simba

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Taarifa rasmi ni kuwa Clatous Chama ataendelea kukosa michezo ya Simba

    Baada ya tetesi nyingi ikiwemo kuelezwa amekosana na kocha wake, taarifa nyingine za ndani zinaeleza kuwa kiungo fundi wa Simba, Clatous Chama hataonekana kwenye mechi wala mazoezini kwa mwezi mmoja kutokana na kuwa majeruhi. Chama ambaye alikuwa akilipwa mshahara wa Tsh. Milioni 50 kwa mwezi...
  2. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Tupeane yanayojili katika mech ya Simba Vs Ruvu shooting hapa

    Kwanza weken kikos hapa Karibun
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli simba imetengeneza kinywaji simba cola au magumashi?

    Heeeeee ya kweli haya wandugu? naona logo ya Metl kama kweli basi kila la heri, i like it, nitazinywa sana
  4. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Za ndani kabisa; Chama na simba kimenuka, arudi kwao

    Taarifa za chini ya uvungu ni kuwa kiungo mshambuliaji chama amerudi kwao kwanza sababu ya mgogoro wake na simba. Ikiwa ni swala la yeye kutoiva na kocha hatari kutoka real Madrid Pablo franco, Ukiachana na wao wawili kupigana majuzi baada ya derby dhidi ya yanga. Pia inaelezwa kwamba simba...
  5. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Leo ni miaka 10 tangu Simba amfunge Yanga 5-0

    Tarehe kama ya leo miaka 10 iliyopita, Timu kubwa kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Simba Sports a.k.a Lunyasi walimnyoa Yanga jumla ya magoli 5-0. Unakumbuka nini kuhusu mechi hii? Karibu sana mwanasimba utukumbushe miaka 10 ya mechi hii...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally alamba hundi kwa utendaji uliotukuka Simba Sc

    Mzee wa kipaza cha sumu ya panya,mende hongera sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Japo Mimi ni Simba SC lia lia, ila kwanini nimesikitika Yanga SC juzi kutoka Sare ma Ruvu Shooting FC Kigoma?

    Majibu yangu...... Endapo Simba SC itamfunga Ruvu Shooting FC Siku ya Jumapili tofauti ya Alama ( gap ) na Yanga SC itakuwa ni Alama ( Points ) Kumi ( 10 ) Endapo katika hizi Tano kati ya Saba Yanga SC ilizozibakisha atakazocheza na Prisons, Mbeya City, Coastal Union, Mtibwa Sugar na Biashara...
  8. Cannabis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mfuko wenye picha ya simba wazua taharuki kwa wakazi wa kijiji cha Mutiribu

    Wakaazi wa kijiji cha Mutiribu, kaunti ya Meru walipigia simu Huduma ya Wanyama Pori KWS kuja kumnasa ‘simba’ aliyekuwa amejificha kichakani karibu na makazi yao Ila maafisa hao walipofika mahali hapo waligundua kuwa ‘simba’ huyo alikuwa ni mfuko wa Supermarket ya Carrefour. =========...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Vita ya Clatous Chota Chama Vs Pablo mmoja kuondoka SIMBA

    Tetesi kutoka msimbazi ni kuwa kiungo wa Simba,Clatous Chotta Chama na Kocha Mkuu Pablo Franco walirushiana maneno kwenye vyumba vya kubadilishia nguo Aprili 30, 2022 katika mchezo wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga. Inaelezwa tukio ndilo lililisababisha Pablo kumtoa Chama na nafasi yake...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC Wenzangu mtanisamehe, ila Goli la Chirwa lililokataliwa 100% ni sahihi na tumlaumu Kocha Pablo kwa Ubovu wake

    Hivi Kocha mwenye Akili Timamu unawezaje kuwaanzisha Wachezaji Waandamizi na waliotumia Nguvu Kubwa katika Derby badala ya Kuwatumia wale wasiokuwa na Nafasi na ambao hata Kiufundi tu Mechi hi ndiyo ingewafaa? Hivi leo Pablo Franco Martin angeanza na Kikosi hiki nani angemlaumu hata kama...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kocha Pablo Kagombana na Clatous Chama wapatanishwe haraka kwa Faida ya Simba SC

    Waligombana katika Mechi ya Derby Timu ilipokuwa Vyumbani kwa Chama kuzikataa Mbinu za Kocha Pablo ambazo aliziona zisingesaidia mbele ya Yanga SC na Kocha kuona anadharaulika. Tafadhali Simba SC hasa Msemaji Ahmed Ally usilificbe hili kwani nina uhakika nalo 100% kwakuwa ndani ya Simba SC yako...
  12. NguoYaSikuKuu

    JamiiForums Tanzania Simba hizi ndio level zetu sasa, tusishangae tujiandae mwakani.

