simba

  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba imepewa ndege au imelipiwa nauli?

    Kuna huu upotoshaji unaoendelea mitandaoni kuhusiana na uamuzi wa Serikali ya Rais Samia kuipa tafu klabu ya Simba katika mechi yake ya pili dhidi ya Stellenbosch huko Durban, South Africa. Yamezuka maneno kutoka pande fulani zikisema Simba imepewa ndege halafu badala ya kubeba mashabiki wake...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania NAIONA SIMBA IKIPAATA KADI NYEKUNDU AMA IKIADHIBIWA PENALTY WACHAGUE KATI YA HAYO

    SIWATISHI HALI YA SASA ILIYOPO VIJA A WAMEJIPANGA...NA MOJA YA SILAHA WANAYOENDA KUWANYOOSHA SIMBA N PENALTY AMA VIA REDKADI WACHEZE KWA HESHIMA SANA NA NIDHAMU WASIJISAHAU WAKAJUA WAKO UWANJA WA MKAPA HALI YA SOUTH SIO RAFIKI KWAO KUANZIA CHAMA NK WAMEJIPANGA HII TIMU KUPITA KWENDQ...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania SIMBA HT ITATOKA DRW FT ITAFUNGWA 2-0/3-0/4-1 kazii iendelee

    KILA LA KHERI MPAKQ SASA MKEKA UNAOSMA HIVYO SIO KWA NIA MBAYA NAWATAKIA HERI KAMA MTANXANIA SIMBA SC HT WATABANA DRW FT WATALEGEZWA KAMA.MLENDA HAPO NAFIKIRIAA KAZI IENDELEE...
  4. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Stellebosch ni kama Azam iliyochangamka.timu haina mashabiki kwao,wabongo walioko huko wanatosha kuifanya Simba ijisikie iko nyumbani

    Pamoja na mambo mengine kinachoikwamisha Azam ni kukosa mashabiki. Stella wakiwa ugenini ni wakali kuliko kwao Kule kwao hawana mashabiki kabisa kama Azam Simba itakuwa kama iko kwa Mkapa tu. Mchawi wetu atakuwa VAR,tusiruhusu goli hata la offside,wala kugongana na hao wazulu koko kAribu na...
  5. Knock life

    JamiiForums Tanzania Simba na yanga ni takataka

    Simba na yanga ni takataka zunatumika Kuua harakati.
  6. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mechi ya Yanga dhidi ya Simba kupigwa Mei 10, 2025

  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia abeba gharama za Simba Afrika Kusini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameipa Simba sapoti ya usafiri wa kwenda Afrika Kusini na kugharamia malazi kwa timu hiyo katika kipindi chote itakapokuwa huko kwa ajili ya mechi ya marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch, Aprili 27, 2025...
  8. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Kuwaona Stellenbosch Vs Simba ni Rand 30 sawa na Shilingi 4500 tu

    Stellenbosch hawana mbambamba wanataka watu wajae uwanjani. Kiingilio mchezo wao dhidi ya Simba ni Buku Nne Mia Tano ya pesa madafu. Mchezo huo utapigwa katika dimba bora la kisasa la Moses Madiba jijini Durban. Simba tujiandae kisaikolojia, kazi itakuwa ngumu japo tutapita
  9. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba vs Yanga kupigwa Mei 10, 2025

    JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kubaini kuwa si ya kweli. Tazama hapa ==== Taarifa rasmi
  10. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Kuwepo kwa Derby ya Simba na Yanga

    Miongoni mwa Dery yenye mvuto africa The Watani wa Jadi Derby hakukutokea Bahati mbaya, kama zilivyo Derby nyingine duniani Derby huwa na visababishi. Kwamfano El clasico Hii derby imesababishwa na kukuzwa na , moja Siasa, Madrid na Catalonia , uwepo napia Uwezo wa Christin na Messi. , vile...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kumlaumu John Noble ni siasa za Simba na Yanga tu

    Tibu zote kwenye ligi zimefungwa na Yanga; ukiwa na akili mbovu utafirikiria Fountain Gates inaweza kuifunga Yanga. Inafahamika kuwa Simba waliweka matumaini yake kwa Foutain Gate kuisimamisha Yanga kwenye mbio zake za ushindi. John Noble alifungwa na timu bora kama vile wanavyofungwa magolikipa...
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba hii kuna watu walikuwa wanawaita Panya Road!

