simba

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tujipe pole wana-Simba

    Mpira tumecheza ila bahati haikuwa upande wetu. Ubingwa tumeutema. Mnaonaje tukimrudisha Gomez au tumshauri mwekezaji wetu MO DEWJI amnunue Nabi kwa bei mbaya. Mpira ni hela. Mi naona hata lile goli la Feisal lilikuwa bao la kuotea vile.
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hawa viongozi wa Bavicha waliwabagua wanaYanga na kujiegemeza kwa Simba. Mapambano ya katiba mpya ni kwa Simba FC? Huu ni ubaguzi na hawafai kabisa

    Hawa vijana wanachafua mapambano ya katiba mpya kuyahusisha na Simba Fc. Huu ni ubaguzi wa kishamba na usiofaa kabisa. Hawafai hawa vijana ni washamba sana.
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Ukivaa nguo ya CHADEMA au yenye Maandishi "Katiba Mpya" huruhusiwi kuangalia mpira wa Simba na Yanga

    Polisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga. Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani Viongozi wa BAVICHA wakiongea na Polisi Tanzania ili Wawaruhusu Wafuasi wa Chadema waungie uwanjani. Polisi bado wamedinda...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania ASFC: Yanga Vs Simba lazima mmoja atoke analia leo CCM Kirumba, hakuna sare

    Yanga na Simba zinatarajiwa kukutana katika Nusu Fainali ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) 2021/22, leo Jumamosi Mei 28, 2022 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza, huo ni mchezo wa mwisho kwa timu hizo kukutana msimu huu. Katika mechi zote mbili za Ligi Kuu Bara msimu huu hakuna mbabe...
  5. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

    Ahlan Wasahlan wana JF Ni mtanange wa kukata na shoka baina ya Yanga Vs Simba katika nusu fainali ya kwanza ya kombe la shirikisho la Azam ndani ya dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza. Ni mchezo unaozikutanisha timu mbili zenye mafanikio zaidi katika soka la Tanzania. Mara ya mwisho kwa timu...
  6. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kwangu mimi hawa ndio wachezaji bora wa muda wote kwa timu za Yanga na Simba na Taifa Stars miaka ya 90s, wewe je?

    Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salam, sasa ningependa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wana JF kabla ya kuandika list ya wachezaji bora wa muda wote wa timu za Yanga na Simba, ningependa kwanza nijitambulishe kuwa mimi ni mshabiki mkubwa sana wa timu ya Yanga. Nimeanza...
  7. Tronics guru

    JamiiForums Tanzania Kesho viongozi wa simba wanakwenda kuitambua rangi halisi ya mashabiki wa Simba

    Sijaona kama wameliona hilo lakini kesho ndio kesho,mema yote yaliyofanywa kwa misimu mitano hayatahesabika kama simba atashindwa kufunzu final. Kila kitu kitaharibika na kuvurugika na kwasabau sioni dalili za simba kufunzu. Ziandaliwe propaganda mapema kwaajili ya demage control japokuwa...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC siku zingine msilirudie tena Kosa hili la Kiufundi na Binafsi mmenikera

    Watu tunaojua kuwa Kesho Kipa Aishi Manula hatocheza tunawashangaa kabisa Kutwa mnavyohangaika kututia Moyo. Yaani badala ya kutumia muda wenu mwingi kumjenga Kisaikolojia Kipa wangu bora Simba SC Beno David Kakolanya nyie mnahangaika na Aishi Salum Manula wenu kana kwamba ni mzuri kivile...
  9. Shark

    JamiiForums Tanzania OFFER, Jezi ya Simba Kwa TZS 10,000/- tu

  10. Poker

    JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga nusu fainali ya kombe la FA Tanzania bara!

