simba

  1. Soul21

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga na Simba ni tukio la Kisiasa mpaka kuhairishwa kwake.

    Leo ikiwa siku ya wanawake duniani Rais atakuwepo Arusha hivyo taifa linapaswa kumsikia. Hivyo nahisi kwa sense yangu ya Sita ambayo ni "intuition" Hivyo tukio lilipangwa kimkakati kabisa.
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Video: Hali ilivyo uwanja wa Mkapa kuelekea mechi ya Yanga na Simba, mashabiki wanasuasua kuingia uwanjani

    Hali ilivyo nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya mchezo wa Yanga na Simba ni tofauti na matarajio ama ilivyo zoeleka. Pia soma: Breaking News: Bodi ya Ligi yahairisha Mechi ya Derby
  3. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Simba SC ni kubwa kuliko Bodi ya ligi kuu na TFF

    Viongozi wa simba wakikaa wakaamua jambo basi TFF na Bodi ya ligi kuu watatii Mechi ya Pamba na simba, mabaunsa wa simba walifanya fujo huko mwanza wakavunja madirisha na kuwafungia viongozi wa pamba jiji ofisini kwao mechi hsikuahirishwa TFF ikawachekea , leo hii wao wenyewe bodi ya ligi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kama mechi ya Yanga na Simba haitakuwepo kama ilivyopangwa. Je waliolipa fedha zao kuangalia mechi hii watarudishiwa fedha zao?

    Kuna taarifa zinazozunguka kwenye mitandao kuwa mechi kati ya Yanga na Simba haitakuwepo kwa sababu Simba wamesusia mechi hii kwa sababu wananazozijua wao wenyewe. Swali langu. Kama mechi haitakuwepo. Je wale waliolipa fedha zao kwa ajili ya kuangalia mechi hii, watarudishiwa fedha zao?.
  5. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba mmeshindwa na hamtaki kukubali kuwa mmeshindwa...simple!!

    Kanuni IPO wazi kabisa, wanaohusika watawajibishwa, HII YA KUSUSIA MCHEZO hapana sijaiona kwenye hizo kanuni Tuseme labda ni UOGA??, inawezekana na pia ni njia ya viongozi kujikingia kifua, isionekane kuwa wamefeli kwa mara nyingine, wanataka kuvuta vuta kamda ( hii game Simba ilitakiwa ashinde...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna kanuni inayoibeba Simba kugomea Mechi

    Tukiachana na Ushabiki pale hakuna Kanuni inayotubeba Simba ya kutofika uwanjani, hiyo kanuni hatuna ndio maana kwenye taarifa ya Klabu hakuna nukuu ya kifungu cha kugomea mechi ila kwenye Kanuni kuna kifungu cha adhabu ya timu ambayo inagomea mechi kutokana na makosa ya Kikanuni😀! Ukitaka...
  7. Sexer

    JamiiForums Tanzania Hili la Simba Sc kujifanyia vurugu ili wasifanye mazoezi kukwepa goli nane, TFF wasiliache lipite hivihivi

    Haya maigizo wanayofanya Simba sc sio ya kufumbiwa macho kabisa na mamlaka, zichukuliwe hatua kali kwa viongozi wa Simba, Meneja wa uwanja ambaye pia ni mwanasimba pamoja na kamishna wa mchezo (mwanasimba) kwa kula njama ya kuzuia Simba sc isiingie uwanjani Taifa kufanya mazoezi ili wapate...
  8. hydroxo

    JamiiForums Tanzania Simba chagueni uwanja mnaoutaka Yanga tuwafuate.

    Kama hawa ndugu zetu wanaoamini ushirikina kwenye zama hizi wamegoma kucheza nashauri wachague uwanja wanaoutaka kwa mazingira wanayoyataka wao. Sisi Yanga tupo tayari kuwafuata kokote kule mtakapopachagua. Iwe bunju,msimbazi juu ya ghorofa au kule tandahimba mlipokusanya wazee wenu mliotaka...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Yanga, yasema mchezo dhidi ya Simba upo palepale hakuna mabadiliko yoyote

    Yanga yasema mechi dhidi ya Simba ipo TAARIFA KWA UMMA MACHI 08, 2025 Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu Umma kuwa, mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC, uliopangwa kuchezwa leo tarehe 8/3/2025, dhidi ya Simba SC, saa 1:15 usiku upo palepale na hakuna mabadiliko yoyote. Young...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa kisheria; Mchezo wa Simba dhidi ya Yanga Umefutika kuchezwa kwa mujibu wa kikanuni

    Iko hivi kwa mujibu wa kanuni za mpira TFF Mwenye mamlaka ya kufuta mchezo ni Meneja wa uwanja pamoja meneja wa mchezo kanuni zinaeleza. Mnamo tarehe 7 jioni hawa wote hawakuwa na taarifa kuhusu ujio wa wageni SIMBA katika uwanja kwa ajili ya mazoezi kama kanuni hii inavyosomeka Timu ngeni...
  11. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Kamishina wa mchezo na Meneja wa uwanja hawafahamu kanuni? au walishindwa vipi kuwasiliana ili Simba wafanye mazoezi?? Kuna kitu hakipo sawa.