    Binadamu tumeumbwa kusahau. Nikikumbuka majigambo ya baadhi ya timu mwanzoni mwa msimu huu, nabaki kusema acheni Mungu aitwe Mungu. Zilitungwa nyimbo za "Uto hii unaifungaje", wakaapa hata waje malaika watafungwa tu. Wakaiita Simba na wachezaji wake Panya Road, just imagine mnaitwa Panya...
  13. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Yanga inategemea Simba kupata wachezaji Bora

    Sijajua tatizo lao huwa nini. Lakini Yanga inategemea Simba itafute wachezaji halafu yenyewe ianze kuwavizia. Wema wa Simba unaiimarisha timu ya Yanga!
  14. L

    JamiiForums Tanzania Simba itaingia fainali ikiwa huko Afrika kusini

    Wala Sina mashaka na haya niliyoyaandika. Simba inaenda kufunzu kuingia fainali mbele ya Stellenbosch Tena akiwa kwao. Ndugu zangu Tuache kukalili kua kucheza nyumbani ndio kigezo Cha ushindi. Ukweli ni kwamba katika soka matokeo ni popote pale. Hivyo mechi ya marudiano Simba anaenda kumtoa...
  15. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Fainali ya CAFCC hiiiiiyo inawasubiri Simba

    Baada ya mechi ya kwanza ya nusu fainali dhidi ya Al Masry, nilikumbushia kwamba Simba ina tatizo sugu la kuleta ugumu pale njia rahisi inapokuwa mbele yake. Simba ndiyo wakali wa hizi kazi, inafuzu kwenda nusu fainali vizuri tu Nilichokuwa nina uhakika nacho ni kuwa Simba ingeenda kusahihisha...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Matamko ya viongozi wa chadema kwamba wakiongoza nchi watazifuta Simba na Yanga yana busara yoyote? Kosa la vilabu hivi kwa chadema ni lipi?

    Nimefuatilia matamko kadhaa ya viongozi wa chadema wakijipiza dhidi ya vilabu hivi pendwa. Kwa nini wamedhamiria kuvidhuru ? Kosa lao nini?
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Simba iteue Captain Multilingual, Zimbwe hawezi kuwasiliana kwa lugha nyingine zaidi ya Kiswahili

    Kwa vile Simba ina uhakika wa kushiriki michuank ya kimataifa kila mwaka,Captain Zimbwe hatoshi.Waamuzi wengi wanaongea Engliish,Arabic,French or Kiswahili Japo football ina lugha yake. Lakini bado matamshi yana nguvu. Ngoma apewe u captain anajua kiswahili,kifaransa,kingereza na kiarabu...
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mechi ijayo na Stellebosch Simba iweke mabeki tisa na mshambuliaji mmoja

    Huu ni ushauri tu,ukitoa kipa na namba 9 wengine wote wawe mabeki au viungo wakabaji hii ndio njia rahisi ya kutinga fainali
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Anaandika Shaffih Dauda kuhusu Mechi ya Simba ya leo

    ◽️Jean Charles Ahoua Aliuanza mchezo akiwa chini sana , licha ya kuwa ndiye mfungaji wa bao pekee hii leo sitashangaa kuona watu wakimsema ,alikuwa anakosa uharaka wa maamuzi na kujikuta unachelewesha movements Tutakumbuka aliumia na kuomba kutoka , lakini bado atazibeba lawama kwa mpira...
  20. BABA SANIAH

    JamiiForums Tanzania Simba mfike kwanza fainali ndiyo mbishane na Yanga

    Nasema hivi Simba ili mbishane na yanga mfike fainali kwanza kombe Hilo la shirikisho,ambayo msemaji wenu ahmedi ally alikua analiita kombe la waliofeli.
Back
Top Bottom