simba

  1. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kuona jezi mpya za Simba, wameua...

    Ni jezi kali sana, nimetamani kuiweka hapa jukwaani ila maadili hayaniruhusu. Hakika Fred Vunjabei umejua kuwakosha wanasimba.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Natamani hii ndio ingekuwa jezi ya Simba. Kali sana

    Hizi fans concepts huwa ni kali sana ila siku ya mwisho unashangaa watuwanakuja na utopolo wa kutisha kabisa, i like this one tamu sana
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Leo nataka tuweke Ushabiki wetu wa Simba na Yanga pembeni na tulijadili hili Kiuanamichezo kwa Faida ya Soka letu

    Hivi kweli kabisa Logically hizi Klabu zetu pendwa nchini za Simba SC na Yanga SC kwa Uswahili uliozitawala na Ujanja Ujanja ( Usamjo Usamjo ) ni za Kudhaminiwa Bilioni 26.1 na Mbet kwa Miaka Mitano na Bilioni 12 na Sports Pesa kwa Miaka Mitatu? Klabu pekee nchini Tanzania kutokana na Structure...
  4. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Hii ndio tofauti kubwa kati ya mkataba wa "sportpesa" kwa Yanga na "m-bet" kwa simba

    Mmoja ni kiprofeshino na mwingine wa chuplichupli.... Mfano wa hundi ya malipo ya sportpesa kwa Yanga Mfano wa hundi ya malipo ya m-bet kwa simba Nadhani hapo mmejionea nani ana mkataba wa ukweli na nani katupiga changa la macho🥳🥳🥳🥳
  5. luangalila

    JamiiForums Tanzania Yanga wamewaletea wana-Simba wawaone wachezaji wao

    Ni siku ya mwananchi ni Yanga SC vs Viperz ya Uganda, ambapo Viperz kuna wachezaji wa 2 ambao simba imewanyakua yaani Manzoki na Bobosi. Yanga hawaku changa karata zao vizuri ktk hili, ni wazi Manzoki anaweza akaambiwa na mwajiri wake mpya (Simba SC) acheze kiwango cha chini ili asipate...
  6. luangalila

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha Intelijensia cha Simba kipewe kongole

    Kufuatia dili nono walilo saini Simba Sc leo na kampuni ya michezo ya kubaatisha ya M BET ni wazi Simba Sc ina stahili kongoleee. Na pongezi kubwa zinakwenda kwa kitengo cha inteljensia ambao wali angazia ili diki mapema kisha waka nyutii kimyaa kisha kumcholesha aliyekuwa mzamin wa zamqn kwa...
  7. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Klabu ipi imelamba dume kati ya Simba SC na Yanga SC kwa mikataba hii?

    Hivi karibuni timu zetu kubwa hapa nchini zimeingia mikataba mipya na wadhamini wao Simba sc na MBET Yanga sc na SPORTPESA Hapa katikati kuliibuka fununu za simba kuachana na Sportpesa okabaki yanga na yanga alipo saini mkataba mpya watu walisema ni mkataba mnono saana wa billion 12 kwa miaka...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Simba yatangaza mkataba wa TSH Bilioni 26.1 kuanzia leo Agosti 1, 2022

    "Zile zama za kuwa na mkataba sare sare maua zimepita. Kwa miaka ya hivi karibuni Simba tumewekeza vya kutosha ili kuhakikisha brand yetu inakua,"- Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally. “Process ya mdhamini mpya tulianza tangu mwaka jana. Tumepokea boss nyingi za kutaka kuwa...
  9. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Kamati ya usajili ya Simba Sports Club rekebisheni haya kabla ya Agosti 31

    KAMATI YA USAJILI SIMBA.wakuu. Habari wakuu. Mimi ni mpenzi wa mpira wa Miguu. Na kusoma kidogo ukocha kama mafunzo ya ziada tu kwangu. Nianze kwa kuipongeza KAMATI ya usajili ya Simba kwa kufanya usajili mzuri, kuangalia mapungufu Yao ya msimu uliopita. Endapo Simba ikifanikiwa kumpata...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji Mo Dewji tafadhali Simba SC ikirejea agiza lile 'Tambiko' letu alilotuachia Marehemu Mzee 'Bamchawi' lifanyike kwa Viongozi na Wachezaji

