Yaani Simba mkijitahidi sana Draw. El Merrekh tunashukuru kwa Ushirikiano wenu. Game tushacheza mpaka sasa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,744
Al Ahly walijifanya vidume. Tulipowaambia tuwazungushe zungushe waijue mitaa wakajidai walishacheza hii game kwao Misri. Matokeo yake ndo hayo

El Merreikh hawa wamekuwa watiifu wakati tukiwazungusha mitaa mbalimbali waifahamu Tanzania. Na Wakulungwa wamewahikikishia ushindi upo. Na zaidi zaidi kuwa wakikosa sana ni pont moja. Ila wamepewa maelezo wakifuata maelezo hata points tano katika match moja wanaweza pata. Ndio ujue mjini hapa.

Kila la kheri. Hawa Simba wametuita sisi Mbwa, wametuita sisi Nyani wametuita majina mabaya ya kutudhalilisha sana. Basi nasi tunalipiza kisasi. Hii game lazima alie mtu vibaya sana. Wale mashabiki kindakindaki mkaangalizie game karibu na Hosp. Maana wengi mtaanguka na kupata mshtuko wa moyo, ini, figo na mapafu. Simba mnalala na viatu.
 
Al Ahly walijifanya vidume. Tulipowaambia tuwazungushe zungushe waijue mitaa wakajidai walishacheza hii game kwao Misri. Matokeo yake ndo hayo

El Merreikh hawa wamekuwa watiifu wakati tukiwazungusha mitaa mbalimbali waifaham Tanzania. Na Wakulungwa wamewahikikishia ushindi upo. Na zaidi zaidi kuwa wakikosa sana ni pont moja. Ila wamepewa maelezo wakifuata maelezo hata points tano katika match moja wanaweza pata. Ndo ujue mjini hapa.

Kila la kheri. Hawa Simba wametuita sisi Mbwa, wametuita sisi Nyani wametuita majina mabaya ya kutudhalilisha sana. Basi nasi tunalipiza kisasi. Hii game lazima alie mtu vibaya sana. Wale mashabiki kindakindaki mkaangalizie game karibu na Hosp. Maana wengi mtaanguka na kupata mshtuko wa moyo,ini,figo na mapafu. Simba mnalala na viatu.
Luc Eymael ni Simba? Yule ndio kawaita hayo majina, sisi tumewaita vyura tu wasifu ambao mnao kwa kuishi bwawani pale Jangwani na kuwa na kelele nyiiiiingi, hizo mbinu zenu mlishindwa nini kuzitumia kwa Coastal Union?
 
Al Ahly walijifanya vidume. Tulipowaambia tuwazungushe zungushe waijue mitaa wakajidai walishacheza hii game kwao Misri. Matokeo yake ndo hayo

El Merreikh hawa wamekuwa watiifu wakati tukiwazungusha mitaa mbalimbali waifaham Tanzania. Na Wakulungwa wamewahikikishia ushindi upo. Na zaidi zaidi kuwa wakikosa sana ni pont moja. Ila wamepewa maelezo wakifuata maelezo hata points tano katika match moja wanaweza pata. Ndo ujue mjini hapa.

Kila la kheri. Hawa Simba wametuita sisi Mbwa, wametuita sisi Nyani wametuita majina mabaya ya kutudhalilisha sana. Basi nasi tunalipiza kisasi. Hii game lazima alie mtu vibaya sana. Wale mashabiki kindakindaki mkaangalizie game karibu na Hosp. Maana wengi mtaanguka na kupata mshtuko wa moyo,ini,figo na mapafu. Simba mnalala na viatu.
Nyie ni nyani,kima,mbwakoko,vyura, Kwasukwasu Gongowazi Kandambili Kidimbwi Yeboyebo na kila takataka,kwa upuuzi huu ukiandika majina haya yanafiti kwa asilimia zote.
FB_IMG_1614878436285.jpg
 
Al Ahly walijifanya vidume. Tulipowaambia tuwazungushe zungushe waijue mitaa wakajidai walishacheza hii game kwao Misri. Matokeo yake ndo hayo

El Merreikh hawa wamekuwa watiifu wakati tukiwazungusha mitaa mbalimbali waifaham Tanzania. Na Wakulungwa wamewahikikishia ushindi upo. Na zaidi zaidi kuwa wakikosa sana ni pont moja. Ila wamepewa maelezo wakifuata maelezo hata points tano katika match moja wanaweza pata. Ndo ujue mjini hapa.

