simba

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naishauri Simba kukata rufaa kupinga uamuzi wa kupigwa faini ya milioni 5, uonevu ufike mwisho sasa

    Taarifa inasema Pamba imepigwa faini milioni 5 kwa kufanya vurugu, kwa kosa la maafisa wake kuingilia mazoezi ya klabu ya Simba siku moja kabla ya tarehe ya mchezo tajwa hapo juu katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza. Taarifa inasema pia walinzi wa Simba walisababisha vurugu pia kwa walinzi wake...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba yapigwa faini ya TSh 5 milioni kwa kufanya vurugu Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza

    Klabu ya Simba imetozwa faini ya Sh. 5,000,000 (milioni tano), kwa kosa la walinzi wake kufanya vurugu na kuvuja mlango na kioo cha dirisha la ofisi ya meneja msaidizi wa uwanja wa CCM Kirumba, wakilazimisha wa maofisa Pamba na wa Uwanja waliokuwa ndani ya ofisi hiyo kutoka nje wakati timu ya...
  3. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Yanga ilikosa Ubingwa wa Ligi Kuu mwaka 1988 ili tu amsaidie Simba isishuke daraja!

    Dar es Salaam, 1988 ▶️Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Joseph Sinde Warioba akimkabidhi tuzo ya Mchezaji bora chipukizi Ligi Kuu mwaka 1988, kiungo wa Yanga, Athumani Abdallah China. ▶️Katika msimu huo, Coastal Union ya Tanga iliibuka bingwa baada ya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Israel walivyomuua Hassan Nasrallah, simba aliyeisuka Hezbollah kwa miaka 30

    Ijumaa ya tarehe 27 September 2024, katikati ya makao makuu ya Hezbollah yaliyopo kwenye mtaa uitwao Danieh kwenye viunga vya jiji la Beirut nchini Lebanon: Kikao cha kimkakati kilikuwa kikiendelea katika chumba kilicho ardhini kwenye handaki mahali hapo. Chumba hiki kilikuwa chini umbali wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni bora Vijana Watanzania tungepigania Maslahi ya nchi yetu sababu huko kwenye kushabikia mpira muda wote hatujapa tija ya kutosha kwenye maisha yetu

    Licha ya sisi vijana kushabikia Simba na Yanga muda wowote bado hutujafanikiwa kutambulika kimataifa kama nchi ya Nigeria na nchi zingine za Afrika Magharibi na Kaskazini wanaofanya vizuri kwenye Soccer na pia hata kwenye kupigania mustakabali wa maisha yao hawapo nyuma. Bora hata jirani zetu...
  6. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Deborah Fernandez ni mchezaji wa kawaida Sanaa, Simba Bado timu haijakaa vizuri tunajipa moyo tu

    Kwanza kabla ya yote namshukuru Mungu Huwa nikileta mada hapa jamii sports, kwa mara ya kwanza watu Huwa wanaichukulia tofauti ila baada ya mda ukweli unadhibitika!!. fuatilia mada zangu za humu jamii sports utanielewa. Sasa twendeni sambamba kwenye mada husika kama kichwa Cha habari hapo juu...
  7. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Simba ina makipa sita(6) wote hao wa kazi gani?

    Camara Aishi Manula Ayubu Lakred Husein Abel Ally Feruz Ally Salim katoro Hii huenda ikawa rekodi ya aina yake,kwa nini wasibaki wanne tu mkasajili wachezaji wa ndani
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Raha ya ushindi wa Simba dhidi ya Bravos, mashabiki waingia mtaani usiku Pemba kusherekea

    Ushindi wa soka raha, hawa ni mashabiki wa Timu ya Simba, wakisheherekea ushindi wa timu yao dhidi ya Bravos do Maquis ya Angola, jana jioni (Novemba 27, 2024). Sherehe hizo zimefanyika katika Mitaa ya Machomanne, Wilaya ya Chake Chake, Pemba. Katika mchezo huo, goli pekee la Jean Charles...
  9. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Kwa moto huu wa FC Constantine, Simba wajiandae kugongwa nyingi sana

    I salute you kinsmen Hawa Waarabu hapa wamewasha moto wa hatari sana kiasi kwamba naogopa team ya simba itaenda kutia aibu kubwa sana taifa siku zijazo maana wapo kundi moja. Kutokana na tia maji tia maji ya Simba kama walivyocheza leo basi taifa linakwenda kupata aibu kubwa kuwahi kutokea week...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kama Kocha Fahdu analipwa mamilioni kwa mpira huu basi viongozi wa Simba mjitafakari sana