    Kutokana na GENTAMYCINE kutokuwa na Imani kabisa na Watu kama CEO Barbara Gonzalez, Mwenyekiti wa Wanachama Murtaza Mangungu, Mratibu Abbas, Kocha Msaidizi Matola, Meneja Rweymamu, Mjumbe wa Bodi Mulamu Ng"ambi na Wachezaji akina Mkude, Kipa Manula, Beki Kapombe na Kiungo Chama naomba kabla ya...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi Simba Week: Simba Sc-We are Unstopable

    Leo ni uzinduzi rasmi wa Simba Week, tuna mambo mengi kwenye wiki hii. "Msimu huu tunarudi kwa nguvu, tunarudi kutetea ubingwa wetu na slogan yetu ni WE ARE UNSTOPPABLE - HATUSHIKIKI – HATUZUILIKI.- CEO Barbara Zoezi la usajili bado linaendelea. Wiki ijayo timu yetu ya digital itaanza...
  12. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Nimeyakumbuka Matokeo haya ya SIMBA GROUP STAGE 2019

    CODE NAMBA YA TANZANIA ni 255 na nchi yetu iliwakilishwa vyema msimu wa 2018
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ona Majibu ya fumbo la "Ufanye nini upo mtini kuna nyoka, majini kuna mamba na nchi kavu kuna simba"

    Mwamba amejitahidi kufikiria. Nilicho muelewa huyu mwamba ni kwamba " Always use ur problem as a solution to ur problem". Ukipatwa na tatizo zaidi ya moja kwa wakati mmoja chagua tatizo moja Kati yao na ulitumie ku solve matatizo mengine. Uzi umekamilika now unaweza toa maoni yako 1...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndo sababu ya jina simba kutangulia, kila zinapotajwa pamoja simba & yanga

    Salaam wakuu, wengi hudhani ni mazoea tu, au pengine humaanisha simba ni kubwa kuliko yanga, jambo ambalo si sahih. ukweli ni kwamba, jambo hili limetokana na simba kuzaliwa na yanga, hivo kiprotokali jina la mtoto lazima lianze then la mzazi ndo hufuata, natumai walokua hawajui jambo hili...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Simba walicheza Abo Hamad sio Al Akdood

    Jamani embu haya mambo yakae sawa, watu wa graphics wa simba nafikiri ni vilaza flani hivi slow learners sana team imecheza na Abo hamad ya misri iliyopo daraja la pili siyo al akdood ya saud arabia ila ushindi ni uleulewa wa 6-0 naomba kuwakilisha
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Pre-Season Match: Simba Sc yaua 6-0

    . FT: SIMBA SC 6-0 AL AKHDOOD ⚽️ Phiri 🅰️ Chama ⚽️ Mkude 🅰️ Okrah ⚽️ Kagere 🅰️ Banda ⚽️⚽️ Sakho ⚽️ Nyoni My Take Sakho kuna maelekezo kapewa na Sadio Mane. Tusije kulaumiana
  17. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Coastal Union ni klabu ya kienyeji na inayotumika na Simba pasipo kujijua

    Hii team miaka na miaka mafanikio kwao imekuwa ngumu tofauti na zamani .. Nimesikia kuwa kipa wao Mussa Mbissa ameachwa na wameletea kipa mcomoro.! Unajiuliza Mbissa ameachwa kwa kosa gani? Eti wanadai ameuza mechi ile final ya dhidi ya Yanga iliyoisha kwa 3-3 kisha wakaenda matuta..! Yaani...
  18. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi harufu ya Simba inavyoweza kukomesha migogoro ya wakulima na wafugaji

    UTANGULIZI Migogoro ya wakulima na wafugaji imekuwa kikwazo kikubwa cha maendeleo vijijini na mahusiano baina ya wakulima na wafugaji katika nchi nyingi zilizo katika ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara. Pamoja na kuwa na juhudi za maksudi za kutatua migogoro hii bado kumekuwa na kukosekana...
  19. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Simba sc yatangaza kuzindua App

    Kupitia mitandao yao ya kijamii timu kubwa Afrika Simba sc umewataka mashabiki wake kujiandaa na tukio kubwa ni lipi hili saa saba kamili mchana.
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Pape Sakho ashinda goli bora la mwaka CAF 2022

    Mshambuliaji wa Simba, Pape Ousmane Sakho amefanikiwa kushinda Tuzo ya Goli Bora la Mwaka katika Tuzo za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), Julai 21, 2022. Tuzo hizo zimetolewa Rabat Nchini Morocco ambapo Sakho alikuwa akiwania nafasi hiyo dhidi ya Gabadinho Mhango wa Orlando Pirates na...
Back
Top Bottom