Barua hii iliyoandikwa na Simba Ina mkanganyiko sana sijui wamekurupuka ama vipi,,nimeisoma vizuri mstari baada ya mstari na nimeona wamejichanganya pakubwa!
Kwanza nukuu ya kwanza hii hapa;-
1) Nukuu''katika sintofahamu iyo Simba iriarifiwa na meneja wa uwanja kuwa hana maelekezo ya kamishna...
Vibaby boy, last born, drama queens, leo vimethibitisha rasmi hawa watoto wanapenda sana kuonewa huruma na kutafuta sababu tu ili mradi watu wawaonee huruma. Unasusia derby ili iweje wewe?
Kwamba wiki nzima hukujiandaa na mechi kisa mazoezi ya siku ya mwisho ndio ususe mechi. Nawaonea huruma...
Huu ndio ukweli ambao utamuweka kila mtanzania huru.
Hakuna kiongozi yoyote wa Yanga aliyezuia Simba kuingia uwanjani.
Simba walifika nje ya uwanja wakiwa na mabasi yao mawili moja lina wachezaji na technical bench.
Na bus lingiine likiwa na wazee pamoja na wanyama kama mbuzi, kondoo na kuku...
“Miaka ya nyuma siku kama ya leo kwa upande wetu sisi Simba usingizi unakuwa wa tofauti na muda mwingine mnaweza msilale kwa sababu mganga wa mwisho alikuwa anaondoka saa 9 usiku”-Amri Kiemba
Wakuu
Ubaya Ubwela umewageukia!
Kwa mjibu wa Watangazaji wa EFm Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi
Tazama video hii ya tukio husika
Mwendelezo:
Kikosi cha Simba, kimeondoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kurejea kambini baada ya...
dabi ya kariakoo
hongera
jana
janja janja
kesho
klabu ya simba
kufanya
kufanya mazoezi
mashabiki
mashabiki wa yanga
mazoezi
simba
timu
yanga
yanga na simba
zake
Ikifika saa sita usiku kutakuwa nyuzi zisizopungua 3 za Simba na Yanga. Huwa inashangaza sana🤣
Hebu mtag anayefaa kuanzisha uzi huo ili wengine wapumzike tuu
Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika zinaeleza kuwa mfadhili wa klabu ya Young Africans, GSM, ameahidi bonasi ya shilingi milioni 500 endapo timu hiyo itashinda dhidi ya Simba katika mechi inayotarajiwa kuchezwa Jumamosi.
Inaelezwa Mfadhili wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji, yupo tayari kutoa kiasi cha dola 300,000 za Kimarekani (sawa na shilingi milioni 785 za Kitanzania) endapo timu hiyo itaibuka na ushindi dhidi ya Yanga.
Taarifa kutoka kwa vyanzo vya kuaminika zinadai kuwa ahadi hiyo inalenga kuwahamasisha...
Kucheza mechi maana yake ni kumpa mganga hela aroge mechi timu yako ishinde. Watu walivyo kuwa na akili duni wanatoa kabisa hela zao yani.
Waache kuroga mechi wachezaji ambao Simba na Yanga zinawalipa mamilioni uende ukaroge wewe ambae hupati chochote kutoka timu hizo? Hiyo ni akili ama...
Wanasema tii sheria bila shuruti.
Kutokana na tuhuma zinazomkabili msemaji wa Yanga Ali Kamwe, mashabiki wengi wa Yanga wamejitokeza kumtetea huku utetezi mkubwa ukiwa eti hakuna timu ligi kuu inayoitwa Kolo au Makolo.
Tukumbuke Simba imeimbwa hadi katika nyimbo za Yanga kama Kolo au Makolo...
Mastaa wawili kwenye eneo la ushambuliaji ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu,Fadlu Davids ngoma ni nzito kutokana na kuliamsha dude kwenye eneo la ufungaji katika mechi ambazo wamechza.
Ni Machi 8 2025 Uwanja wa Mkapa unatarajiwa kuwa kazini kwa wababe wawili Yanga na Simba...
Sababu ni moja tu :
Wamefungwa mara nne(4) mfululizo na katika hizo kuna moja kapigwa goli 5.
Hivyo hii game inayokuja Simba wameipania kupita kiasi maana ikitokea wakafungwa tena ITAKUWA NI AIBU NA FEDHEHA KUBWA ZAIDI na pale makao makuu ya Simba hakutakalika.
Kwa upande wa Yanga wao hawana...
Huyu wakala aache kusumbua eti kufikia ijumaa saa 10 installment yapili iwe imefanyika, kwanini ijumaa? Nani kamwambia kuwa hatalipwa? Aache uswahili.
Na wewe rasta hutaki kwenda mazoezini kisa bonus uchwara, wanaokwenda wao hawana akili au tulikosea kukudhamini uraia? Hebu ukue basi.
TFF wamejipanga Simba awe bingwa mbele ya Yanga imara
TFF Leo wametumika kamati zake kumfungia Ally Kamwe miaka 2 kutokujihusisha na soccer
Hili ni jambo baya na uhuni wa wazi, Ahmed Ally aliyetamka kuwa adui wa Simba ni Yanga akiachwa huru kuzidi kuzua taharuki
Kuelekea derby TFF inamfungia...
Wakuu Assalam Alleikhum.
Binafsi nipende kutoa angalizo juu ya upangaji wa kikosi kwa Coach Fadlu na benchi lake la ufundi kuelekea derby jumamosi. Kama kocha Fadlu anataka matokeo,wachezaji wafuatao wasianze kikosi cha kwanza:
1. Ngoma
2. Chamou
3. Mukwala
4.Mpanzu
5.Kapombe
Kwa Ubora wa...
Ahmed Ali alitamka kwamba adui wa Simba ni Yanga na wa pili Singida
Kauli hii ni uchonganishi na inazua uhasama usio wa laZima
Yanga na Simba wana upinzani na wala sio uhasama
Upinzani wao ni Wa kimichezo
Ahmed Ali anataka Yanga asiwe na mpinzani wa Simba wakati wako ligi 1 na wanagombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.