simba

  1. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Yanga vs Simba 8.03.2025

    Mechi hii itaisha kwa Simba kupata Ushindi wa Goli Moja au kutoa Droo ya Goli 1 - 1.
  2. Sheikh23

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa Simba SC kuelekea derby tar 8 March 2025

    Wakuu Assalam Alleikhum. Binafsi nipende kutoa angalizo juu ya upangaji wa kikosi kwa Coach Fadlu na benchi lake la ufundi kuelekea derby jumamosi. Kama kocha Fadlu anataka matokeo,wachezaji wafuatao wasianze kikosi cha kwanza: 1. Ngoma 2. Chamou 3. Mukwala 4.Mpanzu 5.Kapombe Kwa Ubora wa...
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Ahmed Ali kusema " Adui namba Moja wa Simba ni Yanga, wa pili ni Singida" yamtia matatani

    Ahmed Ali alitamka kwamba adui wa Simba ni Yanga na wa pili Singida Kauli hii ni uchonganishi na inazua uhasama usio wa laZima Yanga na Simba wana upinzani na wala sio uhasama Upinzani wao ni Wa kimichezo Ahmed Ali anataka Yanga asiwe na mpinzani wa Simba wakati wako ligi 1 na wanagombea...
  4. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kwanini iitwe Kariakoo Derby wakati ni timu ya Simba SC pekee iliyo Kariakoo?

    Mada zangu zina kawaida ya kuwa mbele ya muda. Ukija kibishibishi muda utakuumbua. Kuna siku nilihoji uhalali wa kusema ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora Africa, wengi wakanibishia bila chanzo cha kuaminika cha hiyo ranking. Matokeo yake sasa hivi, kila mtu, kuanzia mashabiki, wachambuzi hadi...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kuchungwa kuelekea Derby ya Kariakoo, Yanga Vs Simba

    Derby ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba ni moja ya mechi kubwa zaidi nchini, ikijaa ushindani ndani ya uwanja na tambo kutoka kwa mashabiki wa timu hizo mbili za mtaa wa Kariakoo. Hapa ni nyota wa kutazama kwenye derby hii. Kibu Denis Tangu ajiunge na Simba, Kibu amekuwa mwiba hasa kwenye...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari za michezo hawaipendi Simba

    Zama zile wakati Yanga wanaishia kwenye hatua ya makundi mashindano ya CAF, waandishi wa habari za michezo Tanzania waliipachika Yanga jina la "wa kimataifa". Leo Simba imeingia robo fainali nne za mashindano ya CAF na kusababisha Tanzania kuongezewa timu mbili kwenye mashindano ya CAF, huoni...
  7. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba ianze kutumia zaidi jezi nyeupe maana bado hazijachafuliwa

    Kuna kitu nimekiona msimu huu katika performance ya mchezaji mmoja mmoja wa Simba kimenifikirisha sana. Katika michezo miwili ya msimu huu ambayo naikumbuka mpaka sasa Simba wakivaa jezi nyeupe, huu mchezo wa leo dhidi ya Coastal Union na ule wa Costantine kule Algeria, performance ya mchezaji...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Simba hamjawahi toka salama siku ya wanawake kaangalien history..Ahmed ally anawapotosha

    Niwakumbushe tu Wana Simba zimebki siku 7 NENDEN kafwatolein hamjawahi toka salama siku ya wanawake DUNIAN Na hii nowajuza ili siku mkiona hii tar geuzeni njia mtaliaaa Hii siku MSISHANGAE 4-6. Zonawanyeshea Nawatakia kila la kheri
  9. Saint Ivuga

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Simba SC is a Tanzanian football club based in Dar es Salaam. Their home games are played at two stadiums Uhuru Stadium and National Stadium. Simba SC is one of two biggest football clubs in Tanzania, their archrivals being the Young Africans. The club had several names during its history, when...
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba ikifungwa na Yanga tarehe 8/03 nipigwe ban ya mwaka mmoja

    Wakuu, huu ni mwaka wa ubaya ubwela. Pamoja na kwamba kuna vitu vinanitia wasiwasi kuhusu Simba hasa kwa performance ya hivi karibuni ila naamini huu ni mwaka wa mafanikio makubwa kwa Simba kuanzia kuchukua NBC hadi CAFCC. Kwa hiyo nawapa Mods mamlaka ya kunipiga ban ya mwaka mzima iwapo...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mchawi wa Simba ni Mashabiki na Wachambuzi uchwara

