simba

  1. A

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ziache ubinafsi kwa maslahi ya taifa

    Ndugu wana JF, Kwanza nikiri kuwa mimi ni shabiki wa Simba Sports Club Miaka 33 sasa. Juzi nilikuwa Igurusi mkoani Mbeya kuna sehemu nilikuwa napata chakula. Eneo nililokuwepo nilikutana na wanachama na mashabiki wengi sana wa Simba sports club wakiwa wamevalia jezi za Simba huku wakiwa na...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Simba itapeleka timu Uwanjani tayari kwa mechi na Yanga

    (Kila kinachosikika ni lazima kiletwe humu); Kutoka chanzo muhimu, inasemekana kuwa licha ya barua Yao ya kutoshiriki derby ya Leo, kikosi Cha Simba kitapelekwa uwanjani kama kawaida tayari kwa mechi. Kwa mujibu wa chanzo hiki, Kilichofanyika usiku wa Leo ni milolongo ya hatua za kuwatoa...
  3. Stroke

    JamiiForums Tanzania Simba wasicheze mechi leo, kufanya hivyo itakuwa kubariki vitendo vya Yanga

    Yanga kuwazuia Simba kufanya mazoezi sio kitendo cha kimichezo kabisa. Simba wasiende uwanjani leo, wakifanya hivyo ni kubariki huo uovu. Yanga watarudia tena na tena. Simba wakubali adhabu yeyote itayotolewa na TFF na waende CAS kuipinga. Ila mechi ya leo wasicheze kabisa.
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Picha: Sababu za kiroho kwa nini Simba wanaogopa kupeleka timu uwanjani

    " Wajomba zangu nisiwafiche, Kwa Yanga hii Simba hamchomoki"
  5. M

    JamiiForums Tanzania Simba barua yenu ya kugomea mechi ina mkanganyiko mkubwa,,mjitafakari kabla hayajawakuta

    Barua hii iliyoandikwa na Simba Ina mkanganyiko sana sijui wamekurupuka ama vipi,,nimeisoma vizuri mstari baada ya mstari na nimeona wamejichanganya pakubwa! Kwanza nukuu ya kwanza hii hapa;- 1) Nukuu''katika sintofahamu iyo Simba iriarifiwa na meneja wa uwanja kuwa hana maelekezo ya kamishna...
  6. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Barua ya bodi ya ligi kuwaambia Simba mchezo upo kama kawaida, Kariakoo Derby Machi 8, 2025

    kuna ukweli juu ya hii taarifa au uzushi tu
  7. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Hii Derby haina kipengele labda kipengele uje nacho wewe. Simba wameamua kuja na kipengele chao

    Vibaby boy, last born, drama queens, leo vimethibitisha rasmi hawa watoto wanapenda sana kuonewa huruma na kutafuta sababu tu ili mradi watu wawaonee huruma. Unasusia derby ili iweje wewe? Kwamba wiki nzima hukujiandaa na mechi kisa mazoezi ya siku ya mwisho ndio ususe mechi. Nawaonea huruma...
  8. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Simba wamekimbia mechi, hakuna mtu wa Yanga aliwazuia kuingia uwanjani

    Huu ndio ukweli ambao utamuweka kila mtanzania huru. Hakuna kiongozi yoyote wa Yanga aliyezuia Simba kuingia uwanjani. Simba walifika nje ya uwanja wakiwa na mabasi yao mawili moja lina wachezaji na technical bench. Na bus lingiine likiwa na wazee pamoja na wanyama kama mbuzi, kondoo na kuku...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kiemba: Wakati nipo simba mganga wa derby alikua Nakisha

    “Miaka ya nyuma siku kama ya leo kwa upande wetu sisi Simba usingizi unakuwa wa tofauti na muda mwingine mnaweza msilale kwa sababu mganga wa mwisho alikuwa anaondoka saa 9 usiku”-Amri Kiemba
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi

    Wakuu Ubaya Ubwela umewageukia! Kwa mjibu wa Watangazaji wa EFm Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi Tazama video hii ya tukio husika Mwendelezo: Kikosi cha Simba, kimeondoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kurejea kambini baada ya...
  11. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Leo ndio ile siku members humu wanagombea kuanzisha uzi wa Simba Vs Yanga

