Ni Simba Sports Club Dhidi Ya Jwaneng Galaxy Fc Kutoka Botswana.
Baada ya Mechi Iliyopita Simba Sc Kuibuka na Ushindi wa Goli Mbili Bila Ugenini, Leo Jwaneng Galaxy Wanakuwa na Kibarua Kizito mbele ya Miamba ya Soka Afrika Simba Sc kuhakikisha Wanapata Ushindi Wa Goli 3 bila Dhidi ya Wenyeji Wa...
1. Meneja Patrick Rweymamu
2. Mratibu Abbas
3. Kipa Aishi Manula
4. Beki Shomary Kapombe
5. Beki Pascal Wawa
6. Nahodha John Boko
7. Kocha Selemani Matola
Ninaotaka wabakie tu katika Benchi la Ufundi ni Mfia Timu Kocha wa Viungo na Kocha wa Makipa ambaye nimehakikishiwa na Mtu wa ndani...
Chris Kope Mushimba Mugalu ni straika ambaye tangu aje Simba amekuwa katika lawama na shutuma za kiwango chake, imefikia hatua hata mashabiki wake hawampendi.
Ila jamaa ni bonge la straika, anapokuwepo kwenye timu anafanya wachezaji wa timu pinzani kuanzia watatu hadi wanne wasipande mbele kwa...
Mnaweza Kuwalaumu Wachezaji, lakini kwa ubora ule wa wakina Sakho, Kanoute na Banda ni vigumu sana kwa mtu mwenye akili kichwani kutarajia makuu kutoka kwao.
Mnaweza kumlaumu kocha lakini kwa wachezaji alioletewa na Mo Dewji...anakosewa heshima. Licha ya kuwa Didier GOMES sio mwalimu mwenye...
Inashangaza kwa kweli.
Yaani sasa hivi watu wamejaa mihemko tu na kuabudu watu fulani tu.
Yaani wanatamani kama team ya mpira inayofanya vizuri iwe Simba au Yanga.
Kama ni msanii, wanataka awe msanii wao tu Alikiba, Harmonize, au Diamond
Kama ni siasa wanaamini mtu wao yeye ni malaika...
Simba ni kama maji.
Ndio team pekee inayotung'aalisha kimataifa.
Ninaweka mapendekezo yangu ya formation ya leo.
Lengo ni kwamba leo tunataka kufunga mengi.
Mmefanikiwa kuwahujumu wasisafiri kwenda Libya kisa waliwabana mkatoka droo.
Mna ushaidi gani yanga alitoa pesa kwamba Simba afungwe na biashara?
Kwa kuwatumia watu wa kushughulikia vibari mmechomeka rushwa ili wakwamishe vibari vya kusafiri?
Mtu wa Kwanza aliyeihujumu Biashara Ni Rais wa TFF...
mlezi anaweza kutafuta milioni 15 fastafasta kwenye mechi vs simba(hata kama ni za wauza magodoro) ila kwenye issue muhimu akihojiwa anakuambia siwezi toa hela zangu za mshahara
sasa pre match meeting huko benghazi libya imemalizika , Baadaye AHLY TRIPOLI wanaingiza team uwanjani watakaguliwa...
Kudadadadeeeki Mwijaku oyeeeeeeee shikilia hapohapo hapo hapoooooooo Mwijaku kasababisha sukule lopolopo la dunia kukiri kwamba liliajiriwa simba jamaa ni BIPOLAR CASE last week lilitoa mkwara kwamba linafungua case kwa kufanyishwa kazi bila kuajiriwa leo linakiri kwamba limeajiriwa
kwenye...
Nianze na hasara sababu ni nyingi:
*Tofauti na kale ka dada, Mwijaku hajui mpira ni shabiki hoyahoya ukimuambia akuachambulie hata formation za mpira ni debe tupu.
*Ni lolopolopo haswa halijui kuchuja maneno hana tofauti na lile tambara tulilolitupa
*Akili yake ni kujikweza yeye na kutaka...
Ukiona akina GENTAMYCINE wanamkataa Mtu jua ya kwamba huwa hatukosei kwani wengine tumeshabarikiwa Maono ya Kifalsafa na Mwenyezi Mungu.
Wakati nikimkataa mapema tu Mhamasishaji Mkuu mpya wa Simba SC 'Samjo Samjo' Mwinjaku muda si mrefu Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu amekasirishwa na...
Yaani kwakuwa tu alitumia mwanya wa Ugomvi wa aliyekuwa Msemaji wetu Haji Manara na kuanza Kumjibu kisha akaanza Kujipenyeza kwa CEO Barbara, Siku ya Simba Day akahonga 'Stewards' pale kwa Mkapa ili aende VVIP akapige Picha na Mwekezaji Mohammed Mo Dewji kisha akautumia ukaribu wa Kibiashara wa...
Kuna kasumba inayoendelea ya kuusu mwijaku kupewa kitengo cha huamasishaji watu kubeza naona kama wanakosea yule ni mwahamasishaji na wala si afisa habari wa timu.
Kwa mpira wa bongo ulivyo tunaitaji watu kama hawa ili game ichangamke timu inaitaji hamasa naona kwa Mwijaku
nafasi hiyo kwa...
Kama mechi za round ya kwanza ni timu 3 tu zilizopata matokeo ugenini. Kama hujui nakujuza kwamba timu zilizocheza ugenini ndio timu bora kuliko wenyeji, ndio maana miongoni mwao timu 10 zimeanzia hazikucheza preliminary stage.
Katika timu hizo Simba Sc imefunika zote ikifuatiwa na Raja...
Nawasalimia wana Msimbazi wenzangu!
Nimesikitishwa na mpira unaochezwa na timu yetu pendwa ya Simba (Lunyasi), timu siku hizi inacheza mpira mbaya sana, mpira makande, magoli yetu yenyewe yanapatikana kipapatupapatu kama ya utopolo. Leo nimeona takwimu eti Simba katika mechi 2 za ligi ndo...
Hamjatutangaza vibaya Watanzania na Tanzania ya sasa ya Rais Samia kama 'Wendawazimu' wengine ambao Furaha yao na Ubingwa pekee walionao ni Kukusanya Waganga wa Kienyeji nchi nzima, Kukata Kiganja cha Mtoto Mkoani Tanga na kwenda Kuroga eneo hatari la Nungwi kwa Msaada wa Boti ya Taasisi Moja...
Be Sports wameonyesha utabiri wa Simba kupoteza mechi ya leo.
Najua Yanga wataisapoti analysis hii na Simba fans wataiponda na hii ndio raha ya mpira duniani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.