Katika Miaka Minne ya Simba Imefanya makubwa kwa hiyo hata kama tunawaondoa wachezaji tuwaondoe kwa heshima.
Wamefanya makubwa lakini pia viongozi wa Simba anzisheni mambo ya kusajili wanachama online kama CCM wanavyofanya kwa kiingilio cha 10,000 na kila mwaka tulipe 20,000 na mapato na...