Hakuna ubishi uongoxi wa TFF na bodi ya ligi umeegemea Simba kwa 80%. Wanatekeleza matakwa ya Simba bila kujificha.
TFF na bodi ya ligi walíirahisishia Simba kukwepa derby, kushinda viporo vyake kwenye ligi na kushinda mechi zake CAF shirikisho. Hata KMC mechi yake na Simba kurudishwa uwanja...