Penye moshi kuna moto, muda sio mwingi Mh. MO atakaa pembeni maana inaonekana anatoa pesa yake kishingo upande. Kuna siku alisemega kuwa 20 bil zake zinaweza kununua bank, na sasa anasema 4bil zake zinatumika kulipa mishahara ya Simba bila sababu.
Mh. MO anataka Simba ishinde mechi zoooooote...