    Ikifika saa sita usiku kutakuwa nyuzi zisizopungua 3 za Simba na Yanga. Huwa inashangaza sana🤣 Hebu mtag anayefaa kuanzisha uzi huo ili wengine wapumzike tuu
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GSM ameahidi bonasi ya TSh. milioni 500 endapo Yanga itashinda dhidi ya Simba

    Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika zinaeleza kuwa mfadhili wa klabu ya Young Africans, GSM, ameahidi bonasi ya shilingi milioni 500 endapo timu hiyo itashinda dhidi ya Simba katika mechi inayotarajiwa kuchezwa Jumamosi.
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji aahidi TSh. milioni 785 endapo Simba wataifunga Yanga

    Inaelezwa Mfadhili wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji, yupo tayari kutoa kiasi cha dola 300,000 za Kimarekani (sawa na shilingi milioni 785 za Kitanzania) endapo timu hiyo itaibuka na ushindi dhidi ya Yanga. Taarifa kutoka kwa vyanzo vya kuaminika zinadai kuwa ahadi hiyo inalenga kuwahamasisha...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Uduni wa akili ya Mwafrika: Kuna viongozi wa matawi ya Simba & Yanga nchi nzima wanachangisha hela eti ' kucheza mechi'

    Kucheza mechi maana yake ni kumpa mganga hela aroge mechi timu yako ishinde. Watu walivyo kuwa na akili duni wanatoa kabisa hela zao yani. Waache kuroga mechi wachezaji ambao Simba na Yanga zinawalipa mamilioni uende ukaroge wewe ambae hupati chochote kutoka timu hizo? Hiyo ni akili ama...
  15. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya Musa. Mashabiki wa Yanga wakana kuwa Simba siyo Makolo

    Wanasema tii sheria bila shuruti. Kutokana na tuhuma zinazomkabili msemaji wa Yanga Ali Kamwe, mashabiki wengi wa Yanga wamejitokeza kumtetea huku utetezi mkubwa ukiwa eti hakuna timu ligi kuu inayoitwa Kolo au Makolo. Tukumbuke Simba imeimbwa hadi katika nyimbo za Yanga kama Kolo au Makolo...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Yanga wakisikia Ateba na Mukwala wanapata kiwewe kuelekea Machi 08

    Mastaa wawili kwenye eneo la ushambuliaji ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu,Fadlu Davids ngoma ni nzito kutokana na kuliamsha dude kwenye eneo la ufungaji katika mechi ambazo wamechza. Ni Machi 8 2025 Uwanja wa Mkapa unatarajiwa kuwa kazini kwa wababe wawili Yanga na Simba...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Game ya Tarehe 8 March, Simba ina Pressure zaidi kuliko Yanga

    Sababu ni moja tu : Wamefungwa mara nne(4) mfululizo na katika hizo kuna moja kapigwa goli 5. Hivyo hii game inayokuja Simba wameipania kupita kiasi maana ikitokea wakafungwa tena ITAKUWA NI AIBU NA FEDHEHA KUBWA ZAIDI na pale makao makuu ya Simba hakutakalika. Kwa upande wa Yanga wao hawana...
  18. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Wakala wa Mpanzu acha kutumika, Kibu Dennis Simba imekulea acha hayo mambo

    Huyu wakala aache kusumbua eti kufikia ijumaa saa 10 installment yapili iwe imefanyika, kwanini ijumaa? Nani kamwambia kuwa hatalipwa? Aache uswahili. Na wewe rasta hutaki kwenda mazoezini kisa bonus uchwara, wanaokwenda wao hawana akili au tulikosea kukudhamini uraia? Hebu ukue basi.
  19. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Mimi sio mtabiri lakini niwahakikishieni simba atafungwa goli kuanzia mbili.....

    Uzi tayari........
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC niwaambieni mara ngapi kuwa mkiwa mnajiandaa na Mechi na Yanga SC ficheni Kambi yenu na msiwe huko Bunju / Mbweni kimazoezi?

    Yaani kuna muda huwa mnanikera sana na natamani hata nibebe tu Grenade nije niwarushie mpukutike kabisa duniani.
Back
Top Bottom