Simba SC kuingia na basi jipya la wachezaji leo

Headcorner

Senior Member
Nov 26, 2020
188
277
Timu ya Soka ya Simba leo kwenye mchezo wake wa klabu bingwa inatarajiwa kuingia na bus jipya la wachezaji lilionunuliwa na mdhamini wa team hiyo Mohamed Dewji

IMG-20210403-WA0006.jpg

Bus jipya la Simba likibandikwa sticker
 
Kwa mabus yaendayo mikoani sijaona kampuni ya TATA..ila Kagera Sugar wanalo pia
Lakini ujue kuwa hilo sio bus la biashara as in kuwa linapiga ruti kila siku. Hilo linatumika kwa special events tu na team ikienda mikoa ya mbali wanakwea mwewe.

Kwahiyo hata kama performance ya TATA ikiwa iko chini zaidi ya Scania, Yutong n.k lakini bado kwa matumizi yaliyokusudiwa ni bus linalofaa.
 
Back
Top Bottom