli la Yanga dhidi ya Simba

    Wakuu huko mtandaoni nimekutana na hii video imenipa utata, je ni kweli hawa wazungu walikuwa wanashangilia goli la yanga dhidi ya simba? Msaada tafadhali katika kupata uhalisia wa video hii wakuu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Tunaujua Ubora wa Kocha wa Simba

    Alishinda mechi moja kati ya 15, Maritzburg ikashuka daraja, baada ya hapo akawa Msaidizi hadi kaja kuibukia huku, sisi tunajua quality yake ni ndogo, huwezi kumlinganisha na Gamondi ni ndogo mno. Mimi ningepewa ile Pamba nikae nayo wiki moja tu, nawafunga wale"
  14. kasanga70

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba Sports Club kuhamia ligi ya Zanzibar mwakani: Move imeanza

    Za ndani saana, utaribu wa mageuzi makubwa ya kimpira utaanza baada ya dirisha dogo January. Club kubwa barani afrika inameanza hatua mahsusi za kuweka base kubwa ya kimpira visiwani Zanzibar. Kandarasi hii na maamuzi haya yanakuja baada ya kubaini kuwa kuna wahuni wanaharibu mpira bara na...
  15. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Press ya Wazee wa Simba Imeniumiza sana kama Taifa tuna safari ndefu

    Habari kiukweli tuna safari ndefu kama Taifa. Juzijuzi yameitishwa Maandamano hakuna alietokeo Maandamano ambayo Lengo kubwa lilikua ustawi wa watu ambao ni Watanzania. Leo hii Team imefungwa imeitisha press na inatoa Tamko😂😂 wakaongeza Kuna watu walikua wamekasirika wanataka kuandamana kisa...
  16. redio

    JamiiForums Tanzania Wana Simba msiwe wepesi wa kusahau

    Kuna video inayo tembea mitandaoni ikimuonyesha msemaji wa Simba akihojiwa na wanahabari. Akiwa anajibu maswali juu ya malalamiko katika michezo iliyopita ya Simba dhidi ya Azam na Dodoma JiJi juu ya uamuzi mbovu wa marefa uliopelekea wao Simba kunufaika alisema Pale Tff Kuna Sanduku la maoni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma Jiji na Azam walinyimwa haki na marefa, leo Simba wanalia dhulma waliofurahia!

    Ile penalti waliyopata Simba kule Dodoma haikuwa halali, lakini mwamuzi aliwapa faida kwa kuwapa pointi 3. Timu ya Dodoma ililalamika, na kocha wao, Mexime, alionyesha kutoridhika. Lakini msemaji wa klabu aliwaambia waende TFF kama wana malalamiko zaidi! Mechi dhidi ya Azam kule Zanzibar nayo...
  18. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba mlifanyie hili kazi

    Picha hii inaonyesha tangazo kuhusu kifo cha Majidi Mpemba, ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi la klabu ya Simba. Inaelezwa kuwa amefariki tarehe 19 Oktoba 2024 kutokana na msongo wa mawazo (presha) baada ya tukio la Yanga kupewa goli batili na Simba kunyimwa penalti mbili wazi na za halali...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Man city leo kafunga kama la Simba, mbona limekubaliwa?

    Inabidi tujiulize kidogo, mbona goli hili limekubaliwa? Kwanini la Simba jana limekataliwa? Nb: mimi ni yanga
Back
Top Bottom