simba

  1. FT: Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa

    Patashika ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup (ASFC), hatua ya robo fainali, kupigwa leo Jumatano ya Mei 26, 2021 ambapo Mabingwa Watetezi Simba SC, wanawakaribisha Dodoma Jiji FC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mchezo unatazamiwa kuwa mkali sana kwa kila timu...
  2. U

    Thamani ya Simba Sports Club

    Najiuliza na kutafakari hivi thamani ya Simba Sports Club bado ni billion 20 au itakuwa imeongezeka kufuatia mafanikio waliyopata kwenye michuano ya Cafcl. Naamini thamani ya klabu za mpira huongezeka kutokana na uimara wa uchezaji na kukua kwa brand ya timu. Nawakilisha
  3. Upepo wa Wiki hii si mzuri sana ' Kinyota ' Simba na Yanga chezeni ' Kiumakini ' mno mechi zenu za ASFC Leo Shinyanga na Kesho Dar es Salaam

    Yanga SC huko CCM Kambarage au Mwadui (Mkoani) Shinyanga ambako mtacheza leo na Timu iliyoshuka VPL ya Mwadui GENTAMYCINE nawaonya na kuwaomba ichezeni kwa Nidhamu na Umakini ili isije ikawa Aibu japo najua Ushindi Kwenu Kiuwezo na Kiufundi ni wa 99%. Simba SC Kesho mkiwa Benjamin Mkapa Stadium...
  4. Wakala wa Meddie Kagere, Mnyarwanda Patrick Gakumba atoa siri nzito za Kocha wa Simba SC Didier Gomez Da Rosa

    "Huyu Kocha nimejuana nae Siku nyingi hata kabla ya kuja hapo Simba SC. Anafanya mambo ambayo najua yatakuja Kumrudia na ataumbuka kwani hata Mwenyezi Mungu anayaona na atamuadhibu. Ana Chuki Binafsi na Mimi kwakuwa nilikataa Kumpigia Chapuo kwa Ushawishi wangu mkubwa katika Soka la hapa nchini...
  5. Je, picha rasmi ya Rais Samia Hassan (Hijab Nyekundu) ilizingatia "Soccer Diplomacy" baina ya Simba na Yanga?

    Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums Official Portrait ya mkuu wa nchi/serikali sio lazima iwe ya rangi nyekundu. Watanzania acheni kukariri. ========== ========== Mama yetu anaweza kwenda na Hijab Nyekundu kutazama mechi ya Simba na Yanga? Ni nani alimshauri Rais wetu kipenzi mama Samia...
  6. Wakati wana Yanga wakiwacheka wana Simba kwa Kutokufuzu, Mchanganuo huu Muhimu wa Alama unawahusu na wauelewe vyema pia

    Ufuatao ni Mchanganuo wa Alama wa kwanini Msimu ujao katika Michuano ya Kimataifa Tanzania inaingiza takribani Timu Nne. Simba SC imechangia Alama (Points) 24 kutokana na Kushiriki Kwake na Kufanya vyema kwa Kujitahidi Kufika hadi Robo Fainali kwa miaka Miwili. Namungo FC imechangia Alama...
  7. CAF Team of the Week: Simba Sc waingiza watano

    Yumo Bocco, Chama, Miqsone, Kapombe na Tshabalala. Simba ni timu kubwa sana Afrika hii
  8. N

    Simba SC ni baba anayeishi na mtoto snitch msaliti wa hali ya juu

    kwa mara ya pili in 3 years ligi ya Tanzania inaenda kuingiza teams 4 Afrika leo hadi biashara na kmc wanapambania nafasi ya 4 sababu lolote linaweza kutokea,lakini anayesababisha yote hayo anapigwa vita kwelikweli yaani ni vita kweli soyo ya maneno tu ni ya vitendo: Mwaka juzi kuna team...
  9. E

    Wanaojua kandanda wamesema Morrison ndiye aliyemaliza matumaini ya Simba kupindua meza

    Kwa nini wamesema hivyo? Kwa sababu ni yeye ndiye aliyekata move ya bao la pili, bila kufanya ile trick ya kipumbavu mpira ungeendelea na Simba walikuwa katika hatua ya mwisho ya kupata bao la pili kabla ya half-time. Inafanana kabisa na circuit ya umeme ukate kipande cha carbon basi...
  10. K

    Kwa kweli leo nimewakubali wachezaji wa Simba

    Leo kusema ukweli wachezaji wametufurahisha sana japo mimi ni Yanga. Penye ukweli lazima tuseme ukweli. Hongereni sana wana Simba.
  11. Tunawashukuru Kaizer Chiefs kwa Ushirikiano. Simba hatafuzu hata akisaidiwa kucheza na Mitume

