simba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Simba kupigwa faini na CAF limekwisha na maisha lazima yaendelee

    Tuna tatizo la kujadili mambo mabaya na kuacha mazuri. Ni kweli lile ni kosa na limeshafanyika na Simba imeshapigwa faini limekwisha na kama kujifunza tumejifunza. Kuna mambo mengi sana kwenye soka la Afrika. Ila hatupaswi kuiga mambo mabaya. Kosa limeshatokea na tumeadhibiwa kwa kosa hilo...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Subiri ujionee sasa: faini hii ya simba itashikiwa bango na"wachambuzi" kinoomanooma

    Yaani shuzi limepata mjambaji ndugu zangu, kesho vipindi vya asubuhi haswa kile cha Efm lisaa lizima topic itakuwa ni faini ya milion 23 kwa simba kuna mtangazaji mwenye kidoti atakuwa anazunguruka kwenye kiti na kutikisa mabega kwa masham sham huku akipiga simu kwa Mangungu, ahmed Ally na...
  3. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC nawarahisishieni Kazi Wachezaji Wageni wa Kuachwa wawe ni hawa wafuatao tu

    1. Chris Mugalu 2. Pascal Wawa 3. Meddie Kagere 4. Bernard Morrison 5. Saido Kanoute 6. Thadeo Lwanga Kwa Wazawa ninawaachieni Wenyewe.
  4. JamiiForums Tanzania Tulioona mapema kuwa Bernard Morrison hatufai Simba SC na aachwe, ila 'tukatukanwa' na 'kudhihakiwa' Mitandaoni tuombwe Radhi tafadhali

    Binafsi naanza kusubiri Kuombwa Radhi zenu hizo kwani nilishaona Kitambo matatizo ya huyu Mchezaji, nikapaza sana Sauti hapa Jamiiforums kuwa aachwe mara moja na nikaishia Kutukanwa na Kudhihakiwa kama kawaida ya 'Mapopoma' wengi waliojazana. Ahsante Mwenyezi Mungu kwa Maono.
  5. JamiiForums Tanzania Simba ina mengi ya kujifunza kwa Petro de Luanda

    Hawa jamaa wanacheza kama wako kwao. Jamaa wana timu nzuri na wachezaji hawakosei pass wala kushindwa kujiamini. Unatazama soka mpaka unafurahia. Tuna mengi sana kujifunza kwa nia nzuri tu!
  6. JamiiForums Tanzania Simba Queens yatwaa ubingwa mara 3 mfululizo

    Hongera warembo
  7. JamiiForums Tanzania Chadema walivaa jezi za Simba katika mkutano wa Baraza kuu? Fred Vunjabei, tifafanulie

    Inasemekana Fred Vunjabei alikuwa na stoku maalum ya jezi kwa ajili ya mashabiki maalum wa Simba, lakini hazikuuzika vizuri msimu huu, hivyo Chadema walienda kwenye magodown yake na kuomba wauziwe kwa Mali kauli, lakini mpaka Leo hawajalipa!
  8. U

    JamiiForums Tanzania News alert: Klabu ya Simba Yamtema rasmi Morrison

    Tafadhali fungua kiambatanisho chenye taarifa rasmi Kutoka Klabu ya Simba KaziIendelee Ubingwa kwa Wananchi uko palepale
  9. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda. Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu...
  10. JamiiForums Tanzania Mwakalebela: Simba inafunga magoli ya offside

    Kupitia ukurasa wa Twitter wa Darmpya Blog, imemnukuu Fredrick Mwakalebela akisema "Simba jana (Dhidi ya Kagera Sugar) wamefunga goli la Offside, goli la pili lilikuwa ni la Offside, goli la John Bocco lilikuwa ni Offside, mimi nilidhani ni beki wa Kagera kumbe ni John Bocco, Simba inafunga...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Halima usishupaze shingo omba radhi urudi kundini, jifunze kwa Sofia Simba na Membe