    Kuna mambo hayahitaji elimu ya juu kujua kwamba Kuna mambo ya ajabu ajabu yanafanyika kwenye mpira wetu. Hivi hata kama Meneja wa uwanja hana taarifa kutoka kwa kamishina wa mchezo kwa uzoefu wake wa uendeshaji wa uwanja anajua kabisa ni lazima timu ngeni itakuja kufanya mazoezi. Kwa busara tu...
  12. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Haya ya Simba niliyatarajia toka jana kupitia Ahmed Ally

    Wakati wa pre-match press conference, na kwa wale wataalamu wa saikolojia mtakubaliana nami kwamba Msemaji wa Simba na semaji la CAF Bwana Ahmed Ally alionesha ishara zote za Leo timu yake kutokuingia uwanjani. Hii ni baada ya kua na muonekano usio changamfu, na hata baada ya kuulizwa swali na...
  13. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Simba ina haki ya kusikilizwa lakini sio kususa mchezo

    Yaani mmekuwa na muda wa takribani wiki moja ya kufanya mazoezi na maandalizi yenu yote, mmetumia gharama kubwa sana halafu mnasusa mechi kisa kunyimwa kufanya mazoezi usiku? Simba mpo sahihi kusikilizwa, lakini si haileti tija kususa mchezo. Kususa mchezo ni sawa na kujichukulia sheria...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ziache ubinafsi kwa maslahi ya taifa

    Ndugu wana JF, Kwanza nikiri kuwa mimi ni shabiki wa Simba Sports Club Miaka 33 sasa. Juzi nilikuwa Igurusi mkoani Mbeya kuna sehemu nilikuwa napata chakula. Eneo nililokuwepo nilikutana na wanachama na mashabiki wengi sana wa Simba sports club wakiwa wamevalia jezi za Simba huku wakiwa na...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Simba itapeleka timu Uwanjani tayari kwa mechi na Yanga

    (Kila kinachosikika ni lazima kiletwe humu); Kutoka chanzo muhimu, inasemekana kuwa licha ya barua Yao ya kutoshiriki derby ya Leo, kikosi Cha Simba kitapelekwa uwanjani kama kawaida tayari kwa mechi. Kwa mujibu wa chanzo hiki, Kilichofanyika usiku wa Leo ni milolongo ya hatua za kuwatoa...
  16. Stroke

    JamiiForums Tanzania Simba wasicheze mechi leo, kufanya hivyo itakuwa kubariki vitendo vya Yanga

    Yanga kuwazuia Simba kufanya mazoezi sio kitendo cha kimichezo kabisa. Simba wasiende uwanjani leo, wakifanya hivyo ni kubariki huo uovu. Yanga watarudia tena na tena. Simba wakubali adhabu yeyote itayotolewa na TFF na waende CAS kuipinga. Ila mechi ya leo wasicheze kabisa.
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Picha: Sababu za kiroho kwa nini Simba wanaogopa kupeleka timu uwanjani

    " Wajomba zangu nisiwafiche, Kwa Yanga hii Simba hamchomoki"
  18. M

    JamiiForums Tanzania Simba barua yenu ya kugomea mechi ina mkanganyiko mkubwa,,mjitafakari kabla hayajawakuta

    Barua hii iliyoandikwa na Simba Ina mkanganyiko sana sijui wamekurupuka ama vipi,,nimeisoma vizuri mstari baada ya mstari na nimeona wamejichanganya pakubwa! Kwanza nukuu ya kwanza hii hapa;- 1) Nukuu''katika sintofahamu iyo Simba iriarifiwa na meneja wa uwanja kuwa hana maelekezo ya kamishna...
  19. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Barua ya bodi ya ligi kuwaambia Simba mchezo upo kama kawaida, Kariakoo Derby Machi 8, 2025

    kuna ukweli juu ya hii taarifa au uzushi tu
  20. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Hii Derby haina kipengele labda kipengele uje nacho wewe. Simba wameamua kuja na kipengele chao

    Vibaby boy, last born, drama queens, leo vimethibitisha rasmi hawa watoto wanapenda sana kuonewa huruma na kutafuta sababu tu ili mradi watu wawaonee huruma. Unasusia derby ili iweje wewe? Kwamba wiki nzima hukujiandaa na mechi kisa mazoezi ya siku ya mwisho ndio ususe mechi. Nawaonea huruma...
Back
Top Bottom