simba

  1. M

    CAF: Plateau United depart for Tanzania to face Simba SC

    By Polycarp Auta Jos, Dec. 2, 2020 A 45-man contingent of Plateau United FC of Jos has departed for Dar Es Salaam to face Simba SC of Tanzania. This is for the return leg of the first round of the preliminary fixtures of the CAF Champions League on Sunday. Mr Albert Dakup, the club’s Media...
  2. Dar es Salaam kuelekea mchezo wa Simba na Plateu United

    Kuelekea mchezo wa Marudio kati ya simba na plateu ya Nigeria kombe la Klabu bingwa Afrika. 1. Aishi Manula. 2. Shomari Kapombe. 3. Mohamed Hussein. 4. Pascal Wawa. 5. Joash Onyango. 6. Erasto Nyoni. 7. Benard Morison. 8. Jonas Mkude. 9. John Boko. 10. Clotas Chama. 11. Lusi Misquison. SIMBA...
  3. Je, tafsiri nyingine ya sheria inayoongoza Bunge letu, ni ipi nje ya hii iliyotumika kumuadhibu Sophia Simba?

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuutarifu Umma kuwa; kwa mujibu wa Kifungu cha 37 (3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Mhe. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemjulisha...
  4. Video: Goli la Clautus Chama, Plateau Vs Simba Sc

    Lilikuwa goli la kulazimisha na juhudi binafsi za Luis Jose
  5. Kwa Kibao hiki cha 'WAAH' chake Mwana Simba Mwenzangu Diamond akimshirikisha Koffi nasema 'Shikamoo' mno tu Kwake

    Huu Wimbo wa 'WAAH' ukiwa unapigwa au hata unausikiliza tu popote pale halafu huamki ama Kucheza tu au Kutikisika basi utakuwa na matatizo Kichwani au utakuwa ni mwana Yanga SC mwenye Roho Mbaya au utakuwa kati ya Team Kiba au Yule aliyetaka Kufa kwa Kuanguka kutoka katika Paa la Uwanja wa Mkapa...
  6. Spika Job Ndugai alishindwa Kumlinda Sophia Simba na wenzie 12 walipofukuzwa na CCM, ubavu wa Kumlinda Halima Mdee na Wenzie 18 atautoa wapi?

    Salaam Wakuu. Kama mnakumbuka mwezi March 2017 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kiliwafukuza wanachama wake 12, akiwamo Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT), Sophia Simba. Sophia alilazimika kupoteza ubunge kutokana na uamuzi huo, alifukuzwa baada ya kupatikana na makosa ya maadili kinyume na Katiba...
  7. E

    Simba imeingia kwenye makundi kwa hesabu tu

    Hiyo Plateu ni kama imeisha tolewa, mechi inayofuata Simba itacheza na mshindi kati ya AS Sonidep ya huko huko Nigeria na Mogadishu city ya Somalia. Hiyo AS Sonidep ni timu ngumu kidogo itabidi Simba ikaze misuli hasa kuvuka.
  8. Sasa ni rasmi Mechi ya Simba na Plateau haitoonyeshwa Runingani kwa Figisu za Wenyeji hivyo nawaomba Simba niwe Mkuu wa Kamati ya Kulipiza Kisasi

    CEO wa Simba SC Barbara (Babra) Gonzalez katika Kurasa zake za Mitandao amesema kuwa wamejitahidi vya kutosha tena kwa Kuhangaika huku na kule ile Mechi ya Simba SC na Plateau United unaochezwa leo Jumapili tarehe 29 Desemba 2020 uonyeshwe Mubashara na Azam TV lakini imeshindikana kwa Umafia na...
  9. J

    Halima Mdee na wenzake wakapate ushauri nasaha kwa Mama Sophia Simba, kuna maisha bila Ubunge wasiogope

    Nawashauri tu wale Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA kwamba badala ya kulialia kupitia media ni vema wakajifunza " subra" kwa mh Sophia Simba Mbunge wa Viti Maalum CCM. Subira ni jambo jema kuliko kupagawa na kukurupuka. Mama Sophia Simba alivuliwa uanachama na kupoteza Ubunge " halali" lakini...
  10. Atakayetabiri kikosi cha Simba dhidi ya Plateu na idadi ya magoli ana Tsh 500,000

    WAKUU. MIMI NATABILI SIMBA KUANZA NA WACHEZAJI 11 WA KWANZA WAFUATAO. 1.Aishi Manuara. 2.Shomari Kapombe. 3.Mohamed Hussein. 4.Joash Onyango. 5.Pascal wawa. 6. Erasto Nyoni. 7.Luis Misquison. 8.Jonas Mkude. 9. John Bokko. 10. Clatus Chama. 11. Benard Morison. USHINDI KWA SIMBA 3-1.
  11. Msemaji wa Simba SC Haji Manara Siku zingine uache Kiherehere cha Kumsifia Mchezaji Mnafiki wa Azam FC Aboubakary Salum 'Sure Boy' mwenye Uyanga mno!