    Tuna wachezaji wa kawaida sana ndo level zao hizo. Tofauti na Aishi Manula, Beki kama Zimbwe Jr, Henock Inonga, Achieng Onyango, Shomari Kapombe. Wengi wanacheza chini ya kiwango sana. Huwezi kupata magoli kama una forward aina ya Mugalu na Kiungo kama cha Mkude, Kanoute na Mzamiru. Tuna Kocha...
  13. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Bodi Simba Jitafakari

    Tuwe wakweli, Simba haina consistence kwenye uchezaji kiasi sisi kama mashabiki wa Simba kea msimu huu tunaishi kwa matumaini zaidi kuliko tunavyopaswa tuishi. Simba inaweza kucheza mpira kwa kiwango cha juu sana katika game A lakini ikaja kucheza mchezo mbovu usio mfanowe kwenye game B. Hili ni...
  14. Kitambi chakufutia tachi

    JamiiForums Tanzania Namungo FC VS Simba SC

    Assalamu Alaykum. Kheri ya EID EL FITR wana jf wote leo itachezwa mechi kali kati ya NAMUNGO FC watakaoikaribisha SIMBA SC katika uwanja wa ILULU mkoani LINDI majira ya 10:00 jioni. Kwa masimulizi mubashara ya mtanange huu wa kukata na shoka baki katika uzi huu. EID MUBARAK...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Masau Bwire tumechoka na Tambo zako zisizo na maana kila Timu yako ya Ruvu Shooting FC ikicheza na ama Yanga SC au Simba SC

    Nakushauri tu Mwalimu Masau Bwire ( Msemaji wa Ruvu Shooting FC ) uwe unanyamaza tu kwani Tambo zako huwa haziendani na Ufanisi wa Timu yako Uwanjani pale ikikutana na Yanga SC au Simba SC sanasana huwa unaishia tu Kufungwa idadi Kubwa ya Magoli. Tumekuchoka na Unatuboa sana Kaka!!
  16. Aaron Arsenal

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba SC na Yanga SC ushirikina ndio ulitawala

    Najua mlioangalia game kwa TV kuna matukio hamkuoneshwa acha niwaibie kidogo; Inonga na Ntiba, ndio walikua waamuzi wa game (wazee wa hesabu na namba). Kwanza wote hawakupiga picha za pamoja (picha ya kikosi) sababu kila mtu alikua anamtegea mwenzie nani awe wa mwisho kuingia Pili Inonga...
  17. Kitambi chakufutia tachi

    JamiiForums Tanzania CAF Wanaipenda sana Simba

    Katika ukurasa rasmi wa CAF klabu bingwa na shirikisho wakiwatakia kheri WAISLAMU wanaosherehekea EID EL FITR siku ya leo wameweka picha yenye wachezaji wa timu nane zilizofuzu nusu fainali ya klabu bingwa na shirikisho wakaweka na picha ya mchezaji mmoja tu kutoka katika timu ambayo haipo nusu...
  18. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba SC tunahitaji kujitafakari

    Sisi mashabiki wa simba tunaitaji kujitafakari, ifike muda tukubali kuwa wenzetu upande wa pili wamejipanga kutuzidi sisi kwenye huu msimu, kitu ambacho tulikua tunajidai nacho ni ushiriki wetu kwenye michuano ya kimataifa lakini baada ya kutupwa nje kwenye michuano hiyo kwa sasa tumeanza...
  19. American Dream

    JamiiForums Tanzania Simba SC. Timu pekee inayoipa hadhi ligi Tanzania

    Habari wadau!!! Naenda Moja kwa Moja kwenye mada kama kichwa Cha habari kinavyojieleza; Mpaka Sasa Simba Sports Club ni timu pekee kwa Tanzania inayokuza ligi ya Tanzania na kuipa hadhi hata nchi za jirani kama Malawi, Zambia, Zimbabwe hapo sijaweka East Africa. Inaiwakilisha Tanzania...
  20. hiram

    JamiiForums Tanzania Kama man of the match ni beki basi simba ilizidiwa

    Kama enonga ndo anaimbwa leo basi watani mlizidiwa
Back
Top Bottom