simba

  1. JamiiForums Tanzania FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

    00' Mwamuzi anapuliza kipenga kuashiria mwanzo wa mchezo 30' Luis Miquissone anapiga goli la kwanza kwa upande wa Simba 32' Goli la Simba halidumu baada ya Zemanja Soze wa AS Vita kusawazisha dakika mbili baada ya goli la kuongoza la Simba 45+1' Cloutas Chama anaifanya Simba kumaliza kipindi...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Simba SC kuingia na basi jipya la wachezaji leo

    Timu ya Soka ya Simba leo kwenye mchezo wake wa klabu bingwa inatarajiwa kuingia na bus jipya la wachezaji lilionunuliwa na mdhamini wa team hiyo Mohamed Dewji Bus jipya la Simba likibandikwa sticker
  3. N

    JamiiForums Tanzania CAF Ranks: Timu ya Simba ya 13, Namungo ya 59 na Yanga ya 74

    mambo ni faya fire fireeee mootoooooo..ewaaaahhhhhhhhh kings of East africa wanakamata nafasi ya 13 huku vijana wa waziri mkuu wa awamu YA TANO asiyejulikana kama atarudi madarakani wakiwa nafasi ya 59 na deportivo la utoPolo kama kawaida yao wako nafasi ya 74
  4. JamiiForums Tanzania CAF yatupilia mbali madai ya Al Merrick dhidi ya Simba

    Habari ndiyo hiyo
  5. JamiiForums Tanzania Taifa Stars yabamizwa 1-0 Equatorial Guinea na kukosa ticket ya kushiriki AFCON 2022...

    TUMETOLEWA RASMI!!!! Ungana nami kuanzia saa 4 kamili kupata updates za video, Mechi ya Equotorial guniea vs taifa stars HIGHLIGHTS KIPINDI CHA KWANZA 1. CHUPU CHUPU 2. MANULA ANATUSAVE 3. MWAMBA. KIPINDI CHA PILI ASANYE MANULA VIJANA WA EWUATRIAL WAMEDOMINATE SANA MSUVA...
  6. JamiiForums Tanzania CAF yamtaja afisa usalama mechi ya Simba Vs AS Vita

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limemteua Inspekta Hashimu Abdallah kuwa Ofisa Usalama wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) kati ya Simba SC na AS Vita Club FC (DR Congo) utakaochezwa Aprili 3, 2021 saa 10;00 jioni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam, Tanzania...
  7. JamiiForums Tanzania Simba Sports Club. Rasmi sasa Mnapaswa kulipa Deni la Magufuli

    Njia pekee ya kumuenzi kwa mema yake na uchapakaji kazi ni ninyi Kuleta Kombe la CAF hapa Tanzania. Hili ndilo Deni mlilo nalo kwa Marehemu JPM aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tunaomba Mlete Kombe la CAF TANZANIA. HALAFU SISI NA NINYI YANGA MTAVAA JERSEY ZENU ZA NJANO NASI...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC ule Upuuzi uliofanyika jana nje ya Uwanja wa Taifa usirudiwe tena tafadhali kwani Utatugharimu na kuja Kujutia

    Labda niwaambieni tu Uongozi wa Simba SC kuwa Rais mpya wa CAF Bwana Patrice Motsepe haungwi (hakuungwa) Mkono na Rais wa TFF Bwana Wallace Karia ambaye inajulikana alikuwa ni Mtu wa aliyekuwa Rais wa CAF Bwana Ahmad Ahmad. Hivyo kwa hili Tanzania (hasa TFF) inatakiwa kuwa makini nae sana huyu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jicho langu la Kiufundi na Tahadhari kwa Simba SC kuelekea katika ' Desicive Game ' yake na AS Vita Club tarehe 2 April, 2021

    ANGALIZO Nitakayoyaandika (Kuyaeleza) hapa ni Maoni na Mtizamo wangu Mimi All - Rounder na sikulazimishi uukubali bali uheshimu tu tafadhali. PONGEZI Nisiwe mchoyo wa Pongezi kwa Mafanikio haya makubwa ambayo kwa sasa Klabu ya Simba imeyafikia ikiwemo Ushindi wake wa jana wa Magoli 3 kwa 0 na...
  10. JamiiForums Tanzania Full Time: Simba SC 3 - 0 Al Merrikh

    Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba SC leo itakuwa na kibarua cha kumenyana na timu ya Al Merrikh kutoka nchini Sudan katika dimba la Benjamin Mkapa. Mchezo wa kwanza uliopigwa Uwanja wa Al Hilal nchini Sudan, timu hizi zilitoshana nguvu kwa kutofungana. Kikosi cha Simba SC kitakachoanza leo dhidi...
  11. JamiiForums Tanzania Yaani Simba mkijitahidi sana Draw. El Merrekh tunashukuru kwa Ushirikiano wenu. Game tushacheza mpaka sasa