    Tumeshirikiana na Kaizer Chiefs vizuri. Dawa zinafanya kazi. Waganga wetu na wao wamemaliza game. Simba leo Hatoweza kufuzu. Hata akiwaweka mitume kwenye team yake wamsiadie Simba ndo anaishia hapa leo. Nipo tayari kupigwa Ban ya mwezi mzima. HAIWEZEKANI SIMBA KUFUZU HATA WALETE MIZIMU WACHEZE...
  12. Bila Barakoa hutaruhusiwa kuwaona Simba na Kaizer Chiefs

    Ni vema mkalijua hilo mapema
  13. Je, umesikia nini cha nje ya Uwanja (Kamati za Umafia na Uchawi) kuelekeaa 'Mtanange' wa leo wa Simba SC na Kaizer Chiefs FC?

    Nilizonazo hadi Asubuhi hii ni kwamba Wachezaji wa Kaizer Chiefs FC Usiku hawakulala Mbezi Beach bali wamelala Ubalozini Kwao na kule Hotelini Mbezi Beach wamebaki wale wasiocheza leo. Nilizonazo hadi Asubuhi hii ni kwamba kuna aliyekuwa Kiongozi Mmoja wa Simba SC (sasa yupo Yanga SC) kwa...
  14. Simba, vitendo vyenu vya kishirikina vinaharibu taswira ya soka la Tanzania

    This is Simba. Vitendo Kama hivi vinachefua na kuharibu taswira nzima ya soka la nchi yetu. Serikali ikemee vikali tabia hizi
  15. J

    Simba imefanikiwa kupata nyani (seng'wa) mwenye vidole 5 mguu wa kulia na 4 mguu wa kushoto milima ya Uluguru, Simba 5 Kaizer Chiefs 0!

    Game imeisha Simba inaelekea nusu fainali kwa mbinu ile ile waliyoitumia kuwatoa Mufulira Wonders ya Zambia kwenye mtanange unaofanana kwa 100% na huu. Hatimaye Simba wamempata nyani kama yule wa wakati ule aliyefanikisha ushindi ule. Safari hii shukrani za pekee zimwendee babu tale wa...
  16. Silazimishi (Siwalazimishi) ila kwa Kikosi hiki kama Kikipangwa Kesho huenda Malaika wote na Mungu nae akawa upande Wetu Simba SC

    1. Aishi Manula 2. Shomari Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Kennedy Juma 5. Joash Onyango 6. Thadeo Lwanga 7. Jose Miquissone 8. Muzamiri Yasini 9. Chris Mugalu 10. Clatous Chama 11. Bernard Morrison Wachezaji wa Akiba wawe hawa tu 1. Beno Kakolanya 2. David Kameta ' Duchu ' 3. Pascal Wawa 4...
  17. Yanga tusicheze na Simba mpaka kesi zetu zitolewe uamuzi na TFF

    Kama kudharaulika tumedharaulika vya kutosha. Viongozi wa Yanga wakati wa kusimama.pamojasasa Hawa TFF wawe na heshima kwetu. Tunaomba msikubali cheza na Simba mpaka watujibu kesi zetu zote. Yanga timu inayojiongoza na heshima yake watujibu kwanza; barua zote zile kesho mtasikia na za timu...
  18. Simba tulete nyuki za Gwambina tunaweza shinda

    Kama mtanzania mpenda utaifa Sioni simba kupita kwenye mechi ijayo. Nashauri kuna nyuki zinatokea kila mara mechi gwambina tunaweza waa,zima kwa mda kwenye mechi yetu na kuwarudisha. Otherwise tumwombe dk mwamposa afanye maombi sikumoja kabla ya mechi na wachezaji wapakwe mafuta miguuni...
  19. B

    TFF wanatatizo gani jamani kwanini Simba haichezi katikati ya wiki kisa maandalizi?

    Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana kuhusu ligi yetu. Ukiangalia Chelsea kacheza Jumamosi na Jana iumanne kacheza why Simba tunawekwa ubwete sana. Niwaambie viongozi wa Simba kama wanaona kukaa tu bila kucheza mechi kisa mashindano ya kimataifa tunashusha viwango vya wachezaji. Mimi ni...
  20. Kama hili ni kweli na siyo Uzushi tu nitaanza kumdharau Mo Dewji na Watendaji wake wa Simba SC wanaomzunguka

    Ni nani aliyowaambia kuwa Kiufundi (hasa katika Mpira) Timu yako ikiwa imefungwa katika ' Margin ' kubwa ili nayo Kulipiza Kisasi (Kupundua Meza) Wachezaji wanatakiwa waahidiwe Magari ya Kifahari na kila Goli watakalofunga litanunuliwa kwa Tsh 260 Milioni? Hizi Ahadi ndizo zitafanya Mabeki wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…