Kila la kheri. Hawa Simba wametuita sisi Mbwa, wametuita sisi Nyani wametuita majina mabaya ya kutudhalilisha sana. Basi nasi tunalipiza kisasi. Hii game lazima alie mtu vibaya sana. Wale mashabiki kindakindaki mkaangalizie game karibu na Hosp. Maana wengi mtaanguka na kupata mshtuko wa moyo,ini,figo na mapafu. Simba mnalala na viatu.
Lini mliwahi sema Simba mechii hii mnashinda? Tunawajua hatuna shida nanyi ndio mlivyo

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Al Ahly walijifanya vidume. Tulipowaambia tuwazungushe zungushe waijue mitaa wakajidai walishacheza hii game kwao Misri. Matokeo yake ndo hayo

El Merreikh hawa wamekuwa watiifu wakati tukiwazungusha mitaa mbalimbali waifaham Tanzania. Na Wakulungwa wamewahikikishia ushindi upo. Na zaidi zaidi kuwa wakikosa sana ni pont moja. Ila wamepewa maelezo wakifuata maelezo hata points tano katika match moja wanaweza pata. Ndo ujue mjini hapa.

Kila la kheri. Hawa Simba wametuita sisi Mbwa, wametuita sisi Nyani wametuita majina mabaya ya kutudhalilisha sana. Basi nasi tunalipiza kisasi. Hii game lazima alie mtu vibaya sana. Wale mashabiki kindakindaki mkaangalizie game karibu na Hosp. Maana wengi mtaanguka na kupata mshtuko wa moyo,ini,figo na mapafu. Simba mnalala na viatu.
Unateseka ukiwa wapi
 
Kila la kheri. Hawa Simba wametuita sisi Mbwa, wametuita sisi Nyani wametuita majina mabaya ya kutudhalilisha sana. Basi nasi tunalipiza kisasi. Hii game lazima alie mtu vibaya sana. Wale mashabiki kindakindaki mkaangalizie game karibu na Hosp. Maana wengi mtaanguka na kupata mshtuko wa moyo,ini,figo na mapafu. Simba mna

Al Ahly walijifanya vidume. Tulipowaambia tuwazungushe zungushe waijue mitaa wakajidai walishacheza hii game kwao Misri. Matokeo yake ndo hayo

El Merreikh hawa wamekuwa watiifu wakati tukiwazungusha mitaa mbalimbali waifaham Tanzania. Na Wakulungwa wamewahikikishia ushindi upo. Na zaidi zaidi kuwa wakikosa sana ni pont moja. Ila wamepewa maelezo wakifuata maelezo hata points tano katika match moja wanaweza pata. Ndo ujue mjini hapa.

Kila la kheri. Hawa Simba wametuita sisi Mbwa, wametuita sisi Nyani wametuita majina mabaya ya kutudhalilisha sana. Basi nasi tunalipiza kisasi. Hii game lazima alie mtu vibaya sana. Wale mashabiki kindakindaki mkaangalizie game karibu na Hosp. Maana wengi mtaanguka na kupata mshtuko wa moyo,ini,figo na mapafu. Simba mnalala na viatu.
Ninachokuomba tu ni kuwa usiutelekeze uzi wako wakati wa mechi na baada ya mechi kama ilivyo kawaida ya utopolo!!
 
Back
Top Bottom