Mwambieni yule dogo aliechezea simba kutembea na mke wangu, Stamina hold on pls

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Ndoa isikie kwa mwenzio

Mmoja wa waliokuwa wanajua shida na raha zilizokuwa zikiendelea za dogo watu Stamina


Tusingependa mengi hata alichoongea najua akutakiwa ila.Ukweli unabaki kuwa kweli wachezaji mwache kuingilia ndoa za watu mtageuzwa.

Mchezaji gani tuendele kusubiri atatuambia siku moja
 
Nimeziona kama 6 hivi hata mwaka haujamalizika hii ya stamina itakuwa wa saba. Moja ya mwana ofisini.
Tatizo watu wanaingia kwa ndoa na matarajio makubwa kama WAMEBETI VILE

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawataki kubadilika na kuyavaa majukumu ya ndoa. Na wengine wanakuwa wameoa au kuolewa na malay.a

Ila inashangaza sana, yaani mnaenda hadi kanisani then miezi kadhaa ndoa chali
 
Back
Top Bottom