    Mifano iko mingi, najua Chadema unaipenda na Chadema inakupenda pia tatizo ni wewe kujiona unauwezo kukizidi chama, viongozi wako unawaita wahuni? Jishushe, bado naiona future yako ndani ya Chadema na si kwingineko. Membe, Lowassa, Kinana, Makamba sr, Nyalandu, Sumaye walijaribu kutofautiana na...
  12. JamiiForums Tanzania Simba Inahitaji "Msema Utumbo" mmoja, Ahmed hawezi

    Kwa Wajihi na Kaliba ya kimuonekano ya Bw Ahmed Ally hafananii kabisa na wala hana uwezo huo linapokuja swala la kutaka kutupa dongo, na haswa kama anataka kujibizana na Msema hovyo wa ile Timu Pinzani ya Uto. Huwa nakunja vidole(cross fingers) kila mara anapozungumza Bw Ahmed Ally kwa kutamani...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC jitahidini na famyeni kila fitna ili Simba SC leo isimfunge Kagera Sugar FC 'kwa Mkapa' kwani ikishinda tu Ubingwa mnaukosa na hamtoamini

    Kwa Mkakati ulioko Simba SC anaweza akasababisha Maafa Yanga SC kwa Kuukosa Ubingwa waliodhania ni Wao. Mwambieni Mayele amlipe Mganga wake.
  14. JamiiForums Tanzania Taarifa rasmi ni kuwa Clatous Chama ataendelea kukosa michezo ya Simba

    Baada ya tetesi nyingi ikiwemo kuelezwa amekosana na kocha wake, taarifa nyingine za ndani zinaeleza kuwa kiungo fundi wa Simba, Clatous Chama hataonekana kwenye mechi wala mazoezini kwa mwezi mmoja kutokana na kuwa majeruhi. Chama ambaye alikuwa akilipwa mshahara wa Tsh. Milioni 50 kwa mwezi...
  15. JamiiForums Tanzania Tupeane yanayojili katika mech ya Simba Vs Ruvu shooting hapa

    Kwanza weken kikos hapa Karibun
  16. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli simba imetengeneza kinywaji simba cola au magumashi?

    Heeeeee ya kweli haya wandugu? naona logo ya Metl kama kweli basi kila la heri, i like it, nitazinywa sana
  17. JamiiForums Tanzania Za ndani kabisa; Chama na simba kimenuka, arudi kwao

    Taarifa za chini ya uvungu ni kuwa kiungo mshambuliaji chama amerudi kwao kwanza sababu ya mgogoro wake na simba. Ikiwa ni swala la yeye kutoiva na kocha hatari kutoka real Madrid Pablo franco, Ukiachana na wao wawili kupigana majuzi baada ya derby dhidi ya yanga. Pia inaelezwa kwamba simba...
  18. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Leo ni miaka 10 tangu Simba amfunge Yanga 5-0

    Tarehe kama ya leo miaka 10 iliyopita, Timu kubwa kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Simba Sports a.k.a Lunyasi walimnyoa Yanga jumla ya magoli 5-0. Unakumbuka nini kuhusu mechi hii? Karibu sana mwanasimba utukumbushe miaka 10 ya mechi hii...
  19. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally alamba hundi kwa utendaji uliotukuka Simba Sc

    Mzee wa kipaza cha sumu ya panya,mende hongera sana
  20. M

    JamiiForums Tanzania Japo Mimi ni Simba SC lia lia, ila kwanini nimesikitika Yanga SC juzi kutoka Sare ma Ruvu Shooting FC Kigoma?

    Majibu yangu...... Endapo Simba SC itamfunga Ruvu Shooting FC Siku ya Jumapili tofauti ya Alama ( gap ) na Yanga SC itakuwa ni Alama ( Points ) Kumi ( 10 ) Endapo katika hizi Tano kati ya Saba Yanga SC ilizozibakisha atakazocheza na Prisons, Mbeya City, Coastal Union, Mtibwa Sugar na Biashara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…