    Msimu uliopita mashabiki wa Simba walikuwa smart, waligundua tatizo la timu Yao kuwa ni viongozi Kwa kusajili magalasa akina Jobe, Onana, Saido, Sarr na Magalasa mengine Walishinikiza uongozi kuingia sokoni na kumshawishi arudi na kuwekeza Cha kushangaza viongozi Matapeli waliendelea...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Video inayomuonesha simba mashuhuri alieitwa scarface katika nyakati za mwisho wa maisha yake

    Katika documentation ya maisha yake, inasemaakana huyu simba aliua fisi karibia 400 na Madume wa simba 130. Alijulikana kwa ujasiri wake na nguvu kubwa ya kupigania ngome yake kwa muda mrefu sana iliopelekea kuwa na kovi usoni mwake hadi kupachikwa jina scarface. Alivutia sana watalii pale...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba yaifuata Coastal Union Arusha bila Camara na Che Malone

    Kikosi cha Simba kimeondoka jijini Dar es Salaam leo asubuhi kuelekea jijini Arusha kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union utakaopigwa keshokutwa Jumapili kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Simba yenye pointi 51 inahitaji ushindi katika mchezo huo ili kuendelea kuipa upinzani...
  14. kilwakivinje

    JamiiForums Tanzania tukikosa ubingwa tutasingizia jiesiem

    Simba tukikosa ubingwa viongozi Wana kichaka Cha kujificha. Na tulivyo mapanganga viongozi watatuaminisha huu ujinga nasi tutaamini. Kuna namna viongozi wetu wanatudharau sana na kutuona hamnazo. Ifike muda watuachie timu yetu
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Na hapa ndipo Uongozi wa Simba SC mnaponikera na Kuamua kuwaacha mpotee, sasa huyu Striker Jonathan Sowah wa nini Simba SC Kwetu?

    Hivi angekuwa mzuri hivyo angekuja Tanzania ambapo tunajua Ligi Kuu yetu ni full Mix by Yass, Mpesa na Airtel Money?
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa kwenye benchi la ufundi la Simba SC ningependekeza kikosi hiki hasa kwenye mechi dhidi ya Yanga

    Hello! Simba kama timu kubwa Africa ni lazima uchukuaji wake wa vikombe hasa vya ligi kuu viwe ni lazima angalau isipite miaka 3 bila kunyenyua ndoo. Lakini kwa trend hii ya kudondosha point kwenye mechi muhimu, suala la vikombe kwenda msimbazi linaweza kusubiliwa sana. Mechi kati ya Simba na...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Maana yake ni nini: Nimepita klm 300 Matawi ya Simba na Yanga Barabarani ni Mengi kuliko ya CCM na CHADEMA.

    Nimesafiri kuvuka mikoa mitatu na Wilaya zaidi ya 5 kanda ya ziwa. Nilikuwa nimekaa mbele nikitathmini hali ya kisiasa na kiburudani njiani. Nilichogundua mawe ya msingi ya kuonyesha uwepo wa matawi ya Simba au Yanga ni mengi kuliko Ya Vyama vya siasa. Najiuliza Watu wamehamia kwenye burudani...
  18. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Simba wasitafute mchawi ...mchawi wa simba namba1 ni Ahmed Ally...siku huyu jamaa atakapofukuzwa kazi simba itarudi kwenye ubora wake

    Kosa kubwa la Ahmed Ally ni ubinafsi na kulinda kibarua chake kuliko kupigania ubora wa timu...anatumia nguvu nyingi sana kushindana na kina Ally Kamwe na na akina Hashim Ibwe ili aonekane kama yeye ndo semaji namba1 wa mpira hapa nchini.Simba inahitaji wachezaii wake waambiwe ukweli kwasababu...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Fei Toto alivyotinga uzi wa Simba aliyobadilishana na Shomari Kapombe baada ya mechi

    Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum maarufu Fei Toto akiwa amevaa jezi ya Simba aliyobadilishana na Shomari Kapombe baada ya kumalizika kwa mechi ya Ligi Kuu Bara kwa sare ya mabao 2-2 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Simba fanyeni maboresho ya kikosi vinginevyo tarehe 08 Machi 2025 tunakwenda kumpa ubingwa Tena Yanga

    Jana kwa namna nilivyouangalia mpira, timu yetu katikati ilikuwa inakatika sana, kama wangekuwepo wale sungura huku Pacome, kule Max, kule Aziz, cjui Mzize au Dube Leo wengine tusingeamka majumbani kwetu na tungebakia mavyumbani kusikiliza nyimbo za Amapiano TU, kiukweli Azam walitukosa sana...
Back
Top Bottom