Je! Simba SC wanacheza Mechi ya Dabi leo km walivyosema?

Bueno

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2022
Posts
34,609
Reaction score
59,655
Nauliza tu, wadau Simba SC walisema leo ndio wanancheza Dabi tofauti na tarehe nyingine yoyote.

Je! Tayari Simba SC washapeleka timu uwanjani km walivyosema? Au ndio kutishiana Nyau?
1749896899154.jpg
 
5imba ni kama ACT, mara oo Linda Kura, wakati kanuni walizosaini ni kuufyata nyumbani baada ya kupiga kura
Yanga ni kama CDM wana msimamo balaa, NoReforms No ELection, Bila Mabadiliko Bodi ya Ligi, Hakuna Debi
Screenshot_20250613-122647~2.png
 
Mama samia ametunyima hivi hivi pointi zetu 3 za mezani, na magoli 3!! 😭😭

Yaani mpaka muda huu, mwamuzi wa kati Kepha Kayombo pamoja na wasaidizi wake Tatu Malogo, Amina Kyando, na Japhet Smart wangekuwa wameshaingia uwanjani na kusubiri dakika 15; kabla ya kupuliza kipyenga cha kumaliza mchezo! Na timu yetu kuondoka uwanjani na pointi 3 muhimu.
 
Kwa hio mmerudi wapi sasa hivi na hao waamuzi wenu wa Mchongo wakina Tatu Malogo na Amina Kyando?
 
5imba ni kama ACT, mara oo Linda Kura, wakati kanuni walizosaini ni kuufyata nyumbani baada ya kupiga kura
Yanga ni kama CDM wana msimamo balaa, NoReforms No ELection, Bila Mabadiliko Bodi ya Ligi, Hakuna Debi
Mawazo mabaya yalinitembelea, nikawaza Yanga iwe Chama Cha siasa hapa nchini.
 
Hakuna msimamo wowote Mkuu. Angalia Simba App wameweka mechi Juni 25. Mwendo wamateka tu.
Ishanyesha tayari wamelowaaa tarehe 25 ni mwendo wa maji tu wataloa jinsi moto utakavyokua unapelekwa
 
Back
Top Bottom