simba

  1. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Walichokifanya leo Wana Simba wameonesha ukomavu , uelewa na busara kubwa , wanahitaji pongezi .

    Je umefikiria kama na Wana simba leo wangemiminika kwa wingi uwanja wa Taifa kufuatilia suluhu ya kilicho tokea March 8 ,2025 ,nini kingetokea ? Ukipata jibu utagundua Washabiki wa Simba wako next level
  2. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Wale wale wahuni waliovuruga mazoezi ya Simba ndio hao hao sasa wanamtisha Hersi saidi kama atakubali mechi dhidi ya Simba...

    Hersi saidi yupo kwenye mtanziko mkubwa sana kuhusu maamuzi ya kukubali kucheza mechi ya marudiano baada ile ya march 8 kuota mbawa...ukisikiliza anachosema anaonyesha dalili za woga na kuna kitu hakipo sawa anaogopa dhidi ya washabiki wake wahuni wasio na adabu...Hersi ana zunguuka anaogopa...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba ina wazee wa hivihivi tu

    Kama ukiwasikiliza wazee wa Simba unaweza kusema ni wazee wa mtaani tu. Wazee wa Simba wanaongea, kusema na kutenda kama vijana wengine wa simba. Wazee wa Simba walipaswa kushauri viongozi wa Simba wakatae udhamini wa Azam kwenye ligi maana Azam anayo timu inayoshiriki ligi kuu ya NBC pia...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-1 Big Man FC | CRDB Bank Federation Cup | KMC Stadium | 27.03.2025

    Leo Alhamisi inapigwa mechi ya CRDB Bank Federation Cup hatua ya 16 bora Simba SC VS Big Man FC Saa 10:00 Jioni | 🔴 LIVE updates hapa Vikosi vya timu zote Mechi imeanza 1' Simba SC 0-0 Big Man FC 12' Milango bado migumu kwa kila timu 15' Goooooal (Joshua Mutale) 23' Simba wanalitafuta goli...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PICHA: Kipa wa Simba, Aishi Manula arejea kikosini. Afanya mazoezi kuelekea mechi ya Shirikisho

    Air Manula mazoezini kujiandaa na mechi ya Kombe la Shirikisho la CRDB Machi 27 na Big Man FC (zamani Mwadui FC). Mechi hiyo ya Kufuzu robo fainali CRDB Bank Federation Cup, Mnyama Simba SC atakuwa KMC Stadium majira ya saa 10:00 Jioni kukipiga na Bigman.
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wazee na Wanachama wa Simba: Yanga wamezoea kubebwa kama Marehemu

    Wazee na Wanachama wa Simba wa Matawi mbalimbali Jijini Dar es salam, wamefanya Mkutano na Waandishi wa habari kuzungumzia sakata la kuahirishwa kwa Mchezo wa Derby ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga uliokuwa uchezwe Machi 8 mwaka huu.
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba SC kuwafuata Al Masry Machi 28, Camara na Mukwala wajiunga na wachezaji wenzao baada ya kutua nchini

    "Kikosi kitaondoka nchini alfajiri ya tarehe 28 kuelekea Misri kwa kutumia ndege ya Egypt Air. Wachezaji wetu waliokuwa Taifa Stars wataungana na timu nchini Misri. Camara na Mukwala tayari wamewasili nchini kujiunga na wachezaji wenzao kwa ajili ya maandalizi ya safari." "Kila Mwanasimba...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya ombi lenu la Mguto na Kassongo kuondolewa Bodi ya Ligi (TPLB) limekubaliwa je, sasa mtaleta Timu ili Mfungwe Simba SC iwe Bingwa au?

    Muda wowote kuanzia sasa Watanzania mtatangaziwa hii Taarifa ambayo GENTAMYCINE nimeitoa Jikoni kabisa. Wameamua kuliko) kuwapa Yanga SC Alama (Points) Tatu (3) kama Wanazoziota wameona kuweka Mambo sawa wawatoe Kafara akina Mguto na Kassongo wakiamini kuwa wana Yanga SC wataridhika na kuleta...
  9. Bramo

    JamiiForums Tanzania Kataa CCM = Kataa Ushabiki wa Simba na Yanga

    Moja ya Vichaka ambavyo Chama Cha Mapinduzi,CCM Kimejifichia ni kupitia Ushabiki wa Simba na Yanga. Hiki Kichaka kimewatoa kwenye Mstari Wa Tanzania kuacha kufuatilia Mambo Muhimu kwa mustakabali wa Maisha yao, mfano kuimulika na kuiwajibisha Serikali katika utendaji wake. Kwa sasa wa Tanzania...
  10. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga, mpo tayari kutoka kwenye soka la ushindani, ili kumiliki uwanja

    Naona wachambuzi uchwara wakiwabaga Simba na Yanga kuwa ni wazembe wanashindwaje kumiliki uwanja Mashabiki kila msimu wanatoa pressure, wanataka timu zichukue ubingwa na kufanya vyema kimataifa Kumiliki uwanja ni laZima simu ipunguze matumizi ya gharama za usajili, mishahara na benchi la...
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mpira ushetani,??tulimlazimisha dereva wa gari yenye maiti apaki Mombo ili tuangalie mechi ya Simba vs Nkana

