MO Dewji, Simba hujauziwa usipachike vyeo watu uwapendao na wasio na mchango wowote, wenye timu tupo tukiamua hata kesho asubuhi unaondoka

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,992
218,926
Ni kikao gani cha timu ya Simba kilichoidhinisha mtu asiyejua lolote kwenye soka aitwaye Makonda kuwa Mshauri Mkuu?

Nafurahi sana kumkaribisha RC wetu, Mnyama mwenzangu PAUL MAKONDA kwenye Bodi ya ( 425 X 640 ).jpg

Nakala : OKWI BOBAN SUNZU
 
Ponjoro ameshawazidi akili, hili tatizo mzee Kilomoni pekee ndo aliliona mapema ila mambumbumbu mkamletea figisu mzee wa watu.

Hayaa huyo Makonda ana utaaalam gani katika soka mpaka awe mshauri mkuu? Ina maana Simba hakuna wachezaji wa zamani kushikaa hiyo nafasi?

Ishu hapo ni Uchaguzi Mkuu 2020 Mo kaingiza siasa na usikute sio matakwa yake katika uteuzi huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ponjoro ameshawazidi akili, hili tatizo mzee kilomoni pekee ndo aliliona mapema ila mambumbumbu mkamletea figisu mzee wa watu.

Hayaa uyo makonda ana utaaalam gani katika soka mpaka awe mshauri mkuu? Inamana simba hakuna wachezaji wa zamani kushikaa hiyo nafasi?

Ishu hapo ni uchaguzi mkuu 2020 Mo kaingiza siasa na usikute sio matakwa yake katika uteuzi huo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye hili Mo anatafuta kutimuliwa Simba kiujanja
 
Simba ilishaga binafsishwa kitambo, wanachama mpo tu kama gresha. Kwanza hamna mchango wowote kwa timu, wacha wenye fedha zao wafanye wanavyojisikia roho inapenda. Ukikubali kumuoza binti yako isimuekee masharti muoaji.
Naam

MTC | 101|
 
Unajuwa mwanamke akiwa anatafuta talaka basi atafanya vituko mimi sijawahi kumuamini Mo sio huu wakati wa Simba tu kabla na hii sasa imethibitisha. huyu jamaa ana chembechembe za unafiki na kupenda kutukuzwa hana malengo mazuri sio kwa Simba tu hata maisha ya kawaida. Inawezekana anatafuta sababu afukuzwe na Simba halafu aseme wamevunja mkataba sio mimi nawaacha nitudishiwe changu sababu matukio yamekuwa mengi sana. Simba ni wakati kujitafakati kwa kina je tunaenda njia sahihi au kuna shida kubwa huko mbeleni. Je kesho Mo akiwa hayupo ndio kusema Simba imeisha. Kesho atasema mkewe pia mshauri sasa imekuwa family business, nani ana mamlaka ya kuteuwa Mo au board??
 
Mo ana miliki 49 percent 51 wanamiliki wanachama inakuaje huyu mwenye percent ndogo ndio ana fanya maamuzi au mimi ndio kichwa changu kigumu kuelewa?
Hahahaha, Mkuu Erythrocyte tafsiri ndio hy RC kateuliwa na mwekezaji , hana haja ya kuuliza bodi wala wanachama cz anatoa hela zake

Wanasimba tuanze kuchanga tuchukue hisa zetu wanachama zile 51, kifupi wanachama ktk bodi hakun nguvu.

MTC | 101|

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mo ana miliki 49 percent 51 wanamiliki wanachama inakuaje huyu mwenye percent ndogo ndio ana fanya maamuzi au mimi ndio kichwa changu kigumu kuelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ungeanza kuhoji yanayoendelea huko yanga kwenu kabda ya kuhamia huku simba ambako hakukuhusu...ungehoji inakuwaje GSM ndo wanasajili wachezaji badala ya benchi la ufundi
 
Naona huu uzi mashabiki wa kwasukwasu wamegeuka washauri wa namna wanavyotaka simba iendeshwe...wamesahau kwao siku hizi GSM ndo wamekuwa benchi la ufundi la kusajili wachezaji
 
Nmekusamehe sababu una endeshwa na mhemuko, nitaletaje story za Yanga hapa wkt hoja ni Mo shule yako ina mushikeri kidodo na kwa taarifa yako mimi sio mwanayanga ni ni fan's wa Mbeya city
Mkuu ungeanza kuhoji yanayoendelea huko yanga kwenu kabda ya kuhamia huku simba ambako hakukuhusu...ungehoji inakuwaje GSM ndo wanasajili wachezaji badala ya benchi la ufundi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom