simba

  1. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu nguvu za mnyama simba

    SIMBA si mnyama mrefu kuliko wote. SIMBA sio mnyama mwenye kilo nyingi kuliko wote. SIMBA sio mnyama mwenye akili nyingi kuliko wote. Na pia SIMBA sio mnyama mkubwa kuliko wote. Lakini cha kushangaza, SIMBA ndie mfalme wa Msituni. Ikiwa sifa zote hizo hana je, ni kipi kinachomfanya SIMBA awe...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Azam FC huu Mpira mlioucheza na Simba SC jana Chamazi mngeucheza katika Mechi zenu zote mmgekuwa "mnademadema' hivyo katika Ligi?

    Wanafiki wakubwa nyie na natamani mno mmalize mkiwa Nafasi ya Saba au hata ya Kumi Ligi Kuu ya NBC ikimalizika. Yaami Michezaji yenu akina Morris, Kangwa, Asamoah, Miguna, Mudathiri na Chilunda inacheza kwa Nguvu na Kukamia pale tu wakicheza na Simba SC ila wakicheza na Yanga SC wanakuwa Laini...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ukiona inafaa chukua huu Ushauri wangu wa bure Kwako

    1. Jikite katika Uhalisia wa Masuala na siyo Propaganda 2. Acha kutumia muda mwingi kutafuta Mipasho ya Kujibizana na Mwana Mipasho Mwenzako Haji Manara. 3. Jikite hasa katika Kuitangaza Simba SC Kimataifa na Kisayansi zaidi 4. Acha kutoka nje ya Uweledi wako na kuanza kuwa Mswahili Mswahili...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwani kimetokea nini huko Chamazi? Mtaani mashabiki wa Simba wanatembea na mawe.

    InashangaZa mashabiki wa timu kubwa kutembea na mawe mifukoni, mmekumbwa na nini?
  5. Riz king

    JamiiForums Tanzania Simba na viongozi Morrison mmekosea sana kumfukuza mrudishen game ya CCM Kirumba

    Nimeona uchezaji wa mawinga wa simba leo sio stubborn hata kidogo kwa game tough. Morrison katusaidia sana kuleta mivurugano kwa mabeki kwenye game za namna hii. Nawaombeni viongozi wetu tumrudishe dhidi ya Yanga ili mabeki wake wasikae na utulivu na ukizingatia Kirumba pitch yake sio smooth...
  6. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania Soka la Tanzania bila mambo haya itabaki ushabiki Vima wa Simba na Yanga

    Hakika nawasalimu. Mimi si mpenda soka Sana. Kwa mtazamo wa kitaaluma, soka ni zaidi ya watu wengi tunavyofikiri. Vijana wanapenda Sana soka, wengine Kwa ajili ya kubet tuu baasi. Miaka kadhaa nyuma ni nadra Sana kumkuta mwanamke anashabikia soka, lkn hivi Leo wanacheza na kuimba kwenye...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Sc mnasubiri nini "kukaa kama kamati" na George Mpole

    Mimi sina maneno mengi. Huyu kijana haitaji uchambuzi mreeeefu,ni kitendo cha kukaa meza moja na timu na menejimenti yake basi. Kwani yeye hataki kushiriki fainali za CAF Champions mwakani?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Simba kupigwa faini na CAF limekwisha na maisha lazima yaendelee

    Tuna tatizo la kujadili mambo mabaya na kuacha mazuri. Ni kweli lile ni kosa na limeshafanyika na Simba imeshapigwa faini limekwisha na kama kujifunza tumejifunza. Kuna mambo mengi sana kwenye soka la Afrika. Ila hatupaswi kuiga mambo mabaya. Kosa limeshatokea na tumeadhibiwa kwa kosa hilo...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Subiri ujionee sasa: faini hii ya simba itashikiwa bango na"wachambuzi" kinoomanooma

    Yaani shuzi limepata mjambaji ndugu zangu, kesho vipindi vya asubuhi haswa kile cha Efm lisaa lizima topic itakuwa ni faini ya milion 23 kwa simba kuna mtangazaji mwenye kidoti atakuwa anazunguruka kwenye kiti na kutikisa mabega kwa masham sham huku akipiga simu kwa Mangungu, ahmed Ally na...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC nawarahisishieni Kazi Wachezaji Wageni wa Kuachwa wawe ni hawa wafuatao tu