    Bashiri matokeo sahihi ya kesho kati ya simba vs Yanga! mimi naenda 1-1.
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC msiwaamini Yanga SC na 'Mind Game' yao kuwa Saido na Ambundo wamefukuzwa Kambini

    Ukweli ni kwamba 'hawajafukuzwa' Kambini tena wapo na ndiyo wanapewa Mazoezi ya maana na 'Maalum' ya Kucheza na Simba SC hiyo Jumamosi tarehe 28 May, 2022 pale CCM Kirumba. Yanga SC hivi sasa wameamua Kujikita zaidi na kufanya Propaganda na kutumia 'Mind Game' kuelekea mechi yao na Simba SC ili...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Habari mbaya kwa Makanjanja: kocha chizi la Orlando Pirates aiomba msamaha Simba na CAf

    Habari hii ndugu zangu wana jukwaa hamtaisikia ikiongelewa kwenye "media" zetu za HOFYOHOFYOOOOOO makanjanja huko yalipo yamekunja hadi sura maana week hii wamejaribu kufanya yooote kutingisha wana simba waapiiii raia wamekausha tu kimya lengo lao la kuleta mgogoro limeshindikana Team kushika...
  13. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Aragija kuamua Simba vs Yanga jumamosi.

    Huku joto la watani wa jadi likizidi kupamba moto kuelekea nusu fainali Asfc jumamosi hii, mapema leo mwamuzi atakayechezesha mtanange huo amewekwa wazi.
  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Simba SC kuendeleza ubabe dhidi ya Yanga siku ya Jumamosi?

    Mnyama mkali kuwahi kutokea dunian, Simba sc atakuwa dimbani kuchezea dhidi ya timu ndogo Yanga sc nusu fainali ya Azam federation cup jumamosi hii. Ikumbukwe kuwa Simba sc wamekuwa wakiifumua vilivyo watani zao 🐸 katika mashindano haya. Wamekutana mara mbili, huku mnyama huyo mkali akiibuka...
  15. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Tutawalaumu bure wachezaji Simba

    Tabia za Mwalimu zinamchango mkubwa kwa mwanafunzi kufauru somo. Mwalimu ni kiungo katika kunogesha akili ya mwanafunzi. Mwalimu anaweza kuwa na digriii mia moja, lakini akikosa sifa moja muhimu ya kujuwa kuishi na kukabiliana na mazingira anayofanyia kazi na kusoma maisha na Tabia za mwanafunzi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Nawashauri wanaSimba tumrudishe Gomez

    Tujipe pole wana Simba. Mchezo wa leo haukuwa upande wetu. Nashauri tumrudishe kocha wetu wa zamani kocha Gomez. Mnaonaje?.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tujuzane mechi zilzobaki kwa Yanga na Simba

    Wakati Yanga akihitaji point nne tu kutangaza ubingwa huku ikibaki michezo mitano kukamilisha ligi kwa timu zote mbili, ninependa kujua timu zilizobaki kucheza na Yanga na zile zitazocheza na Simba.
  18. N

    JamiiForums Tanzania Simba tuendelee kuwaombea Njaa Etoile du sahel wako nafasi ya tatu ligi yao

    Kama msimu huu unaoisha tulianzia round ya kwanza tukiwa ranked number 15 kwa ubora afrika na kupata bahati ya timu 5 zilizokuwa juu yetu kuvurunda kwenye domestic leagues zao tukapata nafasi ya kuanzia round ya kwanza why not mwaka huu? Tuko nafasi ya 14 kwa ubora barani afrika lakini katika...
  19. pwilo

    JamiiForums Tanzania Kweli Simba ni next level

    Za weekend wadau wa soka, Mapambano yanaendelea na harakati ziendelee maana vyuma vimekaza kweli kweli huku mtaani. Ikiwa league inaelekea ukingoni huku Yanga akionekena kuwa na dalili zote za kuwa bingwa japo lolote linaweza kutokea ila kimahesabu ni bingwa mtarajiwa. Ila bingwa anaongoza...
  20. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Yanga wamshitaki Barbara, Simba wamshitaki Manara

    Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imekutana leo Mei 20, 2022 kusikiliza mashauri yaliyowasilishwa yakiwahusu Ofisa wa Yanga, Haji Manara na Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez. Katika mashauri hayo Yanga iliwasilisha malalamiko yake kuhusu Barbara ikidai aliichafua...
Back
Top Bottom