    Al Ahly walijifanya vidume. Tulipowaambia tuwazungushe zungushe waijue mitaa wakajidai walishacheza hii game kwao Misri. Matokeo yake ndo hayo El Merreikh hawa wamekuwa watiifu wakati tukiwazungusha mitaa mbalimbali waifahamu Tanzania. Na Wakulungwa wamewahikikishia ushindi upo. Na zaidi zaidi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Simba vs El Merreikh: Uwanja wa uhuru utumike na screen kubwa

    Tanzania tuna bahati moja kubwa Sana, uwanja wa uhuru upo karibu Sana na Uwanja wa Mkapa. Ziwekwe screen mbili kubwa na mashabiki wajazane humo. Halafu kelele za kushangilia zichuliwe na wireless michro phone mpaka kwenye spika kubwa zitakazowekwa Uwanja wa Taifa ili kutoa feedback kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Shabiki wa Simba afariki dunia baada ya Mgalu kukosa penati dhidi ya Tanzania Prisons

    Mpenzi wa timu ya Simba Ally Rashidi Kuntika (71)katika mamlaka ya mji mdogo wa Namtumbo mkoani Ruvuma alidondoka ghafla na kufariki dunia papohapo mara baada ya mchezaji wa timu ya Simba Chris Mugalu kukosa kufunga goli la penati dhidi ya timu ya Tanzania Prison...
  14. JamiiForums Tanzania TFF inapaswa kumchukulia hatua zaidi mchezaji wa Tanzania Prison aliyetolewa kwa kadi nyekundu dhidi ya Simba

    Nimerudia kuangalia tena rafu ile ya kishamba aliyocheza yule mchezaji, nimejiridhisha kwamba kadi nyekundu pekee haitoshi , yule mchezaji anastahili adhabu zaidi, ikibidi hata kufungiwa michezo kadhaa. Hili likifanyika litaongeza nidhamu kwa wachezaji wengine, haiwezekani tukaacha wachezaji...
  15. JamiiForums Tanzania Kuhusu kumsema mbovu Metacha Dkt. Msolla adai simu yake ilidukuliwa

    Kama mnavyofahamu siku ya jana golikipa wa Yanga Metacha Mnata aliwaaga mashabiki wa Yanga kupitia insta na baadae kufuta lile bandiko. Kuna tetesi kuwa Sintofahamu hiyo ilisababishwa na Mwenyekiti Dr. Msolla kumchana Metacha kwamba anawahujumu akiwa langoni. Habari zimeendelea kujili jioni ya...
  16. JamiiForums Tanzania Historia ya Simba na Yanga

    Yanga na Simba zilianzishwa mwaka 1935 na 1936 baada ya kutokea mvurugano baina ya viongozi wa pande hizo mbili. Yanga ndio timu kongwe zaidi Tanzania ilianza 1935 wakati Simba ikitokea ubavuni mwa Yanga baada ya mvurugano huo na kuunda timu nyingine inayoitwa Sunderland. Lengo sio kutaja...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali, Dkt. Abbas acha Dharau na Punguza Chuki zako kwa Msemaji wa Simba SC, Haji Manara

    Kuna Mtu Mmoja mpo nae sana huko Serikalini na katika ile Ofisi yako nyingine ya UNOKO UMBEA pale Oysterbay mkabala na St. Peter's Church aliwahi kuniambia kuwa una Dharau na Kujisikia sana nikamkatalia, ila kwa ulichofanya Leo nimemuamini kwa 100%. Leo ukiwa Dodoma umefanya Press Conference...
  18. JamiiForums Tanzania Kipindi Simba wanaanza kujipanga kwa ajili ya Msimu huu wa Ligi, sisi Yanga...

    Tulikuwa busy sana na kuandaa namna ya kuwabeba akina kisinda, Sarpong, Hersi, Mukoko n.k hii ilinipa shida kiasi kikubwa sana kwa ile imani kuwa tumesajili team kabambe na hakuna team ambayo itatuzuia. Huu wazimu nikikumbuka huwa naumia sana maana nilikuwa mmoja ya watu ambao walipinga sana...
  19. JamiiForums Tanzania Tatizo la Yanga ni "kujilinganisha na Simba"

    Wakuu Kwema? Nimekaa nimetafakari nimeona wacha niwasaidie hawa watani zangu. Afande Sele aliwahi kuuliza "Mfano Yanga Ikifa Simba itacheza na Nani?", hivyo hata kama ni Mwana Msimbazi sio vibaya nikiwasaidia. Ligi Kuu ina timu 20. Ukiiondoa Simba S.C hakuna timu katika 18 zilizobaki...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga mchunguzeni Senzo huenda ni pandikizi la Simba

    Kuna viashiria vingi kuondoka kwa Senzo Simba haikuwa bahati mbaya bali mpango mahususi wa kuiangamiza Yanga maana huyu bwana tangu ujio wake ni draw na aibu za wagosi. Hii tabia ya utani wa jadi ya kukomoana imesababisha Yanga kuokota jasusi la msimbazi wao wakidhani wanaikomoa Simba kumbe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…