    Mwaka 2018 tulisafirisha maiti ya dogo mmoja shabiki wa Simba kwenda kwao upareni Lengo ilikuwa tuzike Kesho yake yaanu tarehe 24 siku moja kabla ya Xmas Coincidence Simba ikawa inacheza na Nkana tarehe 23 kumuenzi marehemu tulimlazimisha dereva asimamishe gari maeneo ya Mombo tuangalie...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushahidi huu, Simba hawakuwahi kufanyiwa vurugu popote mechi ya Dabi

    Ukitazama video hiyo hapo chini, hakuna mahali popote Simba walipofaniwa vurugu kabla ya mechi ya Dabi zaidi ya kuzuiwa tu kuingia uwanjani. Hakuna mtu aliyesukumwa, hakuna mtu aliyepigwa ngumi, hakuna mtu aliyepigwa hata kibao na wala hakuna jiwe lililorushwa labda likavunja kioo. Isitoshe watu...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Simba wamewahi kukaa misimu zaidi ya sita bila kombe la ligi kuu ?

    Is this True maana imeniwia vigumu kuamini kwa ukubwa wa Simba
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Simba na Yanga wameshakuwa Machawa Pro Max, wanafanya nini kwenye mkutano wa uzinduzi wa Sera ya Maji?

    Wakuu Katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025, leo Machi 22, 2025, katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, mshehereshaji wa tukio hilo Shaban Kisu, alionyesha jinsi Simba na Yanga zinavyotumika kisiasa kwa kupaza sauti "Oyee!" kwa vilabu hivyo kupitia...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Utabiri: ''Wanangu TFF, Yanga, Simba Mkayamalize" Kisha Naomba mnialike kwenye Mechi, Nitakuja

    Mambo yameshakuwa Yamoto, Sasa baada ya Wizara, TFF na bodi ya Ligi kuushindwa mfupa wa Vigogo na mashabiki wa Yanga na Simba, sasa ni wakati wa Raia namba moja , mwenye nchi yake, kuingia na kutuliza mihemko ya wapenzi wa Soka. Naamini Busara za Rais Samia , Zitatumika kuliokoa hili, na...
  16. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Ukisikia neno Fratenity ni kwenye Ushabiki wa Simba na Yanga

    hisia.Huku Profesa na ngumbaru wote ni sawa. Mhutubu na Maamuma wote ni sawa,Mpumbavu na Mwerevu ni sawa. Huku hakuna anayesingizia kwamba TLS hajafanya hili,au sijui Emmaus Bandekile Mwamakula au Father John Kitima hajafanya hili wala Bishop Kalikawe Lwakalinda Bagonza hajasema hili au Baba...
  17. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Natamani kuona mechi ya Simba na Yanga ikichezwa nje ya Tanzania.

    Imani za kishirikina ni moja ya changamoto zilizopelekea miaka hii ya soka kutokipiga kwa Mkapa mnamo mwanzoni wa mwezi March,japo kuwa hakukuwa na sababu za msingi kuhairishwa kwa mechi ya dabi. Hatuwezi kukataa maamuzi sababu yalikwishatoka ila limebakia swali tu,ni lini mechi ya dabi...
  18. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Sakata la Simba na Yanga SC halihitaji hekima za Serikali, Bodi ya Ligi na Tff Zifuate Kanuni na Siyo kuitumbukiza kwenye Tope serikali yetu.

    Swali la kujiuliza Je kama hili sakata lingetokea kwa timu nyingine mfano Namungo vs Simba SC au Yanga vs Mashujaa SC je Bodi ya Ligi na TFF mngeisumbua serikali?!!! Hii ligi imekua kama Ya Simba SC na Yanga SC na Bodi ya Ligi wametumbukia kwenye shimo la hewa, imefikia hatua wanafanya maamuzi...
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi inatafakari uwezekano wa kuzishusha daraja zote Simba na Yanga

    Kuna watu wanataka Kanuni zifuatwe ili ukiwasikiliza vizuri utagundua wanachagua kanuni gani zifuatwe na zipi zisifuatwe. Sasa embu tuliangalie hili suala la Kanuni na adhabu zake kwa umakini. Yanga wanasema adhabu ya timu kutotokea uwanjani ni kunyang'anywa pwenti 15 na/au kushushwa daraja...
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Sakata la Simba ni sawa na lile la Nigeria dhidi ya Libya. Yanga msiende CAS.

    Timu ya Taifa Nigeria ilikataa kucheza na timu ya Taifa ya Libya, kisa hawakupokelewa vizuri na wenyeji wao. Kamati ya nidhamu ya CAF ikawazawadia Nigeria pointi tatu. Sasa hili sakata la Nigeria na wale mabaunsa wa Yanga tofauti yake ni ipi? Nashauri Mzee Magoma awazuie Yanga kwenda CAS.
Back
Top Bottom