simba

  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ndumbaro amshukuru Rais Samia kuisaidia Simba kufika fainali CAFCC, awaombea ruhusa wabunge wakaishabikie Simba Morocco

    Waziri wa katiba na sheria Damas Ndumbaro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuisaidia timu ya Simba kufika hatua ya fainali katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika huku akiwaombea ruhusa kwa naibu spika wabunge kadha kwenda nchini Morocco...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uzi huu ni Maalum kwa kuisaidia tu Simba SC mawazo ya Kiufundi kuelekea Mechi ya CAFCC Fainal away na RS Berkane

    Poti wangu Crescentius Magori, Msemaji Ahmed Ally, Mwenyekiti Mangungu, Meneja na Mtani wangu wa Kihaya Patrick Rweymamu, Wajumbe Salim Abdallah Mhene Try Again, Swedi Nkwabi na Dada yangu Asha Baraka bila kusahau na Wadau wengine wa Simba SC najua huwa mnanisoma mno GENTAMYCINE hapa JamiiForums...
  3. Daby

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na Dola, Simba, Yanga, Harmonize na Diamond jambo gani tena linaifanya CHADEMA isiungwe mkono na wananchi walio wengi?

    Kichwa hakihitaji maelezo mengi saana. Kinajitosheleza. Tuwasaidie maana binafsi nadhani wafuasi wengi wa Chama hiki hawafanyi [introspection]. Najua nitashambuliwa saana na sina wasiwasi na hili.
  4. Dabil

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwenyekiti wa Vilabu African Eng. Hersi hajatoa pongezi kwa Simba hadi sasa?

    Eng. Hersi ni mwenyekiti wa Vilabu Afrika,inashangaza hadi sasa hajatoa pongezi kwa club ya Simba kutinga fainali. Eng. Hersi anatakiwa kujivunia kuwa na timu kubwa kutoka nchini kwake maana hii inamwongezea CV kwa hatua ambazo Simba wamefikia.
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Simba sports club familia kuuubwa

    THIS IS SIIIIIIIIIIMMMMBBBAAAAAAA 🦁 The Pride of Tanzania! 🇹🇿✨ Ubaya Ubwela 🔥 #NguvuMoja #CAFCCwithMicky #Simba
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Asante kwa Squad nzima ya Simba SC, ila hawa watu wametufikisha nchi ya ahadi

    Mungu ibariki Simba Sc nzima Heshima kwa wachezaji wote, bench la ufundi, uongozi na mashabiki dunia nzima, mmetuheshimisha sana. Pamoja na timu nzima kutupeleka fainali lakini wapo watu ambao majina yao inabidi yaandikwe kwa wino mwekundu wa moto..Majina yao yaandikwe sio kwenye kuta za Simba...
  7. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Aishi Manula asingeweza kuifikisha Simba fainali

    Aliyekuwa akituchelewesha ni Aishi Manula kumbe Thank You
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna zile IDs za wana Simba SC ziliiombea mabaya Jana kwakuwa tu Rais Samia aliipa Simba SC Ndege, chonde naziomba ziendelee kuiombea mabaya Simba SC

    Kuna Watu hapa JamiiForums ni Wapumbavu (Mapopoma) hadi basi. Hivi unajijua kabisa Wewe ni mwana Simba SC na unajulikana hapa lakini kwa CHUKI ZAKO TU ZA KISIASA (za CHADEMA na CCM) unaiombea Simba SC mabaya huko Afrika Kusini katika Mechi yake ya Jana dhidi ya Stellenbosch FC na hadi Kuilaani...
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania CAF wamethibitisha Simba hajawahi kufika final CAFCC

    Wale waliodai ati Simba alicheza final ya CAFCL na Stella Abidjan 1993 CAF wenye mashindano wamekanusha Hizi propaganda tu Abiola cup mbumbumbu wakaita final ya CAFCC
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

    Mechi ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika mkondo wa pili kupigwa leo Jumapili. Mnyama Simba SC atakuwa dimba la Moses Mabhida akicheza na Stellenbosch. Mnyama anaingia katika mchezo huu akiwa na mtaji wa goli 1 - 0 alilopata kwenye mchezo wa kwanza pale Zanzibar. Mechi hii itapigwa...
  11. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Yanga SC Yashtua Afrika sasa kuisubiri Pyramids au Sundowns!"