    Sijaona uwezo wa kocha kabisa na kunifanya niamini kweli Simba inae kocha, tulicheza na Pamba tukashambuliwa hivi hivi Kama sio uhodari wa kipa Camara Leo Bravos alikuwa anatudhalilisha. Kwanza Fahdu hajui kupanga kikosi kabisa zaidi ya kubahatisha, pili timu inacheza kwa kiwango cha chini mno...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Bravos Wavuruga Mazoezi ya Simba kabla ya mechi, wakitaka kutikisa Nyavu

    Ubaya Ubwela kama unamgeukia Mnyama huko Lupaso Mechi haijaanza ila Wachezaji wa BRAVOS wakawa wanalazimisha kwenda kutingisha nyavu za lango la Simba, imebidi Stewards waingie pia kuwatoa maana walienda kuingilia hadi program ya Makipa wa Simba waliyokuwa wanaifanya chini ya Kocha wa Makipa.
  12. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Simba akili kubwa, kwa makusudi hawajapromote mechi ya leo ili watu waende wakapige kura

    Kura yako ni muhimi kuliko kelele zako uwanjani. Kura yako ni muhimu kukiko 3000 yako ya kiingilio Kurayako ni muhimu hata tukifungwa bado kuna mechi tano Kapige kura,mpira utaangaliabaada ya kupiga kura Kama uongozi ungeamua kuipromote mechi uwanja ungejaa ,watu wanaipenda Simba kuliko hao...
  13. uran

    JamiiForums Tanzania Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

    Match Day Simba SC vs Bravos do Maquis FC Time 1600hrs Kikosi Cha Simba Kinachoanza. #Nguvumoja Updates... 1' Mpira umeanza kwa kasi, Simba wanamiliki mpira wanapeleka shambulizi ndogo kwa Bravos. 3' Game on 0-0 7' Simba wanafanya shambulizi kwa Bravos halifanikiwi. Wanashindwa kudhibiti...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Simba chukueni tahadhari mapema ili kesho isiwe kama leo walivyofanywa Yanga

    Kwa vyovyote vile kesho yanga watataka simba afungwe ili tuwe sawa, naomba uwanja ukasafishwe na takataka zote zikatolewe uwanjani ili kesho Ateba Mbida ateleze tu Wanasimba kesho mapema tu uwanjani
  15. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Huyu Chama SImba walitubadilishia nini? kuna kitu Yanga hakipo sawa

    inawezekana kuna vitu hatufanyi au vinatuzuia kuwa Yanga ile moto moto. Huyu Chama tulimchukua kwa ajili ya nini? miaka yote tulikuwa tunasema Chama ni konokono tukaja msajili, huyu Baleke Simba waliachana naye pia hawakuona msaada kwake. tukaenda mchukua kama tulivyofanya kwa Okra. Nani...
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Simba kwenye mchezo wa Shirikisho bado hawajafika nchini

    Kupitia Wasafi Fm, wanaripoti kuwa wapinzani wa Simba katika mchezo wa kesho Bravo bado hawajafika nchini. Kitaalam walipaswa wafike jana mapema na kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa ili wauzoee uwanja. Sasa mpaka muda huu bado hawajawasili. Inasemekana wanaweza kuwasili saa 9:00...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wale Matajiri wenye Kisimbuzi cha Kitajiri cha Dstv hizi Mechi za CAFCL ilipo Yanga na ile ya CAFCC iliyopo Simba tunazitizama katika Channels gani?

    Tafadhali kama unajijua unamiliki Visimbuzi vya Kimasikini cha Njia Panda Bamaga usithubutu kuja hapa Kuchangia.
  18. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Simba ndiyo club iliyokomaa zaidi kimpira Tanzania

  19. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Tunaomba serikali iliangalie jengo la Simba hapo msimbazi

    Hili jengo limechoka sana na nashangaa serikali imekaa kimya kwasababu tumetoka kupata majanga wiki iliyopita nilitegemea Ili jengo lingebomolewa maana limechoka. Ndugu zangu siku ya Leo nikiwa katika pita pita zangu nimelishuhudia likidondosha mchanga na Lina nyufa kwenye baadhi ya Kuta...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Simba yamtangaza Zubeda Sakuru kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa klabu

    Tunapenda kuutarifu umma kuwa Klabu ya Simba, imefikia makubaliano ya kusitisha mkataba na Ndugu Francois Regis, ambaye alikuwa ni Mtendaji Mkuu kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu. Tunamshukuru Mr. Regis kwa kipindi alichohudumu katika Klabu yetu. Bodi imefanya uteuzi wa Bi. Zubeda...
Back
Top Bottom