    Nilikushangaa sana Wiki hii nzima nilipokuwa kila nikipitia Kurasa zako za Mitandaoni na ukawa unamsifia kwa Mikogo yote huku ukimpamba mno Mchezaji wa Kiungo wa Azam FC Aboubakary Salum 'Sure Boy' tena ukimtia Ndimu kabisa ( ukimchochea ) kuwa katika Mechi ya Leo dhidi ya Yanga SC apambane na...
  12. Taarifa kamili kuhusu kuwasili kwa klabu zetu za Simba na Yanga katika Michuano ya Kimataifa na ile ya Kienyeji

    Simba SC Hadi hivi sasa Kikosi cha Mabingwa Watetezi wa VPL Simba SC kimefika salama nchini Erthiopia ambapo leo ( usiku ) huu kitalala katika Hotel ya Sheraton hadi Kesho tayari kwa safari ya kwenda Abuja nchini Nigeria kwa Ndege ya Kukodi ya Kifahari ambayo hata Klabu za FC Barcelona na...
  13. M

    Simba mstaafisheni Juma Kaseja

    Itakuwa ni jambo la faraja sana kwake maarifa yake ni muhimu kwa bench la ufundi, Manula ni kipa mzuri hatuhitaji kuendelea kuthibitisha hili lakini anahitaji mwalimu atakae kuwa mfano halisi kwake. Kaseja Juma kwa sasa hiv hachezi mpira kuwavutia watu tena anacheza mpira kuwafundisha watu...
  14. Hivi kwa Takwimu hizi za ukweli Kocha wa Taifa Stars Etiene Ndayiragije akisema Simba SC ndiyo Timu pekee inayojua Kufunga Magoli mtamlaumu?

    Mpaka sasa Mechi za Ligi Kuu ya Vodacom imefikia Michezo 11 haya ndiyo Magoli ya Jumla ambayo yamefungwa na Timu Tatu Kubwa hapa nchini 1. Simba imefunga jumla ya Magoli 24 2. Azam imefunga jumla ya Magoli 12 3. Yanga imefunga jumla ya Magoli 9 Na kabla hamjasahau mpaka hivi sasa Mchezaji...
  15. Bombardier na Boeing zimepaki Wakati Simba SC Wakitumia Kenya Airways na Ethiopia Airways kwenda Nigeria

    Simba Sc klabu " Baba la Baba " likiwa linakwenda cheza mechi za kimataifa huko Nigeria na Plateu FC, inatarajia kuondoka Leo 24-11-2020 11:45 jioni kutokea Mkoa uliotengwa kimaendeleo kwa wivu wa flani [KILIMANJARO] kwa ndege ya KENYA AIRWAYS. Simba Fc watapita Nairobi na baadae wata-unga...
  16. Kocha wa Simba utanishukuru baada ya mechi

    1.Manula 2.Kapombe 3.Zimbwe 4.Onyango 5.Wawa 6.Nyoni 7.Miquisonne 8.mkude 9.Bocco/Kagere/Mugalu 10.Chama 11.Morisson Hiki kinatakiwa kuwa kikosi dhidi ya Plateau Utd nje ndani
  17. Viongozi ndiyo wanaokwamisha mchakato wa mabadiliko, FCC yatoa taarifa leo. Mashabiki na wanachama wa Simba mtadanganywa hadi lini?

    TAARIFA YA MCHAKATO WA SIMBA KWENDA KWENYEMABADILIKO. - Tume ya Ushindani (FCC) haihusiki na ucheleweshwaji wa mchakato wa Mabadiliko ndani ya Klabu ya Simba SC kama ilivyoelezwa na viongozi wa Klabu hiyo Siku chache zilizopita. -Tume ya ushindani Tanzania (FCC) imeuuliza Uongozi wa...
  18. Yanga SC 'mtatukoma' Simba SC, kwani huyu tunayeenda 'Kumsajili' sasa Mukoko Tonombe wenu 'anasubiri' sana

    Kiingereza Tanzania's Giant Club and VPL Champions Simba SC have lined up Kaiser Chiefs and Kenyan international midfielder Anthony Teddy Akumu as the perfect replacement of Brazilian Gérson Fraga Vieira who was ruled out of the season after sustaining an injury. The Tanzania champions are...
  19. Yanga kuiga Simba Sc ni jambo zuri, ila kuweni makini

    Sio Press realese Ni Press release
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…