BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,777
- 6,269
Nasema hivi Simba ili mbishane na yanga mfike fainali kwanza kombe Hilo la shirikisho,ambayo msemaji wenu ahmedi ally alikua analiita kombe la waliofeli.
Wenye akili ni wawili tuu.......fainali ipi?Nasema hivi Simba ili mbishane na yanga mfike fainali kwanza kombe Hilo la shirikisho,ambayo msemaji wenu ahmedi ally alikua analiita kombe la waliofeli.
Jenga hoja,usishambulie watu,unaweza Lete hoja ili tujibishane kwa hojaWenye akili ni wawili tuu.......fainali ipi?
Hoja gani uharo tu. Ubishane na timu ambayo haipo kwenye mashindano? Ficha upumbavu wakoJenga hoja,usishambulie watu,unaweza Lete hoja ili tujibishane kwa hoja
Wawili tuu!Jenga hoja,usishambulie watu,unaweza Lete hoja ili tujibishane kwa hoja
Simba Dude kuuubwaa!Nasema hivi Simba ili mbishane na yanga mfike fainali kwanza kombe Hilo la shirikisho,ambayo msemaji wenu ahmedi ally alikua analiita kombe la waliofeli.