    Hongera sana kwa Yanga kwa kazi ya kishujaa ya kuwatoa mabingwa wa Zanzibar, timu ngumu kabisa ya KVZ! 🎉 Kwa kweli mmeonesha kiwango cha juu mno, mpaka tukabaki kushangaa. Sasa safari yenu ya kimataifa inaendelea kwa kishindo — hatua inayofuata ni kumkabili mshindi kati ya Pyramids FC na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Siku ngumu sana kwa Yanga leo Simba inapoingia fainali ya kombe la shirikisho la CAF

    Yaani leo Utopolo wanateseka sana na wanaomba kwa miungu yote. Leo Mashabiki wa Simba watafurahi sana lakini Mashabiki wa Yanga WATATESEKA SANA Angalizo: Sio tu kuingia fainali ila Simba inakuwa timu ya kwanza kuleta kombe la Afrika hapa Tz
  13. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Viongozi wa Simba wajihadhari sana na siasa

    Natoa angalizo hili kwa nia njema kabisa kwa klabu ya Simba SC. Klabu ya Simba inapoelekea katika mechi ya kesho na kama Mungu atajaalia ikaingia fainali, ijihadhari sana sana na kujiingiza katika mitego ya kisiasa. Ni jambo moja kuishukuru serikali kwa mchango wake wa hapa na pale katika timu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nimechungulia mchezo wa kesho Stellebosch vs Simba huko Durban, Matokeo ni Suluhu au Sare

    Mnyama kesho anafuzu nusu fainal bila shaka yoyote, narudia kesho mnyama anafuzu pale Durban. Utake usitake au kwa kisambaa Inye Iche tunakwenda final. Tujiandae kwa wingi kwenda kuipokea pale Airport, am on the way to Durban
  15. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Simba wako SA dhidi ya Stellenbosch sisi tuko dhidi ya kikosi Cha valante Zanzibar (kvz)

    Msimu ujao viongozi wasifanye huu mzaha tena wa sajili za ajabu hadi tunakosa kung'aa kimataifa
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba itaifunga Stellenbosch kwao?

    Kuna watu wanafurahia na kusema kuwa Simba ina mashabiki wengi sana South Afrika kuliko Stellenbosch; hivyo kuwa kama sababu ya Simba kufanya vizuri kule dhidi ya Stelle Simba walifanya vitu vingi sana nyumbani ikiwemo uwepo wa mashabiki wengi uwanjani lakini waliambulia goli moja tu. Hii...
  17. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Club ya KMC yapeleka match yao dhidi ya Simba Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora

    KMC imepeleka match yao ya mkondo wa pili zidi ya Simba utakaochezwa tarehe 11 May kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora.
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Sababu mojawapo ya kutaka Stellenbosch wafungwe na Simba ni hizi dharau za wasouth

    Asubuhi asubuhi nadondosha uzi. Ebwana wasouth wana dharau sana kwa waafrika wenzao. Yaani hawa jamaa tumewapigania na tuliwapa hadi hifadhi lakini leo wanatuona waafrika wenzao kama nyani na ngedere. Wanatuona kama binadamu ambao hawajastaarabika. Kuna video nimeiona jana usiku wakiiongelea...
  19. President of China

    JamiiForums Tanzania Irizar ya Simba itafika lini? Au ndio changa la macho kama la uwanja?

    Ukiona mtu anaongea sana bila kutoa detailed information ujue ni mpigaji. Hizo issues alizozisema aliye win tenda ya jezi za simba 80% ni porojo tu. Hatukuambiwa lini Irizar itafika bongo ili tufuatilie, hatukuambiwa ni model gani. Vitu vyote vilivyosemwa ni ahadi hewa. Aka Virtual issues.
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba imepewa ndege au imelipiwa nauli?

    Kuna huu upotoshaji unaoendelea mitandaoni kuhusiana na uamuzi wa Serikali ya Rais Samia kuipa tafu klabu ya Simba katika mechi yake ya pili dhidi ya Stellenbosch huko Durban, South Africa. Yamezuka maneno kutoka pande fulani zikisema Simba imepewa ndege halafu badala ya kubeba mashabiki wake...
Back
Top Bottom