    1. Chris Mugalu 2. Pascal Wawa 3. Meddie Kagere 4. Bernard Morrison 5. Saido Kanoute 6. Thadeo Lwanga Kwa Wazawa ninawaachieni Wenyewe.
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tulioona mapema kuwa Bernard Morrison hatufai Simba SC na aachwe, ila 'tukatukanwa' na 'kudhihakiwa' Mitandaoni tuombwe Radhi tafadhali

    Binafsi naanza kusubiri Kuombwa Radhi zenu hizo kwani nilishaona Kitambo matatizo ya huyu Mchezaji, nikapaza sana Sauti hapa Jamiiforums kuwa aachwe mara moja na nikaishia Kutukanwa na Kudhihakiwa kama kawaida ya 'Mapopoma' wengi waliojazana. Ahsante Mwenyezi Mungu kwa Maono.
  12. NguoYaSikuKuu

    JamiiForums Tanzania Simba ina mengi ya kujifunza kwa Petro de Luanda

    Hawa jamaa wanacheza kama wako kwao. Jamaa wana timu nzuri na wachezaji hawakosei pass wala kushindwa kujiamini. Unatazama soka mpaka unafurahia. Tuna mengi sana kujifunza kwa nia nzuri tu!
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Queens yatwaa ubingwa mara 3 mfululizo

    Hongera warembo
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Chadema walivaa jezi za Simba katika mkutano wa Baraza kuu? Fred Vunjabei, tifafanulie

    Inasemekana Fred Vunjabei alikuwa na stoku maalum ya jezi kwa ajili ya mashabiki maalum wa Simba, lakini hazikuuzika vizuri msimu huu, hivyo Chadema walienda kwenye magodown yake na kuomba wauziwe kwa Mali kauli, lakini mpaka Leo hawajalipa!
  15. U

    JamiiForums Tanzania News alert: Klabu ya Simba Yamtema rasmi Morrison

    Tafadhali fungua kiambatanisho chenye taarifa rasmi Kutoka Klabu ya Simba KaziIendelee Ubingwa kwa Wananchi uko palepale
  16. babalao 2

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda. Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu...
  17. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Mwakalebela: Simba inafunga magoli ya offside

    Kupitia ukurasa wa Twitter wa Darmpya Blog, imemnukuu Fredrick Mwakalebela akisema "Simba jana (Dhidi ya Kagera Sugar) wamefunga goli la Offside, goli la pili lilikuwa ni la Offside, goli la John Bocco lilikuwa ni Offside, mimi nilidhani ni beki wa Kagera kumbe ni John Bocco, Simba inafunga...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Halima usishupaze shingo omba radhi urudi kundini, jifunze kwa Sofia Simba na Membe

    Mifano iko mingi, najua Chadema unaipenda na Chadema inakupenda pia tatizo ni wewe kujiona unauwezo kukizidi chama, viongozi wako unawaita wahuni? Jishushe, bado naiona future yako ndani ya Chadema na si kwingineko. Membe, Lowassa, Kinana, Makamba sr, Nyalandu, Sumaye walijaribu kutofautiana na...
  19. May Day

    JamiiForums Tanzania Simba Inahitaji "Msema Utumbo" mmoja, Ahmed hawezi

    Kwa Wajihi na Kaliba ya kimuonekano ya Bw Ahmed Ally hafananii kabisa na wala hana uwezo huo linapokuja swala la kutaka kutupa dongo, na haswa kama anataka kujibizana na Msema hovyo wa ile Timu Pinzani ya Uto. Huwa nakunja vidole(cross fingers) kila mara anapozungumza Bw Ahmed Ally kwa kutamani...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC jitahidini na famyeni kila fitna ili Simba SC leo isimfunge Kagera Sugar FC 'kwa Mkapa' kwani ikishinda tu Ubingwa mnaukosa na hamtoamini

    Kwa Mkakati ulioko Simba SC anaweza akasababisha Maafa Yanga SC kwa Kuukosa Ubingwa waliodhania ni Wao. Mwambieni Mayele amlipe Mganga wake.
Back
Top Bottom